Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

The way klopp is talking, it's like he has finally learnt our style and fully prepared for us. I think he has a plan for us
Sio kwamba hajui, anajua vema sana utakumbuka niliongelea hii 5-4-1 na 4-5-1 formation siku ile tuliwafunga Westham. Nikasema hizi formation ukikutana na timu yenye viungo wakali kama Wolves anakuua na ndicho Klopp amekirudia hapa

Klopp on Arsenal, "It is the defensive structure, 100%. They defend properly. All the players are involved, they defend probably in a 5-4-1 which when you have quality players is a pretty tricky situation for the other team."

Shida kubwa huu mfumo unailetea timu pinzani ni kuwa, wewe unatembea na draw mkononi akikosea kafa yeye.

Ili ushinde against this formation unatakiwa kuwa perfect kwenye formation yako almost 100%. Kibaya zaidi huu mfumo unatoa multiple chances za correction defensively na kuacha high risk za errors kwa mpinzani wako. Ndio maana utaona kama Arsenal anapaki basi vile ila yuko very confortable wakati opponent ana mpira, yaani mnajilinda bila stress.

Je Liverpool wanaweza kuwa na 100% perfection against Auba, Willian, Lacca/Pepe pale mbele? For me, simply no!! I still see some holes in their defence.
 
Nakuja kutoa maoni yangu nionavyo kuhusu hii mechi
 
Wew jamaa
 
Hii game na Liva ni ya 3 katika ligi. Yeyote atakayepoteza kati yetu haitampa tathmini ya maisha yake yaliyobaki katika ligi. Arsenal hatuna plan na kombe msimu huu wala ujao tutakua tumerelax Liva watakua aggressive kutuzidi.

With aggressiveness comes recklessness na kujisahau. Akimpanga Milner na Keita katika mid itakua vyema zaidi kiukweli hawa hua wanakua frustrated mpira usipokua upande wao.

Arsenal tutaingia tukiwa na confidence kidogo, ushindi wetu kwa West Ham na Leicester haujawa wa kibabe. Liva ataingia akiwa na confidence pia. Kwavile kaifunga Chelsea let's hope watakua overconfidence na kucheza kihasira.

Cha kuangalia ni VAR. Arsenal siyo favourite when it comes to VAR na Mane ana tabia ya kudive.

Tustick na formation yetu. Bayern waliscore magoli zaidi ya 40 lakini Thiago hakutoa hata assisst moja so anakabika. Na hapo ndiyo pa kumuweka Elneny na Xhaka pale kati. Pembeni Niles na Bellerin mbele kabisa Aubameyang, Lacazette na Willian.

Either way a win will have a great advantage in Arsenal's dressing room na hili naamini Arteta analipigania as ameshaona timu ikiwa na morali ya chini inavyokua.
 
Mtazamo wangu kuelekea mechi ya Liverpool V/s Arsenal

Kwanza kabisa naimani tutaingia na mfumo ule ule wa 3-4-3

Na prefer katika mabeki watatu ,waanze Luiz Gabriel na Kieran Tierny

Sababu ninayoiona Luiz na Gabriel ni wazuri sana kuwini Mipira ya Juu (aerial duel) pia Wote wawili ni wazuri kwa Long balls , hivo wakati fullbacks za Liverpool zitakapokuwa zinapanda ni rahisi sana wote wawili kupeleka long balls kwa Auba na willian ambao wana kasi ,na maamuzi ya haraka .

Eneo la kati Ningependa kuona Wingback ya kulia Bellerin akianza huku Wingback ya kushoto Maitland Niles

Viungo wakati , Ceballos na Xhaka. , Bado na prefer Ceballos over Elneny japo inaleta ugumu kuchagua , lakini Ceballos kwangu naona ni kiungo ambaye hata timu ikiamua kudefend bado ni mvumilivu , elneny amekuwa akifanya vzr anapopewa nafasi na Ni mzuri kwenye pass Accuracy , Eneo wanalocheza Ceballos au Elneny, muda mwingi wanarud chini kuchukua mipira kutoka kwa Back line na kuisambaza kwa Wingbacks , Elneny ana pass accuracy kubwa kushinda Ceballos , lakini kwangu Ceballos amekuwa mvumilivu na mwenye kufanya movement , hivo na Prefer

Xhaka & Ceballos

Uwepo wa Niles na Kieran Tierny unasaidia sana kwenye movement za kumu accommodate Aubameyang , pia Kasi na sharp ya Kieran Tierny katika kupanda imekuwa ikimsaidia Sana Aubameyang.

