Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Karibuni sana mje muone wanaume wanavyo sakata kabumbu safi,lakini mwisho wa mechi msiwe wazito kuja kutoa pongenzi kwa wanachelsea,coz leo Liverpool hatoboi.
Naona leo mmekubali kulala bila chupi hapo hapo darajani kwenu mwanaume kajipigia.
 
According to the reliable @SebasGiovanelli, Lucas Torreira is very close to becoming an Atletico Madrid player. #Arsenal
IMG_20200920_214403_336.JPG
 
Tungefanya 'swap' na partey then tuwaongezee chenji kidogo.
Ndio kinachofanyika kaka ,Kama tunamuuz Toreira €25m bas tutaongeza another €25m tunamaliza biashara

Hata hivo Toreira anaenda kama mbadala wa Partey

Sasa jiulize Partey anaenda wapi

Tayari huko instagram Ndugu wa Toreira wameanza kufollow Atletico
 
Kulingana na mwandishi anayeaminika sana kutoka Uruguay @SebasGiovanelli,

Anasema Lucas Torreira anakaribia sana kuwa mchezaji wa Atletico Madrid.
IMG_20200920_214403_336.JPG
 
Kilichopo had sasa

research inaonesha Torreira’s friend follow Atleti on socials and @Delazig(msemaji wa Partey) responding to Partey to Arsenal tweets

Partey at the Emirates soon
Wow!!

Then aour is our next target,

Come on you..gunners
 
Naombea sana Atletico wamsajili LT11,Kwanza atakuwa kaenda timu nzuri kwa upande wake, pili itatupa fursa za kumnasa Partey na Aouar kwa pamoja.
Niliwaandika makala juz kuhusu ni RAHISI elneny kufaulu kwa Arteta kuliko Toreira ,

Ingawa Toreira anamzid sana tu Elneny

Lkn ni Rahis Toreira kufaulu kwa Simeon au Mourinho

Toreira kwa Simeon atafanikiwa sana, Simeon Anapenda sana Type ya Wachezaji kama Toreira
 
Lucas Torreira & Thomas Partey' swap deal is close. #AFC should pay around £20m plus to complete the deal with Atletico Madrid. A £23m plus Torreira is more likely. Talks ongoing between both clubs and Diego Simeone want Lucas badly. #AFC

London source
 
36PL games to go..

Next opponent ni liverpool afu away,Mara ya mwisho kwenye league pale anfield Liverpool alifungwa mwaka 2017 Kama kumbukumbu zangu zitakua sawa,

Kiukweli game ni ngumu pande zote mbili,ila naona siku hizi Liverpool makali yake yanaanza kupungua yaani sio Liverpool ile ya kufanya pressing muda wote ya msimu uliopita,

Hata kwenye game ya leo jirani yetu kikubwa 'kilichom cost' ni ile red card na upambavu wa joginho kupiga penalty Kama anaruka mtaro,

Advantage yetu sasaiv ni kua tuna morali na at least tactics za mwalimu zipo vyema(sio za Yule tapeli unai maana kuna mechi vs Liverpool,Auba aligusa mpira Mara 14 tu),

Ni matumaini yangu Kama sajili Muhimu zikifanyika katika huu msimu Kama vile kuwaleta partey na aouar,Basi haters wote wajipange

My prediction

Liverpool 1:2 Arsenal
 
Niliwaandika makala juz kuhusu ni RAHISI elneny kufaulu kwa Arteta kuliko Toreira ,

Ingawa Toreira anamzid sana tu Elneny

Lkn ni Rahis Toreira kufaulu kwa Simeon au Mourinho

Toreira kwa Simeon atafanikiwa sana, Simeon Anapenda sana Type ya Wachezaji kama Toreira
El cholo mpira wake wa kihuni huni kwahyo wachezaji wahuni wahuni na ambao wanafika mpaka uvunguni Kama LT11 ndo unaowafaa

MO El neny na Dani cebaloss wametofautiana kidogo sana 'style' za uchezaji wao zina resemble
 
36PL games to go..

Next opponent ni liverpool afu away,Mara ya mwisho kwenye league pale anfield Liverpool alifungwa mwaka 2017 Kama kumbukumbu zangu zitakua sawa,

Kiukweli game ni ngumu pande zote mbili,ila naona siku hizi Liverpool makali yake yanaanza kupungua yaani sio Liverpool ile ya kufanya pressing muda wote ya msimu uliopita,

Hata kwenye game ya leo jirani yetu kikubwa 'kilichom cost' ni ile red card na upambavu wa joginho kupiga penalty Kama anaruka mtaro,

Advantage yetu sasaiv ni kua tuna morali na at least tactics za mwalimu zipo vyema(sio za Yule tapeli unai maana kuna mechi vs Liverpool,Auba aligusa mpira Mara 14 tu),

Ni matumaini yangu Kama sajili Muhimu zikifanyika katika huu msimu Kama vile kuwaleta partey na aouar,Basi haters wote wajipange

My prediction

Liverpool 1:2 Arsenal
Subiri siku ifike
 
The Athletic UK wametthibitisha

As reported in Uruguay, Atletico Madrid are in talks to sign Lucas Torreira. @TheAthleticUK

Discussions are centred on a 1-year loan. #AFC hope moving Torreira on will help them sign one of their top targets: Lyon’s Auoar or Atleti’s own Thomas Partey.

Sensible Transfers: Thomas Partey is still at the top of Arsenal's list
IMG_20200919_075943.jpg
 
Niliwaandika makala juz kuhusu ni RAHISI elneny kufaulu kwa Arteta kuliko Toreira ,

Ingawa Toreira anamzid sana tu Elneny

Lkn ni Rahis Toreira kufaulu kwa Simeon au Mourinho

Toreira kwa Simeon atafanikiwa sana, Simeon Anapenda sana Type ya Wachezaji kama Toreira
Niliona umeandika hiyo kitu juzi, then nikasikia Simeone anamtaka!.. Wewe bro unaujua sana mpira!.
 
Fabrizio Romano anasema

Atlético Madrid are in talks with Arsenal to sign Torreira on loan with buy option.

#AFC want to sell him on permanent deal to try again for Thomas or Aouar.

Torreira is desperate to leave.

...but Atléti need to sell before signing new players.
 
Fabrizio Romano anasema

Atlético Madrid wanafanya mazungumzo na Arsenal kumsaini Torreira kwa mkopo na chaguo la kumnunua.

#AFC wanataka kumuuza kwa makubaliano ya moja kwa moja ili kujaribu tena kwa Thomas Partey au Aouar.

Torreira anatamani sana kuondoka. ...

lakini Atletico anahitaji kuuza kabla ya kusaini wachezaji wapya.
 
Back
Top Bottom