Ngoma imeisha Haraka haraka nakumbuka mechi ya bragga kwenye CL alifunga na left tena volley ngoja nirudi nyumbani niingie maktaba ndio naondoka pub sasaKuna mtu anaweza kunikumbusha lini alimuona Fab anascore kwa Left foot?????? To me ni mara ya kwanza...........
Sasa waje hao Everton Jumanne tarehe 1 Feb then tutakua away kwa N'castle Jumamosi tar 5....hapa pote bado naona ni mwendo wa 3 Tatu........
Kuna mtu anaweza kunikumbusha lini alimuona Fab anascore kwa Left foot?????? To me ni mara ya kwanza...........
Mkuu umenipa kitendawili, maana mimi ni mzee wa statistics kama J. Motson ila nakuna kichwa, ngoja nitakuja na jibu
Hii haikuwa sahihi alifunga penalti na bao la kichwa katika ile karamu ya 6-0 dhidi ya Braga, inaweza kuwa sahihi kwamba leo ni mara yake ya kwanza kufunga kwa guu la shoto kwenye mechi ya mashindano, ila bado nafikiri wakuu kama Wenger, Mbu , Wacha, Baba mkubwa, Bubu na wengineo wanaweza wakaja na kumbukumbu zaidi.Ngoma imeisha Haraka haraka nakumbuka mechi ya bragga kwenye CL alifunga na left tena volley ngoja nirudi nyumbani niingie maktaba ndio naondoka pub sasa
Arsenal hao to the carling finals in wembley stadium after beating vibonde Ispitch 3 bila.
"It took a while but Arsenal knocked on the door for long enough and eventually prised it open. Tough luck on Ipswich, who gave it everything, but Arsenal are now just 90 minutes from winning a trophy for the first time since 2005."
It took a while but Arsenal knocked on the door for long enough and eventually prised it open. Tough luck on Ipswich, who gave it everything, but Arsenal are now just 90 minutes from winning a trophy for the first time since 2005.
"It took a while but Arsenal knocked on the door for long enough and eventually prised it open. Tough luck on Ipswich, who gave it everything, but Arsenal are now just 90 minutes from winning a trophy for the first time since 2005."Stop plagiarism (and you've been doing this for a bit long time now!!).
Would you please acknowledge Paul Fletcher for that piece!....lol
...ha ha!...acha hizo 'scanner body check' bana. Wewe tupe hongera tu inatosha. :bounce: