14Henry
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 299
- 370
Msimu huu mimi nataka kupoteza mechi 3 maximum kwenye Premier League. Liverpool kashatufunga moja, zimebaki 2 😀 😀Yani wanatafuta visingizio tu ..unajua msimu huu hawataki kabisa kufungwa😂😂😂
Yani fanyeni hivi hata hiyo Alhamisi bamizeni tena hakuna namna.




Gabriel
Aouar