Bukayo jr
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 2,782
- 1,647
Washenzi wakubwa haoWahuni hawa , ila Arsenal kawaweza ,
Wanatakiwa waji commit Loan with obligation to buy
So Next season uhakika lazima walipe hiyo €24m , hivo tutaspend huku una uhakika hiyo hela msimu ujao unairudishia
Ndicho naona kinachotaka kufanyika, ndio maana tumewakazia hapo ,
Wao kwa Partey hawataki negotiation