Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Aubameyang on why he stayed at Arsenal:

"The first thing was Mikel Arteta, because since he came in he brings a lot of positivity and a new philosophy for us. I think that was important because it matched my game and I feel that I can improve with him. " [@SkySportsNews]
 
.@skysports_sheth

: "Edu, Arteta, the rest of the Arsenal recruitment team are working very, very hard to make it 'Partey time' at the Emirates."
 
Pepe ngoja tumletee Attacking midfielder amchezeshe vizuri upande wake ili tumuonee, ila so far anakatisha tamaa.
una maana Gani? LILLE alikuwa anacheza Right wing ana Cut inside kama Arjen Robben

ana Tatizo "hayuko serious"

baba ake Pepe kamwambia "Achukulie mpira kama kazi sio kama kucheza For Fun"

maana Mpaka tunaongea Willian hawezi wekwa Bench na Nicholas Pepe
 
.@skysports_sheth

: "Edu, Arteta, the rest of the Arsenal recruitment team are working very, very hard to make it 'Partey time' at the Emirates."
Hii deal ya Torreira haitokei natoa sababu zifuatazo maana wanataka kui bully Arsenal

1.ATM wanamtumia Torreira kama Chambo wanajua yuko Desperate kucheza kwao so wamesababisha amekataa Offa za Italia so wanafosi Dry Loan Deals

2. wanajua Arsenal ina 8 senior payers lazima iwauze ndani ya wiki mbili hivyo arsenal pia wako Desperate to Sell, so wanaringa maana wao hawana Presha

3.ATM wanaweza kuwa wameivuruga Arsenal kwa Torreira kukataa Deal la Torino kwa maana akomae Kwenda ATM huku muda ukiisha na tumkose Partey maana Hatutopata Cash ya kumpata

4.ATM hawataki compromise yeyote kwa Thomas Partey whatsover ila wanafosi Arsenal wa bend kuwapa Mkopo bila obligation ya kimnunua Torreira, kitendo hiki ni Cha Kihuni
 
Klopp on facing Arsenal twice in 4 days:

"Thank God we have two home games. Sorry, Mikel. You have to come to Liverpool twice, It’s not so bad. It will be tough. We played #Arsenal last year but that was a real rollercoaster as well. 5-5, a penalty shootout"
 
una maana Gani? LILLE alikuwa anacheza Right wing ana Cut inside kama Arjen Robben

ana Tatizo "hayuko serious"

baba ake Pepe kamwambia "Achukulie mpira kama kazi sio kama kucheza For Fun"

maana Mpaka tunaongea Willian hawezi wekwa Bench na Nicholas Pepe
Hayuko serious for sure
 
Huyu Pepe anazidi kua miyeyusho yaani hajifunzi. Akileta masikhara atakua ni mchezaji anayeingia ili kuhold mpira kusogeza dakika mbele.

Una skills kama zile lakini kucut in na kuscore kwako ni shida. Zamani nilikua nasema amuangalie Robben au Mahrez. Siku hizi amuangalie Aubameyang akiwa anatokea kulia anachofanya.

Ukiwa unatokea pembeni unakua na options mbili, utoe assisst au uscore mwenyewe.

He does neither.
 
Hii deal ya Torreira haitokei natoa sababu zifuatazo maana wanataka kui bully Arsenal

1.ATM wanamtumia Torreira kama Chambo wanajua yuko Desperate kucheza kwao so wamesababisha amekataa Offa za Italia so wanafosi Dry Loan Deals

2. wanajua Arsenal ina 8 senior payers lazima iwauze ndani ya wiki mbili hivyo arsenal pia wako Desperate to Sell, so wanaringa maana wao hawana Presha

3.ATM wanaweza kuwa wameivuruga Arsenal kwa Torreira kukataa Deal la Torino kwa maana akomae Kwenda ATM huku muda ukiisha na tumkose Partey maana Hatutopata Cash ya kumpata

4.ATM hawataki compromise yeyote kwa Thomas Partey whatsover ila wanafosi Arsenal wa bend kuwapa Mkopo bila obligation ya kimnunua Torreira, kitendo hiki ni Cha Kihuni
Umeongea vema sna, ila namba 3 hiyo sio sawa, maana arseňal haiuzi ili kukusanya fedha za kununua wengine ila inauza ilì kupunguza namba ya idadi ya wachezaji wa kigeni ili waweze kupata nafasi ya wengine kuingia katika kikosi,

Hicho ndiö kipengêle kinachowabana sana maana waliöko sasa ni 18 na hawatakiwi kuongeza wengine bila kuondoa, lakini hilo haliwafanyi kuwaondoa waliopo kwa hasara, kwasababu klabu iliwekeza fedha kuwapata, itabidi kukomaa japo iingize chochote, ndio maana wamepunguza bei za wachezaji ili waweze kununulika kwa urahisi

Na hiyo ndîo sababu vilabu vingine vinaitumia kutubananisha maana wanaona hąpo ni kwa kuweza kuchota wachezaji kujipangia bei au loan.
 
Namba 3 ni sawa....Arsenal wanahitaji Pesa kweli kweli na Hali ya Kifedha baada ya Covid-19 Vilabu viko Taabani

Hatuwezi kununua Bila kuuza
 
Huyu Pepe anazidi kua miyeyusho yaani hajifunzi. Akileta masikhara atakua ni mchezaji anayeingia ili kuhold mpira kusogeza dakika mbele.

Una skills kama zile lakini kucut in na kuscore kwako ni shida. Zamani nilikua nasema amuangalie Robben au Mahrez. Siku hizi amuangalie Aubameyang akiwa anatokea kulia anachofanya.

Ukiwa unatokea pembeni unakua na options mbili, utoe assisst au uscore mwenyewe.

He does neither.
Hapo tulishawaambieni kuwa kwa comred kipepe mmepigwa...
 
Bado yuko involved kwenye goli 18 kwa msimu uliopita. Msimu huu kashahusika kwenye goli 2.

Sisi tunataka zaidi.

Man u, Chelsea, Madrid, Liverpool, Barcelona hao ndiyo wanapigwa.
 
Huyu Pepe anazidi kua miyeyusho yaani hajifunzi. Akileta masikhara atakua ni mchezaji anayeingia ili kuhold mpira kusogeza dakika mbele.

Una skills kama zile lakini kucut in na kuscore kwako ni shida. Zamani nilikua nasema amuangalie Robben au Mahrez. Siku hizi amuangalie Aubameyang akiwa anatokea kulia anachofanya.

Ukiwa unatokea pembeni unakua na options mbili, utoe assisst au uscore mwenyewe.

He does neither.
Kwa mujibu wa Auba , anasema Arteta anatumia muda mwingi sana kumrekebisha ,

Auba anasema hakuna mchezaji mwenye skills na mgumu kumkaba hapo Arsenal kama Pepe

Mm bado nampa muda hasa huu huu msimu wa pili
 
Kwa Arsenal ya sasa sioni wa kumzidi skills ila shida ndiyo hajui wakati sahihi wa kuacha skill moves na kutoa pasi au kuscore
 
Namba 3 ni sawa....Arsenal wanahitaji Pesa kweli kweli na Hali ya Kifedha baada ya Covid-19 Vilabu viko Taabani

Hatuwezi kununua Bila kuuza
Kanunuliwa Gabriel kauzwa nani ili kupata fedha ya usajiri wake? Kibiashara hata kama fedha unayo huwezi kufuja, so lazma tuuze ili nafasi ipatikane ya kuleta wengine,.
 
Back
Top Bottom