Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Granit Xhaka completed 15 long balls against West Ham on Saturday.
Yes, fifteen.
Yes, fifteen.
Niliwaandika makala juz kuhusu ni RAHISI elneny kufaulu kwa Arteta kuliko Toreira ,
Ingawa Toreira anamzid sana tu Elneny
Lkn ni Rahis Toreira kufaulu kwa Simeon au Mourinho
Toreira kwa Simeon atafanikiwa sana, Simeon Anapenda sana Type ya Wachezaji kama Toreira
Asante sana kwa Elimu hii , nimeongeza kitu kikubwa sana ,Uko sahihi, Torreira si mbaya hata kidogo isipokuwa ni namna ya uchezaji wake na falsafa ya sasa ya timu zimepishana kidogo.
Ni kiungo mzama uvunguni ambaye ni mzuri sana kwa timu/kocha anaye penda kufanya man to man marking.
Man to man marking ni defensive technique inayo tumiwa kupokonya mipira wakati adui anakushambulia na kisha kufanya shambulizi la kustukiza (counter attack). Kama ulivosema Mou na 'Cholo' ni wazuri sana kwenye mfumo huo wa ulinzi.
Wakati kwa Arteta na wengine kama Guardiola na Klopp wanatumia 'defensive unit' (kukaba kama timu) wakati hauna mpira na kumnyima mpinzani space na hivyo kumpokonya mpira na kuanzisha counter attacks au kuanza kucheza kuanzia kwa kipa (playing/building from behind) na kumfanya mpinzani aje kukaba na kuacha space kubwa kwenye half yake inayokuwezesha kufanya counter attacks.
Hii style ya kina Arteta inahitaji viungo wanyumbulifu wenye quick transition mind wanaoweza kuutoa mpira kwenye kundi la watu kwa pasi ndefu (zenye macho) ama kudribble past players.
Ukimtazama Partey na Aouar wataongeza sana creativity kwenye midfield kama tukiwanasa.
Pamoja mkuu, ukitazama midfield yetu kwa sasa utaona kama vile hatuna dedicated defensive midfielder, sio tu hatuna lakini ukweli ni kwamba hatuhitaji mtu wa hivyo ndio maana Torreira anakosa nafasi.Asante sana kwa Elimu hii , nimeongeza kitu kikubwa sana ,
Safi sana mkuu, Ebu shusha na madini mechi ya Juzi na Westham tulistrugle sana, what went wrong?Pamoja mkuu, ukitazama midfield yetu kwa sasa utaona kama vile hatuna dedicated defensive midfielder, sio tu hatuna lakini ukweli ni kwamba hatuhitaji mtu wa hivyo ndio maana Torreira anakosa nafasi.
Xhaka ambaye alitumiwa kama defensive midfielder na Unai alifeli vibaya sana ila leo yeye na Dani ndio wamekamata pale na hatushambuliwi hovyo sababu wachezaji wote juu na pembeni ya ile double pivot yao wanatengeneza defensive unit wakati hatuna mpira, ndio maana utamuona Lacca most of the time anashuka kufanya marking kwenye midfield.
Yul mtt mdgo cc 2lijua ikifk mda mwnyw ata legeza na ww c umeona au ww ulitk 2fungw?Mmeshinda sawa lakini kwawale walioangalia mechi hiyo ukweli wanaujua sema tu mwanaume huwezi ukayakubali mapungufu yako kirahisi.
Safi sana mkuu, Ebu shusha na madini mechi ya Juzi na Westham tulistrugle sana, what went wrong?
Juzi ukiangalia Westham alicheza kwa mfumo wa 5-4-1, huu mfumo pamoja na 4-5-1 huwa unajaza sana viungo kwenye midfield tuliwahi kujadili hapa na Castr.Safi sana mkuu, Ebu shusha na madini mechi ya Juzi na Westham tulistrugle sana, what went wrong?
