14Henry
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 299
- 370
Tumefanikiwa kumuuza Kola? So tumebaki na Tierney na Saka LWB, na Mr. Versatile, The Bird Catcher mwenyewe, Niles? Nahisi hapo siyo mbaya.Kolasinac to Leverkusen done. €10.7m
Tumefanikiwa kumuuza Kola? So tumebaki na Tierney na Saka LWB, na Mr. Versatile, The Bird Catcher mwenyewe, Niles? Nahisi hapo siyo mbaya.Kolasinac to Leverkusen done. €10.7m
Gabriel
Willian
Ceballos
Aubameyang
Saka
Martinelli
Aouar
Partey
Rate this summer /10...
Yah mitanoMbona napitwa na vitu? Martinelli ameongezewa mkataba?
Yah mitano
Alikuwa na minne had 2024, alipofika , alipokuja Arteta akaongezewa mmoja ikawa jumla mitano ,had 2025Na mshiko aliongezewa? Awali alikuwa na mkataba wa miaka mingapi?
Huku leo tuna msiba wa mchimbaji mwenzetu (pia mtanzania mwenzetu) Anaitwa Wamboka, mshikaji ni msukuma.@Kitoabu Vipi Mozambique wazima?,Em tuache kwanza na arsenal yetu.
Shukran. Mie namwona kama mchezaji wa 60k- 70k hiviAlikuwa na minne had 2024, alipofika , alipokuja Arteta akaongezewa mmoja ikawa jumla mitano ,had 2025
Mshahara ukapanda pia kutoka 10k had 30-35k per week
Poleni ndugu zanguHuku leo tuna msiba wa mchimbaji mwenzetu (pia mtanzania mwenzetu) Anaitwa Wamboka, mshikaji ni msukuma.
Amekufa jana usiku kwa kupigwa na ngema (kufukiwa na shimo) hapa tunasubili tukamzike.
Kiufupi sio poa.
Tunashukuru, ila huku kwetu vifo nikama mafuta ya kupakaa tu.Poleni ndugu zangu
Ila arsenal nyie, heheheee... Mnanifurahisha, embu ichambueni timu yenu vizuri ili mjue namna ya kuishabikia.
Tatizo lenu mko justifiable for positive in the dark na mnajua nyie ni tia maji.
Ile jumatatu was not a good day kabisa, i was waiting to watch that.
Mlifanywa kitu mbaya sana, kama mna akili sawa sawa tulieni.Hali hiyo sijaizoea kabisa bro naisikia kwa watu tu.Tunashukuru, ila huku kwetu vifo nikama mafuta ya kupakaa tu.
Pole sana chief,Mungu akutangulie.Huku leo tuna msiba wa mchimbaji mwenzetu (pia mtanzania mwenzetu) Anaitwa Wamboka, mshikaji ni msukuma.
Amekufa jana usiku kwa kupigwa na ngema (kufukiwa na shimo) hapa tunasubili tukamzike.
Kiufupi sio poa.
Naona saga linaeleka mwishoni.Arsenal have reached an agreement with Lyon for the transfer of French midfielder Houssem Aouar, with the 22-year-old midfielder in London and ready to undertake a medical, according to Arsenal Central sources.
Yeah!! Mzee ila dili la partey naona bado liko complicated kidogo.Naona saga linaeleka mwishoni.
Arsenal have reached an agreement with Lyon for the transfer of French midfielder Houssem Aouar, with the 22-year-old midfielder in London and ready to undertake a medical, according to Arsenal Central sources.
Yeah!! Mzee ila dili la partey naona bado liko complicated kidogo.
Kwa sasa Arsenal haina kiungo wa kudefend wala kuattack that's why tukikutana na timu bora ulimi unatoka nje kwa viungo vyetu wa sasa tulionao, leo ni Wednesday anything can happen either tuwapate au tusiwapate hao wachezaji ila nimemcheki Aour na partey in my opinion naona partey ndo suluhisho la timu yetu kwa sasa licha Arteta anamtaka Aour siwezi kuwa akilini mwa kocha ila partey ndo suluhishoYeah!! Mzee ila dili la partey naona bado liko complicated kidogo.
creativity haipo kwenye kiungo,km uliona juzi Auba na Willian hawajachezeshwa kabisa,Partey muhimu na Aouar ni muhimu zaidiKwa sasa Arsenal haina kiungo wa kudefend wala kuattack that's why tukikutana na timu bora ulimi unatoka nje kwa viungo vyetu wa sasa tulionao, leo ni Wednesday anything can happen either tuwapate au tusiwapate hao wachezaji ila nimemcheki Aour na partey in my opinion naona partey ndo suluhisho la timu yetu kwa sasa licha Arteta anamtaka Aour siwezi kuwa akilini mwa kocha ila partey ndo suluhisho