Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kanunuliwa Gabriel kauzwa nani ili kupata fedha ya usajiri wake? Kibiashara hata kama fedha unayo huwezi kufuja, so lazma tuuze ili nafasi ipatikane ya kuleta wengine,.
Usajili wa Gabriel ulikuwa within Our Budget
 
Jürgen Klopp on Mikel Arteta:

"He's shown in a short period of time that he's an exceptional manager. He's changed the structure, got balance between defence/offence. They have good organisation, still with creative freedom. He's changed the mood at the club."
 
Umeongea vema sna, ila namba 3 hiyo sio sawa, maana arseňal haiuzi ili kukusanya fedha za kununua wengine ila inauza ilì kupunguza namba ya idadi ya wachezaji wa kigeni ili waweze kupata nafasi ya wengine kuingia katika kikosi,

Hicho ndiö kipengêle kinachowabana sana maana waliöko sasa ni 18 na hawatakiwi kuongeza wengine bila kuondoa, lakini hilo haliwafanyi kuwaondoa waliopo kwa hasara, kwasababu klabu iliwekeza fedha kuwapata, itabidi kukomaa japo iingize chochote, ndio maana wamepunguza bei za wachezaji ili waweze kununulika kwa urahisi


Na hiyo ndîo sababu vilabu vingine vinaitumia kutubananisha maana wanaona hąpo ni kwa kuweza kuchota wachezaji kujipangia bei au loan.
Dully ,Subiri dakika za mwisho, ujue Kuna klabu zinataka kutufanyia ujinga ,Atletico hawataki Ku negotiate kuhusu Partey,

Pia hawataki Dili la Toreira liunganishwe Na Partey ,

Pia hawataki Dili la toreira liwe permanent, wanataka loan with option na sio obligation

Maana wanajua hela ya Toreira tutaongezea tumbebe Partey ,

So Mwenye mamlaka kwasasa ya Kuuza na kubakiza Ni Arteta ,

Naona Hataki kufanya biashara kichaa , Hivo Tutamuuza Toreira Italy halafu tutambeba partey ,watajua kuwa hawajui


Angalia Kuna vilabu vinadharau sana , Eti Wanakuja wanamtaka Martinez kwa £10m , Arteta akawakazia, wakaleta £20m

Hata Niles walitaka kuleta £15m
 
Arsenal wanatakiwa kupull out Deal la Torreira na ATLETICO na kumwambia Aende Italia

ila hawapaswi kukubali Bullying ya ATM ni Upuuzi
Yah wafanye hivo ,halafu tukamchukue Partey ,tuone kiburi chao,

Mm ningependa wamnunue Partey dk za lala salama , tuone huyo mbadala wake watampata saa ngapi

Jamaa wanatukazia kwa Partey, halafu wao wanataka kwa Toreira walegezewe
 
Any departure ya Toreira iwe Permanent au Loan with obligation to buy kwa £22m

Basi Itasaidia kuactivate Release Clause ya Partey ya €50m(£43.5m)

Maana kuna £20m za Martinez hazijatumika

So , Hii ndio sababu Atletico hawataki kukubali deal la loan with obligation to buy , maana watakuwa wamezungukwa

If Atletico do choose to buy Torreira permanently for the reported £24m, then Arsenal will activate Partey’s release clause.

£24m from Torreria
£20m from Martinez

£43.5m for Partey’s release clause
 
- Mikel Arteta can see "big developments" in Nicolas Pepe
- Arsenal "still open to improve"
- "We are looking for different options depending on what happens with our players here."
- No updates on Torreira
- Arsenal will need "to be ruthless and suffer."
Arsenal press conference live: Arteta on transfers, Ozil, Aouar and Liverpool
IMG_20200921_213859.jpg
 
Arteta on being linked with Jorginho at Chelsea:


'We are still open to improve our team, we are looking for different options depending on what happens with some of our players here so we are getting prepared just in case we need to do something.'
 
Arteta not giving anything away in terms of transfers at today's presser.

Says Arsenal are 'still open to improve'. No update on Torreira and wouldn't be drawn on Jorginho.

"I can’t open up on players who play for a different team. It’s not appropriate from my side."

Arteta on what potential qualities he sees in Jorginho:


'Sorry, but I cannot talk about players that play for a different team. [Discussing] their qualities is not appropriate from my side.'
 
Arteta juu ya usajiri

"Bado tuko wazi kuboresha timu yetu, tunatafuta chaguzi tofauti kulingana na kile kitatokea kwa wachezaji wetu wengine hapa kwa hivyo tunajiandaa ikiwa tu tutahitaji kufanya kitu" #Arsenal
 
Arteta on Pepe:

"I think he's come a long way. We know what the club paid for him & that was obviously an extra pressure but he's a player who's had to adapt, it's a different style. He has a really good attitude. We can see development in a lot of phases of his game"

"He's very settled here, he's liked by the boys, he's a really good character to have around & I'm really positive that we're going to have him for many years & that he can perform at a really high level consistently"
IMG_20200925_151739.jpg
 
WAANDISHI MASWALI YAO YANAKERA SANA

Mikel Arteta on if he tried to sign Thiago Alcantara:

“We don’t discuss the things that we try to do in the market.” #afc
 
Atletico wanatarajia wamuuze Hector Herrera ndiyo wawe na pesa ya kubargain juu ya Torreira tusiwaone kiburi
Hapana , Toreira wanataka akawe mbadala wa Herera ambaye anaondoka nadhan free au kwa hela ndogo tu


Lakini wao wanamtaka Toreira kwa mkopo dry , au wenye chaguo la kumnunua au kutomnunua ,

Wakati Arteta anataka kumuondoa Toreira permanent au kwa loan with obligation to buy , Shida ndio ipo hapo

Basi Wamjumuishe Toreira kwenye dili la Partey hawataki

Basi walegeze kwenye dili la partey hawataki ila wao wanataka walegezewe kwa Toreira
 
Tunaenda Anflied kupambana


Arteta on Liverpool:

"We know the standards they've set in this league, how consistent they've been & thats because they dominate almost every aspect of the game. So we need to be at our best, we need to compete really well against [them] & hopefully the boys are able to do that"
 
NAONA SAFARI HII KLOPP KATUSOMA VYA KUTOSHA

Klopp on why top teams have struggled against Arsenal recently:

"It is the defensive structure, 100%. They defend properly. All the players are involved, they defend probably in a 5-4-1 which when you have quality players is a pretty tricky situation for the other team."


Jürgen Klopp on Arteta:

"He has showed in a short period of time that he seems to be an exceptional football manager. The structure of the team he sets up is exceptional - balance between offence and defence is really good. He has changed the whole mood there." [@JamesPearceLFC]
IMG_20200925_152804.jpg
 
The way klopp is talking, it's like he has finally learnt our style and fully prepared for us. I think he has a plan for us
 
Back
Top Bottom