Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta fanya juu chini turudi UEFA tutambe mtaani aisee. Ungeona jinsi watu wanakuja kutuchefua humu JF kisa tumewashinda kwa penalties tu na hatuko UEFA, na tulivyo na timu mbovu ungeshawanunua kina Partey siku nyingi sana. Hakuna wenye majungu kama wabongo aisee. Tumia tu translator ingia humu usome mambo yalivyo mabaya 😀 😀 😀
 
Mr, dont drift coz I have won all kinds of cups that you currently have. What about you? Have you done the same? Any European cup?

Currently, For what you are, carabaos and FA cups are only your priorities (what within your reach), neither EPL nor UEFA which you only wish to participate in achilia mbali winning it.

Thats why I said, we differ in ambitions.
I ain't drifting nowhere. The amount of cash liva has been spending since initiating transition and the time it took is what Arsenal is trying to go through.

Under Wenger we never spent a lot in transfers. Our highest fee is less than the price you paid for a defender who has 3 mistakes that led to goals this season.

Before that his mistakes awarded Arsenal a victory.

I hope you will secure ucl or epl this season too.
 
Shukrani mkuu, mngetutoa na jana kuna 'bata' wangetupigia sana kelele hasa hawa 'majirani' wenye shobo.

Nilivyoona vikosi tu jana, nilijua nani anaihitaji mechi ile zaidi.

Hata kufika penati niliona kama ni bonus kwetu.
 
Ona hapa.

Lampard aliahidi kikombe msimu huu. Juzi katolewa carabao, anabaki kwenye FA, ligi na UCL.

Ongea ukweli wako unahisi katika FA, ligi na UCL ni kikombe kipi atachukua?

Klopp kafungwa na Arsenal mara mbili, ya pili akatemeshwa na ngao ya hisani. Akatumia wiki nzima kunung'unika na kuchimba watu mikwara juu ya anfield. Kashinda mechi ya kwanza, ya pili kafurumushwa carabao.

Baada ya mechi kama kawaida kunung'unika.

Kuna Ole. Wakina Keane wamemuambia fungate limeisha alete vikombe. Lakini Ole ndiyo kwanza yupo kwenye majaribio ya formation.

Hizo timu mid zao thamani ni kuanzia 130+M

Kisha kuna Arteta...
Mkuu unaweza niletea statement ya Lampard wakati anatoa hiyo ahadi?
 
Nilivyoona vikosi tu jana, nilijua nani anaihitaji mechi ile zaidi.

Hata kufika penati niliona kama ni bonus kwetu.
Hofu yangu ni tukiwa serious sana na Carabao tunaweza kupata majeraha kwa wachezaji muhimu alafu tupate taabu EPL. Huwa napenda wacheze magogo ila nataka washinde.
 
Sio yule wa Chelsea?
Naona kaka yenu anawawasha mno hakauki kwenye keyboard zenu.
Mkuu tuwaombe Man U (Pundamilia Fc) pamoja na Ng'ombe Fc(Chelshit) waanze tu kujiandaa na msimu ujao wa 2021/2022.... Huu wa 2020/2021 umeshawashinda... Hawana chao.... Waandike barua FA waende Pre season Malaysia huko na Japan wajiandae na msimu ujao
 
Aaron usajil vipi mbona kama arsenal na fans wanaridhishwa na uwezo wa timu hawaitaji kusajili?

kuna everton aise wale jamaa watasumbua sana labda Ancellot asepe aise inatisha sana kuliko chelsea
Wewe hakuna mchezaji atasajiliwa ndani ya siku zilizobaki. Arsenal tunaijua ni mwendo wa porojo na blah blah nyingi.

Partey na Houssem ni CL player waje Arsenal kufanya nini? Labda usajiri wa Jan wakati mambo yashakua magumu kwenye zao.
 
Hofu yangu ni tukiwa serious sana na Carabao tunaweza kupata majeraha kwa wachezaji muhimu alafu tupate taabu EPL. Huwa napenda wacheze magogo ila nataka washinde.

Mechi za Carabao ni chache, hapo bado game 3 tu kwa atakayeingia final.
 
I ain't drifting nowhere. The amount of cash liva has been spending since initiating transition and the time it took is what Arsenal is trying to go through.

Under Wenger we never spent a lot in transfers. Our highest fee is less than the price you paid for a defender who has 3 mistakes that led to goals this season.

Before that his mistakes awarded Arsenal a victory.

I hope you will secure ucl or epl this season too.

And why do you think you didn't spend? ... priorities. FAs to you are 'world cups'.

And to remind you politely, Mr. Castr, The defender you mock, personally, won UEFA Men's player of the year award. PFA Players' Player of the year award. Premier League Player of the season and included in FIFPro World XI. What about you? Have you ever had one?

Thanks for your wishes.
 
Wewe hakuna mchezaji atasajiliwa ndani ya siku zilizobaki. Arsenal tunaijua ni mwendo wa porojo na blah blah nyingi.

Partey na Houssem ni CL player waje Arsenal kufanya nini? Labda usajiri wa Jan wakati mambo yashakua magumu kwenye zao.
Sawa mbona kama unateseka ?

Arteta says on transfers he is "very confident with what we are trying to do internally" and that Arsenal "are trying our maximum, with full support from the owners."
 
Arteta fanya juu chini turudi UEFA tutambe mtaani aisee. Ungeona jinsi watu wanakuja kutuchefua humu JF kisa tumewashinda kwa penalties tu na hatuko UEFA, na tulivyo na timu mbovu ungeshawanunua kina Partey siku nyingi sana. Hakuna wenye majungu kama wabongo aisee. Tumia tu translator ingia humu usome mambo yalivyo mabaya 😀 😀 😀
Anaongea muda huu kasema hivi

Arteta says on transfers he is

"very confident with what we are trying to do internally" and that Arsenal "are trying our maximum, with full support from the owners."
 
Maneno ya Kocha mchana huu

Arteta on the importance of this transfer window to #AFC:

“It is a crucial moment… We are trying our maximum. We are maximising our resources, with full support from the owners as well. It is whether we can do it or not. What we have, believe me, we will try our best.”
 
Mechi za Carabao ni chache, hapo bado game 3 tu kwa atakayeingia final.
Kweli lakini. Tukijipanga vizuri hapa tunaweza kibebe hiki. Kawaida kuna FA, Prem na UEFA Cup pia zinajichanganya so huwa hali inakuwa ngumu ingawa mechi ni chache.
 
Kweli lakini. Tukijipanga vizuri hapa tunaweza kibebe hiki. Kawaida kuna FA, Prem na UEFA Cup pia zinajichanganya so huwa hali inakuwa ngumu ingawa mechi ni chache.

Mnakutana na City, yeye huwa anaweka wachezaji wengi wa kikosi cha kwanza.

Na ukumbuke, mara ya mwisho mmemfunga FA, lazima awakomalie.
 
From arseblog

Arsecast this morning: "I have heard from someone reliable that Aouar is all but done”.
 
Back
Top Bottom