Mkuu umeshusha nondo za hatari sana!... Endelea kushusha vitu wadau wanakusubiri hukuUko sahihi, Torreira si mbaya hata kidogo isipokuwa ni namna ya uchezaji wake na falsafa ya sasa ya timu zimepishana kidogo.
Ni kiungo mzama uvunguni ambaye ni mzuri sana kwa timu/kocha anaye penda kufanya man to man marking.
Man to man marking ni defensive technique inayo tumiwa kupokonya mipira wakati adui anakushambulia na kisha kufanya shambulizi la kustukiza (counter attack). Kama ulivosema Mou na 'Cholo' ni wazuri sana kwenye mfumo huo wa ulinzi.
Wakati kwa Arteta na wengine kama Guardiola na Klopp wanatumia 'defensive unit' (kukaba kama timu) wakati hauna mpira na kumnyima mpinzani space na hivyo kumpokonya mpira na kuanzisha counter attacks au kuanza kucheza kuanzia kwa kipa (playing/building from behind) na kumfanya mpinzani aje kukaba na kuacha space kubwa kwenye half yake inayokuwezesha kufanya counter attacks.
Hii style ya kina Arteta inahitaji viungo wanyumbulifu wenye quick transition mind wanaoweza kuutoa mpira kwenye kundi la watu kwa pasi ndefu (zenye macho) ama kudribble past players.
Ukimtazama Partey na Aouar wataongeza sana creativity kwenye midfield kama tukiwanasa.
Umenifungua sana macho!.. Barikiwa sanaJuzi ukiangalia Westham alicheza kwa mfumo wa 5-4-1, huu mfumo pamoja na 4-5-1 huwa unajaza sana viungo kwenye midfield tuliwahi kujadili hapa na Castr.
Midfield ikiwa congested sana team yenye attacking mind inateseka sana kufanya attacks kupitia kati kati kwa kuwa hii mifumo inakupa good balance btn defence and midfield.
Actually ni formation za timu ndogo kuongeza stress kwenye midfield ili kuharibu attacking plan ya favourite team.
Hali ikiwa hivyo utahitaji kushift kushambulia kupitia flanks ama build up plays na kwa mfumo wetu tulihitaji full backs ili kushambulia, kumbuka hatukuwa na Tierney(injured) na Niles kwa hiyo ni kama vile hatukuwa na plan B nzuri ya kushambulia.
Utaona tulikuwa na shots chache sana
( 7 dhidi ya 14 za Westham) pamoja na kumiliki mpira kwa 63%. Cross tulipiga 17 dhidi ya 27 za kwao.
Kulikuwa na successful duels (mipira ya kugombea) nyingi sana 42 vs 38 na successful aerial duels nyingi 16 vs 15.
Tactically duels zikiwa nyingi sana maana yake game ilikuwa ngumu kupiga pasi sababu ya kiungo kujaa wachezaji wengi (km nilivo dokeza juu hapo) hivyo inabidi kupiga mipira mirefu ya kwenda kwa strikers ambayo haina uhakika sana ni ya kugombewa na wachezaji wote.
Kwa maoni yangu hiyo ndio ilikuwa sababu , ukikutana na team yenye viungo wengi wazuri kama wa Wolves inayocheza 4-5-1 kina Traore, Moutinho na Jimenez wanakuua kabisa. Ndio maana Wolves anasumbua sana timu kubwa.
Mechi na Liver ni ngumu kwa timu zote mbili. Natarajia kama kawaida tutacheza diamond 3-4-3 ili kuwakabili kwenye kiungo.Bila kusahau na utabiri wa mechi ijayo na majogoo nini mtizamo wake
Ndugu yake willock huyu , ila kutoboa kaz sanaHuddersfield agree £1million fee with Benfica for former Arsenal player Willock
Shukran sana mkuu,Mechi na Liver ni ngumu kwa timu zote mbili. Natarajia kama kawaida tutacheza diamond 3-4-3 ili kuwakabili kwenye kiungo.
