Kanyamulano
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 905
- 875
Ndo maana management ihakikishe wote wawili wanakuja Arsenal but Aour namba 8 yake anacheza vizuri sana very good problem itakuja wakati tunashambuliwa nani wa kuzuia?creativity haipo kwenye kiungo,km uliona juzi Auba na Willian hawajachezeshwa kabisa,Partey muhimu na Aouar ni muhimu zaidi
Manchester United admire Ainsley Maitland Niled but are not in talks to sign him
Hizi dakika za lala salama kuna uwezekano tukashusha wotePARTEY deal lake ni easiest, trigger release clause then mchezaji wako unae
Manyua mpo vzr SanaIla arsenal nyie, heheheee... Mnanifurahisha, embu ichambueni timu yenu vizuri ili mjue namna ya kuishabikia.
Tatizo lenu mko justifiable for positive in the dark na mnajua nyie ni tia maji.
Ile jumatatu was not a good day kabisa, i was waiting to watch that.
Mlifanywa kitu mbaya sana, kama mna akili sawa sawa tulieni.
Shukran. Mie namwona kama mchezaji wa 60k- 70k hivi
Ww shabik wa liver hku umefuat nn?Yaani timu yangu ishinde halafu povu linitoke? Unaumwa wewe
Bado sana, afu hawa raia wa Brazil wana uwezo mdogo wa kumiliki pesa, wanavyoongezwa maslahi ndio viwango vinaharibika wanakula bata sana.
Refer: Ronaldo, Ronaldinho, Robinho, Adriano na hata Neymar inasemwa bata sana ndio maana anaandamwa na injury daily.
Boss I agree with you,yaani linapokuja swala la kushambuliwa tunakua mdebwedo kabisa pindi tunapocheza na strongest team.Ndo maana management ihakikishe wote wawili wanakuja Arsenal but Aour namba 8 yake anacheza vizuri sana very good problem itakuja wakati tunashambuliwa nani wa kuzuia?
Na ndio tatizo kubwa ambalo more than 10 years tumekuwa nalo Aour ni mzuri but Arsenal tatizo kubwa sio namba 8 ni defensive midfield ndio tatizo kubwa ambalo tunakumbana nalo naapa hata tukimpata Aour bila kumpata partey tatizo litabakia pale pale na wakati utaongea ukiangalia Big six 90% wana defensive midfielder wazuri Arsenal haina hata anayekaribia 30% kufanya hii kaziBoss I agree with you,yaani linapokuja swala la kushambuliwa tunakua mdebwedo kabisa pindi tunapocheza na strongest team.
Unadhani Auba kukosa shot on target tatizo ni defensive mid mkuu,tunahitaji creativity mzee wangu kwenye kiungo, sijui kwanini hulioni hilo ?Na ndio tatizo kubwa ambalo more than 10 years tumekuwa nalo Aour ni mzuri but Arsenal tatizo kubwa sio namba 8 ni defensive midfield ndio tatizo kubwa ambalo tunakumbana nalo naapa hata tukimpata Aour bila kumpata partey tatizo litabakia pale pale na wakati utaongea ukiangalia Big six 90% wana defensive midfielder wazuri Arsenal haina hata anayekaribia 30% kufanya hii kazi
Hatupangiwi na chokho yoyote, kitulize tu mdogo wangu....Anzishen mjadala wa xhaka na el neny yup aanze tenanaona mmekimbilia kwa partey cjui
Shubakengemit zenu!!!! Nawataarifu tu juzi ilikuwa sendoff kesho tunachukua mwali kabisa
Unafikiri muda wote tunaoshambuliwa defensive midfielder anafanya nini muda huo?Unadhani Auba kukosa shot on target tatizo ni defensive mid mkuu,tunahitaji creativity mzee wangu kwenye kiungo, sijui kwanini hulioni hilo ?
Game ya juzi tumetoa magoli mepesi na ya mapema kwa uzembe wa watu flani flani tu,sio muda wa kumlaumu mchezaji lakini laca tutamlaumu tu kwasababu yeye angefanya approach ya mchezo ibadilike km angeconvert zile chances na tungerudi kwenye natural game yetu,juzi tumelazimishwa kucheza anavyotaka opponent ni km tulikuwa under-pressure the whole 90 mnts.
Suarez alikuwa anapatikana kwa hela ndogo sanaUnadhani Auba kukosa shot on target tatizo ni defensive mid mkuu,tunahitaji creativity mzee wangu kwenye kiungo, sijui kwanini hulioni hilo ?
Game ya juzi tumetoa magoli mepesi na ya mapema kwa uzembe wa watu flani flani tu,sio muda wa kumlaumu mchezaji lakini laca tutamlaumu tu kwasababu yeye angefanya approach ya mchezo ibadilike km angeconvert zile chances na tungerudi kwenye natural game yetu,juzi tumelazimishwa kucheza anavyotaka opponent ni km tulikuwa under-pressure the whole 90 mnts.


ulivyomtaja Laca nikamkumbuka Suarez,ila kwa Laca hainishangazi hajawah kuwa na kiwango bora tangia aje Arsenal ni mbahatishaji kiwango alikiachaga Lyon kama Pepe alivyokiacha LilleMechi saa ngapi?Leo mna kibarua kizito pale Anfield, kumbukeni, kuna tofauti kati ya uwanja wa nyumbani na Anfield.
Mechi saa ngapi?