Contracts set to expire summer 2021:
Ozil 350,000 per week
Luiz 101,000 pw
Sokratis 92,000 pw
Mustafi 90,000 pw
Total wage saving approx 633,000 pw, 32,916,000 pa
Summer 2022 (if we don't sell before expiry):
Laca 182k
Kola 100k
Elneny 50k
Chambers 50k
Approx 19,864,000 pa
#afc
Ukiangalia huo mzigo wa mshahara kwa hao players ambao next summer wanamaliza contracts zao, utaona kuwa next season tutakuwa na nafasi ya kuongeza watu zaidi.
Kuna jambo moja very positive watu hawaliongelei kabisa, Arsenal pamoja na kutokuwa Uefa wachezaji wengi vinara wameonesha kuipa chaguo la kwanza against other big clubs tena zinazo shiriki Uefa.
[emoji117]Aouar-PSG, City na Madrid wote walimtaka ila first choice kwake ilikuwa kuja Arsenal.
[emoji117]Gabriel-Napoli na Man U lakini akachagua Arsenal.
[emoji117]Willian-Chelsea, Barcelona, Inter Miami na Utd but he opted for us.
[emoji117]Ceballos-Madrid (walitaka apiganie namba), Inter, Real Betis na Napoli lakini kaamua kurudi Arsenal.
[emoji117]Auba-Chelsea, Barca, Madrid lakini kaamua kuongeza contract.
[emoji117]Lacca pia Barca, Atletico na Juve but he opted to stay.
Kuna vitu 'behind the scene' ambavyo fans hatuvioni players wanaviona kuhusu Arsenal, aliyetudengulia leo kesho atarudi analia kama unabisha muulize Sanchez.