Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mechi na Liver ni ngumu kwa timu zote mbili. Natarajia kama kawaida tutacheza diamond 3-4-3 ili kuwakabili kwenye kiungo.

Kama Niles atakuwepo, sitashangaa akacheza left full back ili kumkabili Mo Salah akitokea kulia (inverted right wing).

Ujio wa Thiago unawaongezea Liver creativity kwenye midfield ambayo wanaikosa kwa Hendo, hivyo akianza patakuwa na mshike mshike tusipo mdhibiti vema.

Ukicheki mechi ya Chelsea jana ameweka record ya kupiga completed passes 72 huku akiwa amecheza dk 45 tu, ni pasi nyingi kuliko zilizopigwa na mchezaji yoyote wa Chelsea aliyecheza dk 90. Na ni pasi nyingi kuwahi kupigwa ndani ya dk 45 tangu Opta Stats ilipoanza kuchukua records za passing msimu wa 2003/2004.

Liverpool wana hitaji sana kushinda ili kuweka sawa utetezi wao wa ubingwa lakini haitakuwa rahisi mbele ya Arsenal ya Arteta ambayo imemtengenezea Liver na wengine 'fear factor'.

Kutokuwa na washabiki pia kunarahisisha maisha ya Arsenal pale Anfield. For me, Anfield with supporters is quite different from it without.

Kwa Asernal it is important to win but its more important not to lose, kwa hiyo my prediction is draw.

Good analysis congratulations budaa
 
King ni ntu na nusu na Mosdef ,n.k Liverpool fans mpira wanaujua in and out
Umenikumbusha mwaka juzi nilikuwa Arusha kuna mwamba anajiita mr liverpool bana yule jamaa ukimsikiliza anaongelea mpira uatatamani asimalize yaan fans wa liver hawana ushabiki wa timu Bali wanajua kufatilia mpira na hapa ndo namwona gspain
 
Yees, ni kweli kabisa namkubali sana King Ngwaba yuko vizuri sana anaujua mpira na pia yuko na data za kutosha, ukijadili naye issues za mpira unapata madini na kujifunza mapya pia.
Namheshimu huyo jamaa nilitamani awe arsenal but now naona gspain anapita Njia hizo
King ni ntu na nusu na Mosdef ,n.k Liverpool fans mpira wanaujua in and out
 
Pictures of Arsenal new signing Alex Runarsson
IMG_20200921_205653.jpg
IMG_20200921_205650.jpg
IMG_20200921_205646.jpg
IMG_20200921_205642.jpg
 
Martinez kacheza penati huko
Huyu dogo basi tu hatuwezi kusikitika sababu deal lake ni win-win kwa pande zote, katupa hela nzuri naye kapata timu ya kucheza 1st eleven.

Sheffield Utd watajilaumu sana wakipoteza hii mechi, wamekosa penalty huku wakiwa nusu. Ila so far bado wameimiliki game vizuri sana pamoja na kuwa pungufu.

Hawa Villa wakiendelea hivi watarudi Championship msimu ujao.
 
Ki ukweli licha ya kuwapiga biti hata wao wanatambua kuwa Arsenal ya Arteta ni 'Kisanga', huwezi kwenda na matokeo uwanjani.

Kwa sasa timu inayo kutana na Arsenal inatakiwa kuwa na discipline kwa dk zote 90 kwa sababu hatufungwi kizembe kwa hiyo muda wote tupo mchezoni ama game iko tie au tunaongoza.

Kama ulicheki game ya Westham watu wanasema tulibanwa, ila ukweli ni kuwa kwa Epl kuna timu korofi kama Westham, Wolves, Everton, Crystal Palace na Leicester hawa hawakawii 'kumwaga wali'.

Ukikutana nao hawa perfomance sio muhimu sana muhimu ni kupata point 3. Kwa kikosi chetu juzi na game ilivyokuwa Arsenal walionesha ukomavu sana kuondoka na point 3 dhidi ya Westham.

West Ham walibana aisee daaah. Yaani kuziba channels kama sisi tunavyofanyaga na waliwapa kina Xhaka wakati mgumu. Ni kweli kabisa hizi timu zikicheza na timu kubwa zinakuwa ngumu na umakini dk 90 ni muhimu sana.
 
Huyu dogo basi tu hatuwezi kusikitika sababu deal lake ni win-win kwa pande zote, katupa hela nzuri naye kapata timu ya kucheza 1st eleven.

Sheffield Utd watajilaumu sana wakipoteza hii mechi, wamekosa penalty huku wakiwa nusu. Ila so far bado wameimiliki game vizuri sana pamoja na kuwa pungufu.

Hawa Villa wakiendelea hivi watarudi Championship msimu ujao.
Walud2 na wao hawana koch mzur km city
 
Kwenye game ya PES PS4 timu ya Liver default settings kwenye attack inatumia Attacking fullbacks na defense wanafanya systema inaitwa Gegenpress.

Hii gegenpress mchezaji wa timu pinzani akiwa na mpira anajikuta kazungukwa na watu 3 wote wameufuata mpira.
Hii defensive technic nimeona ilivyoisumbua Chelsea na ilivyotusumbua Arsenal.

Wanapoteza mpira, wanaupata fasta kisha wanaweza kukaa nao kwa muda mrefu.

Kwenye gemu ili kushinda timu yenye mfumo huo hua inabidi ucheze tikitaka au counter huku viungo wako wakiwa strong ama la wawe wengi kati so naona formation yetu ikitubeba mbele ya Liva swali ni "Tutaweka watu sahihi?"

Haswa katikati na upande wa kulia. Bado karata yangu nampa Elneny, pale katikati bado Elneny ana maisha yanamsubiri. Kwangu mimi Xhaka na Elneny ni pair nzuri dhidi ya Liva.

Na huku kulia akae Willian. Ingawa Willian anaweza shine mechi hii inayofuata akabanwa haswa lakini ni bora yeye kuliko Pepe, anajua kucut in na kuscore kumzidi Pepe.

Let's hope Milner atakuwepo ili acheze rafu kama kawaida. With enough frustrations anaweza hata kupata red.

Hizo ni akili za game.....
 
Binafsi I choose Elnenny any Day mbele ya Ceballos

Elnenny ana displine ya kupiga pass alafu ana Nguvu sana

pia AMN ni muhimu sana kuwepo kwenye Kiungo anaongeza STEEL, kitu sitaki katika Kikosi Anfield ni Kuanza XI na SAKA na CEBALLOS

lakini Pia Kwenye Defence kutokuwepo kwa Tierney ni Shida so Luiz, Gabriel, na Holding ni Option nzuri zaidi kwa 3 CB at the Back

kama Ulivyosema WILLIAN ataanza game nyingi zaidi mbele ya Pepe hili halina Ubishi Willian ni Deadly na ana offer Defensive Duties
 
Back
Top Bottom