Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
π€ππππ LIVERPOOLπππππ well played
Wakuu, kesho asubuhi mimi nachukua train ya mwisho Euro Star kutokea St Pancras naelekea Lyon kuangalia ustaarabu.
Ni lazima tumsajili Houssem Aouar by Friday.
Tukutane jumapili Arsenal na Sheffield United.
Mkuu kwa hiyo wewe unaona hizo TAKA TAKA zipo sawa?,ukitaka kufahamu hizo ni TAKA TAKA kwenye mechi muhimu kama hizi ndo utazielewa vizuri,haiwezekani ukikutana na timu ndogo ndo uonekane bora wakati timu kubwa zinakuzidi kila idara,Lacazette mara nyingi anabahatisha magori,angalia foward kama Vardy hata asipofunga lakini kashi kashi za mabeki wa timu pinzani wanazokumbana nazo,Lacazette nafasi 20 basi atafunga moja!!Mkuu samahani, unaujua mpira na kuufatilia mpira wa kizazi hiki vzuri?
KufaπππKuna wachezaji hawafai kabisa kuichezea Arsenal na wanapaswa kuuzwa iwe ni kwa kulazimisha au hiari!!
Kila siku huwa nasema Lacazette siyo mchezaji anayepaswa kucheza Arsenal,sijajua hii Taka taka waliokotea wapi,Hv foward unajua kabisa mmeshafungwa goli unapata nafasi kama ile unashindwa kufunga,Hii siyo foward bali ni kopo la chooni la kujichambia!!
WACHEZAJI WANAOPASWA KUONDOKA ARSENAL IWE NI HIARI AMA LAZIMA
1.LACAZETTE
2.PEPE
3.ELNENY
4.DAVID LUIS
5.BELELIN
HIZI TAKA - TAKA ZOTE INAPASWA ZIONDOKE HAPO
Arteta pia inapaswa abadilike mbwa yule,haiwezekani unasajili beki kwa gharama kubwa kama GABRIEL halafu unamwacha nje,unawezaje kumwacha nje mkata umeme kama Cebalos?,Angalia Alipo ingia namna gemu ilivyobadilika kwa upande wetu japo hatukupata goli lakini unaona kabisa anaichezesha timu!!,Hii gemu huyu Arteta asingewachezesha hao matahira wenzie tulikuwa tunapata sare!
NIMEUMIA SANA!
Mkuu nife tenaKufa
Nyie si huwa mkifungwa mnajinyongaπππMkuu nife tena
Mkuu siyo huku kwetu labda huko Kenya ndo wana-uwenda wazimu huoNyie si huwa mkifungwa mnajinyonga
Let's make revenge for our neighbor CHELSEA.View attachment 1583792
Man City jana amebugizwa 5...... Sisi wala hatuna roho mbaya kiasi hiko. Tutapiga Liverpol bao 3 tu ili marehemu asidhalilike sana.
FT Liver 3-1 Arsen8
Naona kuna watu wanajipa moyo tayari
Poleni sana wakuu. Bado tunawahitajiMkuu siyo huku kwetu labda huko Kenya ndo wana-uwenda wazimu huo
Tushachinjaa jogoo hukuu anapigapiga miguu anakata roho
Poleni sana wakuu. Bado tunawahitaji
Hakikisha tahere 28/10 unamchagua Lissu.