Kuhusu kuwapiga wameonyesha kuwa wanaweza kuwapiga na sasa vijana wanajiamini. Kuhusu usajili, ndiyo Arsenal ni wazembe kihistoria kwenye swala hili ila wanabidi walifanyie kazi. Na siyo lazima mtu alipe bei inayotajwa tu. Kuna thamani timu inaweka kwa mchezaji wake ila pia kuna thamani ambayo mnunuzi anaona. Kama Arsenal wanaona Aouar siyo mchezaji wa 50m, kwa nini walipe 50m? Hata wewe bodada ukikodisha kwa kwenda mahali kwa 1000 hutakubali kulipa 3000. Of course, pia kuna kubargain katika biashara yoyote ile na mara ingine unafanikiwa kupata kwa bei yako na mara ingine hufanikiwi. Kwa sasa kama hili limepiata acha tuendelee kuwachapa na hawa hawa kina Willock na Nketiah