Mbele na mwisho Ni Willian RW Lacazette CF na Aubameyang LW

Lacazette kama kawaida huwa anashuka na kufanya jumla eneo la kati tuwe watano ,pia wakati wa buildup amekuwa msaada kuja kuchukua mipira na kufanya movement za kuwaface CBs za beki pinzani hivo Kuacha mwanya kwa Aubameyang kufanya yake

Uwepo wa Willian utatuongezea kasi kule mbele .....

Mwisho mech ni ngumu , Lakini mentality na Morale ya wachezaji ni kupambana hadi mwisho

IMG-20200914-WA0014.jpg
 
Safi umechambua vizuri.

Hapa kwa maoni yangu akipangwa Thiago ndio nzuri kwetu kwa kuwa ligi zote alizocheza kuanzia La Liga hadi Bundesliga huu mfumo wa 3-4-3 hautumiki na timu almost zote hivyo naamini tutampatia 'surprise' ya 'ugeni' wake

With aggressiveness comes recklessness na kujisahau. Akimpanga Milner na Keita katika mid itakua vyema zaidi kiukweli hawa hua wanakua frustrated mpira usipokua upande wao.

Kama atakuwa deployed deep kama ilivyokuwa kwenye game ya Chelsea ndio itakuwa nzuri zaidi ingawa tunatakiwa kuwa makini sana na Mo na Mane kwa kuwa Thiago anajua 'kuwasha taa' hatari.
Tustick na formation yetu. Bayern waliscore magoli zaidi ya 40 lakini Thiago hakutoa hata assisst moja so anakabika. Na hapo ndiyo pa kumuweka Elneny na Xhaka pale kati. Pembeni Niles na Bellerin mbele kabisa Aubameyang, Lacazette na Willian.
 
Hatimaye Aouar amekubali Kwenda Arsenal

Telefoot ni most reliable 100%

Houssem Aouar agrees to join Arsenal. Discussions over a fee taking place. [@telefoot_chaine]
IMG_20200925_200759_400.JPG
 
Hii game na Liva ni ya 3 katika ligi. Yeyote atakayepoteza kati yetu haitampa tathmini ya maisha yake yaliyobaki katika ligi. Arsenal hatuna plan na kombe msimu huu wala ujao tutakua tumerelax Liva watakua aggressive kutuzidi.

With aggressiveness comes recklessness na kujisahau. Akimpanga Milner na Keita katika mid itakua vyema zaidi kiukweli hawa hua wanakua frustrated mpira usipokua upande wao.

Arsenal tutaingia tukiwa na confidence kidogo, ushindi wetu kwa West Ham na Leicester haujawa wa kibabe. Liva ataingia akiwa na confidence pia. Kwavile kaifunga Chelsea let's hope watakua overconfidence na kucheza kihasira.

Cha kuangalia ni VAR. Arsenal siyo favourite when it comes to VAR na Mane ana tabia ya kudive.

Tustick na formation yetu. Bayern waliscore magoli zaidi ya 40 lakini Thiago hakutoa hata assisst moja so anakabika. Na hapo ndiyo pa kumuweka Elneny na Xhaka pale kati. Pembeni Niles na Bellerin mbele kabisa Aubameyang, Lacazette na Willian.

Either way a win will have a great advantage in Arsenal's dressing room na hili naamini Arteta analipigania as ameshaona timu ikiwa na morali ya chini inavyokua.

Najaribu kukuelewa lakini tuna tofautiana kidogo, mechi hii sisi sio underdog, Yes I know Liverpool will try to be aggressive going forward, but remember, this is a different arsenal. We have a formidable defense and a strong attacking side compared to the last combination we used and came up with a 2-1 win when we last met. Klopp bado anapata sleepless night when it comes to meeting arsenal
 
mysterio ni kweli siyo underdog lakini siyo favourite kushinda hii mechi.

Klopp anajitahidi kupandisha morali ya timu yake kwa kila anachoongea muda huu so ataongea anachojisikia.
 
Ni muda wa Fee kati ya Arsenal na Lyon

Houssem Aouar agrees to join Arsenal. Discussions over a fee taking place. [@telefoot_chaine]
 
Hatimaye Aouar amekubali Kwenda Arsenal

Telefoot ni most reliable 100%

Houssem Aouar agrees to join Arsenal. Discussions over a fee taking place. [@telefoot_chaine]
View attachment 1580817
Kwani mwanzo aliyekua anakataa ni yeye au klabu?

Kuna mbadala unaitwa Pereira endapo Partey hatokuja. Lakini tuna Elneny na Ceballos
 
Arsenal na Lyon wapo kwenye Mazungumzo Ya ulipaji either kwa Installment au Add ons

Aouar amekubali kujiunga na Arsenal
IMG_20200925_202620_421.JPG
 
Back
Top Bottom