Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hua inasemwa mashabiki wa liva mambo yakienda kombo utashangaa kiingereza kimepamba moto DullyJr

Game ya jana Liva imeanzisha regular starters wangapi na Arsenal imeanzisha wangapi?

Previous game kwenye Carabao liva ilianzisha regular starters 5 Arsenal ilianzisha 3 tena inacheza na Leicester.

Hapo nani yupo serious na carabao?
Hicho kiingereza si nimeki-quote kwako mzee?

Salah, VVD ndo regular starters.
 
Sisi mashabiki nguli wa Gunnerz tuamke saa ngapi?

Kama unamaanisha kwa nini huwaoni humu wakisherekea ukadhani 'wamelala', nahisi watakuwa kwenye majukwaa ya timu zingine wanajimwambafai kule 😀 😀 😀
 
Hicho kiingereza si nimeki-quote kwako mzee?

Salah, VVD ndo regular starters.
Siyo mimi bob.

Umeona ilivyo ngumu kuaddress ishu ya nani yupo serious? Wewe unasema hivyo wakati Klopp alisema Arteta atakuja anfield mara mbili akaahidi advantage ya uhome team itampa matokeo.

Ile timu mliyoianzishia regular starters 5 inaitwaje? Hivyo ndivyo timu isiyo serious inavyokua?
 
Ndugu, ulitegemea aseme tutashindwa? ... anyway, karibu ututazame tukipambana UEFA. A dream you wish for.
 
Ndugu, ulitegemea aseme tutashindwa? ... anyway, karibu ututazame tukipambana UEFA. A dream you wish for.
A dream I wish for? Hahaha if this guy angeongea bila kutenda ingeleta maana but alipanga regular starters 5. Akajipanga kukutana na Arsenal, baada ya kutolewa akalalamika kama kawaida yake.

Wachezaji wa liva wakaangua kilio kisha wewe upo jf kujifariji kua hampo serious.

Hakuna anayekumbuka jina la timu iliyoanzishiwa regular starters 5 na liva? Hata wewe shabiki umeisahau?
 
Sasa muda gani nilisema Arsenal ipo uefa? Hahaha bro mbona unamix code?? Hahaha dah hoya mshikeni huyu asije akaanguka
Sijasema umesema. Read between the lines utapata my concept.

Nimekukaribisha UEFA, ukasema sisi huko hatupo. Why so? Simple. Priorities.

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Remind me again for how long epl was your priority?
Mr, dont drift coz I have won all kinds of cups that you currently have. What about you? Have you done the same? Any European cup?

Currently, For what you are, carabaos and FA cups are only your priorities (what within your reach), neither EPL nor UEFA which you only wish to participate in achilia mbali winning it.

Thats why I said, we differ in ambitions.
 
Back
Top Bottom