Kama Niles atakuwepo, sitashangaa akacheza left full back ili kumkabili Mo Salah akitokea kulia (inverted right wing).
Ujio wa Thiago unawaongezea Liver creativity kwenye midfield ambayo wanaikosa kwa Hendo, hivyo akianza patakuwa na mshike mshike tusipo mdhibiti vema.
Ukicheki mechi ya Chelsea jana ameweka record ya kupiga completed passes 72 huku akiwa amecheza dk 45 tu, ni pasi nyingi kuliko zilizopigwa na mchezaji yoyote wa Chelsea aliyecheza dk 90. Na ni pasi nyingi kuwahi kupigwa ndani ya dk 45 tangu Opta Stats ilipoanza kuchukua records za passing msimu wa 2003/2004.
Liverpool wana hitaji sana kushinda ili kuweka sawa utetezi wao wa ubingwa lakini haitakuwa rahisi mbele ya Arsenal ya Arteta ambayo imemtengenezea Liver na wengine 'fear factor'.
Kutokuwa na washabiki pia kunarahisisha maisha ya Arsenal pale Anfield. For me, Anfield with supporters is quite different from it without.
Kwa Asernal it is important to win but its more important not to lose, kwa hiyo my prediction is draw.

@runaralexMechi na Liver ni ngumu kwa timu zote mbili. Natarajia kama kawaida tutacheza diamond 3-4-3 ili kuwakabili kwenye kiungo.
Kama Niles atakuwepo, sitashangaa akacheza left full back ili kumkabili Mo Salah akitokea kulia (inverted right wing).
Ujio wa Thiago unawaongezea Liver creativity kwenye midfield ambayo wanaikosa kwa Hendo, hivyo akianza patakuwa na mshike mshike tusipo mdhibiti vema.
Ukicheki mechi ya Chelsea jana ameweka record ya kupiga completed passes 72 huku akiwa amecheza dk 45 tu, ni pasi nyingi kuliko zilizopigwa na mchezaji yoyote wa Chelsea aliyecheza dk 90. Na ni pasi nyingi kuwahi kupigwa ndani ya dk 45 tangu Opta Stats ilipoanza kuchukua records za passing msimu wa 2003/2004.
Liverpool wana hitaji sana kushinda ili kuweka sawa utetezi wao wa ubingwa lakini haitakuwa rahisi mbele ya Arsenal ya Arteta ambayo imemtengenezea Liver na wengine 'fear factor'.
Kutokuwa na washabiki pia kunarahisisha maisha ya Arsenal pale Anfield. For me, Anfield with supporters is quite different from it without.
Kwa Asernal it is important to win but its more important not to lose, kwa hiyo my prediction is draw.
Si kwa Mikwara hii Runa
Alex Runarsson, kipa mpya wa #AFC:
"Mimi ni kipa wa kisasa, moja wapo ya sifa zangu nzuri ni kuwa ni mtulivu kwenye miguu yangu, ninaweza kucheza kwa mguu wangu wa kulia na kushoto. Siogopi kucheza kama sweeper na mimi ni mzuri dhidi mshambuliaji ana kwa ana(one against one). "View attachment 1576485
Nimefurahi kwamba sasa tunaweza kusema mechi ni ngumu kwa pande zote mbili. Kuna wakati tuliweza kusema mechi ni ngumu kwetu lakini ni rahisi kwa Liverpool. Kazi kubwa ipo mbele yetu bado msimu huu lakini angalau tunajiamini zaidi hata mashabiki. Mashabiki wa Liverpool nawapiga biti kinoma mtaani. Yaani full "point tatu uhakika pale Anfield. Salah, Mane, wote hamna kitu mbele ya Gabriel" na majigambo kibaaaooo. Ingawa najua kabisa kuwafunga hawa jamaa Anfield siyo kitu kidogo kabisa kwa form yao ya recent seasaons.![]()
![]()
![]()
Unyonge haukubaliki kwa Arteta
![]()