Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Toreira huyo uwanja wa ndege akielekea Atletico kukamilisha usajiri
Hii team imepitishwa bila kupingwa nina uhakika ingekuwa mmeenda playoffs msingetoboaGroup B:
Arsenal
SK Rapid Wien
Molde FK
Dundalk
#UELDraw



tunajaribu kutengeneza nafasi kwenye kikosi ili tuwaingize kina Partey hata kama hatujafanikiwa kuuza? Au kupunguza wage bill? Umeweza kujua malipo yamekaaje kwa hii loan?
Achukuliwe huyu jamaniArsene Wenger admits he would have accepted an offer to join Arsenal’s board following his reign as manager | @SamJDean
Arsene Wenger admits he would have accepted an offer to join Arsenal’s board following his reign as manager
Ingekua ishu ni kuoffload mgeni mbona Martinez alishaondokatunajaribu kutengeneza nafasi kwenye kikosi ili tuwaingize kina Partey hata kama hatujafanikiwa kuuza? Au kupunguza wage bill? Umeweza kujua malipo yamekaaje kwa hii loan?
arsenal hatuelewekagi toka zamani za mababu.Chelsea wanamtaka Partey.
Everton anazidi kujiimarisha.
Tottenham anazidi kujiimarisha.
Arsenal tunapiga mark time
Hakuna cha Edu wala Arteta wote ni wale wale matetesi weeee ujinga mtupuChelsea wanamtaka Partey.
Everton anazidi kujiimarisha.
Tottenham anazidi kujiimarisha.
Arsenal tunapiga mark time
Pengo lake lilizibwa na kipa runarsonIngekua ishu ni kuoffload mgeni mbona Martinez alishaondoka
Well tungeachana naye tungemuopt AouarPengo lake lilizibwa na kipa runarson
😀😀😀Namuona Ole kama mjanja flani anajifanya mdhaifu kumbe yuko vizuri. Anawaacha watu wamdharau lakini anaingia top 4 wakati sisi FA Cup ndilo tulitegemea kuingia Europa. re: last season. This time tusidanganyike tuhakikishe tunampiga yeye, Lampard, Mou , Carlo na wote nje ya wale 2 bora wa kawaida.😀😀😀
Tutakua tumejenga ghorofa kali bila msingi.Well tungeachana naye tungemuopt Aouar
Unamjua Matt Macey?Tutakua tumejenga ghorofa kali bila msingi.
Leno akiumia je?
Arteta ana akili nyingi yule jamaa bhas tu club yetu inazingua kwenye usajili.
Kaanza kuimarisha defence huko mbele watajipanga tu
U23 gkUnamjua Matt Macey?
Unadhani tungeanza na Arteta since step one tungekua wapi? Ole amefanya vizuri games za mwisho ambazo sisi Emery alitakiwa kushinda games nne nafikiri ili kuingia top four instead ikawa ni komedi, mpaka watford alitukazia.😀😀😀Namuona Ole kama mjanja flani anajifanya mdhaifu kumbe yuko vizuri. Anawaacha watu wamdharau lakini anaingia top 4 wakati sisi FA Cup ndilo tulitegemea kuingia Europa. re: last season. This time tusidanganyike tuhakikishe tunampiga yeye, Lampard, Mou , Carlo na wote nje ya wale 2 bora wa kawaida.😀😀😀
Runarsson yupo na Leno bado anadaka. Angekuja Aouar kisha huyo Runarsson ndiye angetafutiwa nafasi baadaye.U23 gk
Hata Arteta alipoteza mechi kizembe, kama Villa na Brighton. Nakumbuka kuna watu walikuwa wanamtathmini yeye na Emery mwanzoni wakawona hawana tofauti. Hata juzi juzi West Ham alienda sawa nasi na angeshinda bahati ingekuwa kwake. Kizuri ni kuwa Arteta anatambua kuwa kuna madhaifu na anajua anaweza kurekebisha kikosi hichi hichi alicho nacho. Akipata nguvu zaidi poa ila naona kama hana wasi wasi asipopata.Unadhani tungeanza na Arteta since step one tungekua wapi? Ole amefanya vizuri games za mwisho ambazo sisi Emery alitakiwa kushinda games nne nafikiri ili kuingia top four instead ikawa ni komedi, mpaka watford alitukazia.