Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta on Lacazette's future:


"At the moment, we haven't started any negotiations [to extend his contract]. We have a lot of things still to do in this market & at the moment we are focusing on those things" #Arsenal
 
View attachment 1574824
IMG_20200920_015432.jpg
 
Arteta on if he wants to sign midfielders:


"Depending on what happens with some other players... As I say again, we are open to discussions, the market can surprise us. [Teams] can come for any of our players in different positions & we have to react, like it happened with Emi"
 
Hatari.

Tumedominate game yet ushindi mwembamba.

Creative mid inahitajika.

Am disapointed Elneny... Ila hata hivyo Ceballos kaamsha hatari anastahili man of the match.

Ni ushindi yea ila ni kwa mbinde.

Nawangoja Chelsea.
Kwampira uliocheza jana unaomba ukutane na Chelseafc kweli!. acheni dharau.
 
Mmeshinda sawa lakini kwawale walioangalia mechi hiyo ukweli wanaujua sema tu mwanaume huwezi ukayakubali mapungufu yako kirahisi.
Kwa Sasa , na Bado hatujasajiri eneo la kati, na Kufanya rotation ya kikos

Tulipambana , hao westham , walikutandika 3 juz juz tu hapa
IMG_20200920_085133_111.JPG
 
Tunahamia leo Darajani sio baada ya mechi hatukuoni.
Karibuni sana mje muone wanaume wanavyo sakata kabumbu safi,lakini mwisho wa mechi msiwe wazito kuja kutoa pongenzi kwa wanachelsea,coz leo Liverpool hatoboi.
 
Mmeshinda sawa lakini kwawale walioangalia mechi hiyo ukweli wanaujua sema tu mwanaume huwezi ukayakubali mapungufu yako kirahisi.
Goli la pili.

Assisst - Dani Ceballos

Scorer - Nketiah

Hawa wawili wiki nyuma waligombana, jana wamegeana assisst na kuipa ushindi timu.


Chelsea, goli la kwanza ni penati iliyosababishwa na jamaa mmoja anayelalamika kua uingereza kuna mabeki warefu na wana nguvu.

Hivi kashascore?
 
Back
Top Bottom