DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,878
Sio kweli.Boss beki yeyote aweza kua DMF. Nilishaandika hiyo ishu icheki.
Sio kweli.Boss beki yeyote aweza kua DMF. Nilishaandika hiyo ishu icheki.
Sasa hiyo si chapati? Tena bora akae mbali na eneo la goli ili ujinga wake uishie hukohukoAcha utani mkuu, huyu anawezae kucheza DMF? [emoji23][emoji23]View attachment 1591867
Joshua Kimmich na Alaba... Mifano ya fasta ninayoweza ikumbukaSio kweli.
Je Allan Saint-Maximin wa Newcastle? Naona yuko vizuri sana tu kama mbadala wa Zaha na Grealish na gharama zake siyo kubwa kama hao.Kwakua dirisha la nani bado nilifikiri tungeweza kuwafuata ama Zaha au Grealish ambao tulikua linked nao. Ila kama tuna kikosi hadi inabidi tupunguze watu naona tuna kasafari kidogo.
Hivi kwa nini anamkaba mwenzake? Ni kwamba anapenda sana kazi yake ya ubeki au?Acha utani mkuu, huyu anawezae kucheza DMF? [emoji23][emoji23]View attachment 1591867
Mimi ningewatoa Cedric, Mari na Sokratis nimwache Ozil ili wachina wakilegeza tumchezeshe
Binafsi simkubali huyu jamaa ni kama Iwobi. Anapenda kukaa na mpira muda mrefu huku hana uwezo huo na anapoozesha mashambuliziJe Allan Saint-Maximin wa Newcastle? Naona yuko vizuri sana tu kama mbadala wa Zaha na Grealish na gharama zake siyo kubwa kama hao.
The best 007 hahaha tunaomba ujibu hili swali.Hivi kwa nini anamkaba mwenzake? Ni kwamba anapenda sana kazi yake ya ubeki au?
Sio kukaba tu bali alimchezea rafu Shaw[emoji23][emoji23]kwa kumvuta bega kabisa[emoji13][emoji13]Hivi kwa nini anamkaba mwenzake? Ni kwamba anapenda sana kazi yake ya ubeki au?
Emery alimlostisha Xhaka kwakua alikua anamuacha asimame kama single. Wakati anafanya vyema pembeni yake akiwepo mtu mwingine.
Xhaka alikuja kama cmf.
Chini ya Wenger formation ilikua ni 4 2 3 1. Xhaka alicheza kwenye 2. Ni lini alikua amf?
Shabiki wa man u akasema 'SIYO GOLI FAULO' kumbe bwana Maguire kafanya yake.Sio kukaba tu bali alimchezea rafu Shaw[emoji23][emoji23]kwa kumvuta bega kabisa[emoji13][emoji13]
HayaHapo kwenye
4-2-3-1 hiyo double pivot mmoja anakuwa ni deep lying play maker na mwingine ni defensive midfielder.
Sasa Xhaka muda wote kwa Wenger alikuwa kama deep lying play marker, Wilshere, Coquelin na Elneny walifanya defensive role kwenye hiyo double pivot.
Mkuu hao wakina Zaha na Grealish wa nini tena!?Kwakua dirisha la ndani bado nilifikiri tungeweza kuwafuata ama Zaha au Grealish ambao tulikua linked nao. Ila kama tuna kikosi hadi inabidi tupunguze watu naona tuna kasafari kidogo.
Ungebadili kauli tu mkuu..Joshua Kimmich na Alaba... Mifano ya fasta ninayoweza ikumbuka
Mkuu magwaya anaweza kucheza dmf japo matokeo mwisho wa mechi itakua 10 bila.Acha utani mkuu, huyu anawezae kucheza DMF? [emoji23][emoji23]View attachment 1591867
Of coz siwezi kwakua hawajawahi kuwekwa hizo nafasi badoUngebadili kauli tu mkuu..
In short, sio mabeki wote wanaoweza kucheza DMF.
Ni wachache tu kama wakina David Luiz, Phillip Lahm na hao uliowataja.
Huwezi kusema Zouma au Marcos Alonso ni DMF wazuri.. Hapo utakuwa unaudanganya umma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] AiseeehhhShabiki wa man u akasema 'SIYO GOLI FAULO' kumbe bwana Maguire kafanya yake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu magwaya anaweza kucheza dmf japo matokeo mwisho wa mechi itakua 10 bila.