sasa ikifikia hapo siyo RWF na LWF waswitch na kuact kama LMF na RMF ili formation ibadilike na kua 4 4 2?Unai alivyo CHIZI alikuja Arsenal akamnunua Torreira, msimu Huo uliofuata aka mdump akataka XHAKA awe Andrea Pirlo au Thiago Motta
Xhaka akawa Exposed maana Hana Udambwi udambwi, timu ikakosa Muunganiko
Chunguza Huo mfumo EPL hata Aston Villa Uta struggle kuwafunga, wachezaji wako muda mwingi wanakuwa off the mark, Mpira Haipiti,
Deep play maker akibanwa Tu MMEISHA
Very good awaondoe tu ila last match na Fulham nkamwona Willock benchi nikashangaa sana kwa jinsi ulivyoeleza ndo namna hyo inavyotakiwaHawa Watoto wala Arteta hana mpango nao.
Siunaona hata Saka tu ,sasa hivi namba kwake ni ngumu
Halafu kwenye midfield , Ukitoa Xhaka na ceballos , anayefata ni elneny,
Hapo anataka kuwaleta Partey na Aouar
Huyo willock. ,atapata wapi namba kwenye mech muhimu?
Angalia kule mbele , hata Pepe sasa hivi anatakiwa kupigania namba , vipi kwa Nelson?
Arsenal inawaondoa wale wachezaji hasa wenye mishahara mikubwa ambao Arteta hawahitaji hasa
Mwisho wa Siku Kocha anataka awe na Kikos imara sana
Kumbuka huyu kakaa na Pep ,ambaye Nafas mbili zinapiganiwa na Mahrez,Bernardo, foden,sane ,rahim ,
Ndipo Anapoelekea Arteta kuijenga Arsenal ya namna hiyo
Kwanza anapenda versatile players ,
Niliwahi kusema humu , Taratibu nafasi za kina Joe willock, Guendouz zitapotea automatically ,wenyewe wataomba kusepa au loan bila kulazimishwa na mtu
Imagine , nafas ya kiungo , Elneny mwenyewe hana uhakika. , sasa Guendouz na Willock je?
Saka huyu Hana uhakika , View attachment 1573678
Haha KARAVATIThiago "Mazinho" Alcantara ni maestro fundi wa mpira, hakuna mwenye kuubeza uwezo wake..
Nafikiri Arsenal hawakufikiria kigezo cha umri au injury, ishu kubwa ilikuwa ni namna gani ya kumshawishi ili aje pale Emirates.
Thiago ni UEFA Champions League Player, hivyo ingekuwa ngumu kumshawishi UEFA Champions League Winner wa 2019/20 aje kucheza UEFA Europa League 2020/21.. Sisemi haiwezekani ila ni ngumu ukiangalia na nature yenyewe ya mchezaji.
Sababu nyengine ambayo ndio iliwafanya hata Man Utd kujitoa kwenye mbio za kumwania ni makubaliano kwenye Personal terms.. Jamaa ana release clause ya kawaida (£20m) ila ishu ni kwenye makubaliano juu ya salary, Thiago ana-demand mshahara mrefu mno. Hiyo ndio alikuwa changamoto yake nyingine.
Ila ukiacha yote hayo, hakuna asiemjua Thiago. Mchezaji kama yule anakitimua kwenye timu yeyote ile kwa moto ule ule, tofauti hawa wakina Kai Havertz ambao ni wachezaji wa msimu mmoja.
Sasa Unai ambaye DM mkata Umeme akampandisha Awe namba 10?sasa ikifikia hapo siyo RWF na LWF waswitch na kuact kama LMF na RMF ili formation ibadilike na kua 4 4 2?
Hii formation inakupa chansi ya kucheza tikitaka ni nzuri sana ukiwa na quality players.
Bukayo Saka didn’t feature in the FA Cup semi-final, final, nor the Premier League opener.Very good awaondoe tu ila last match na Fulham nkamwona Willock benchi nikashangaa sana kwa jinsi ulivyoeleza ndo namna hyo inavyotakiwa
Huyu Martinez siyo kipa wa 17m nyie arsenal ni timu ndogo.Emi Martinez joins Aston Villa for 17m pound. Wishes him all the best
SawaHuyu Martinez siyo kipa wa 17m nyie arsenal ni timu ndogo.
Unazungumzia mzee Wenger 😂😂😂
Kwahiyo tukuletee picha za Salah, De Bruyne na wengine? Sometime unakua mjinga kiukweliNyie takataka mliuza mchezaji wa maana sana
Ondoa maneno sometime na unakua. Msg itabeba ujumbe mzuri zaidi.Kwahiyo tukuletee picha za Salah, De Bruyne na wengine? Sometime unakua mjinga kiukweli
computerarsenal Usipotoshe umma kwa kitu chenye uthibitisho, unaposema Mo Elneny hauziki au mwaka wa tatu hana full season Arsenal ni kuongopea umati na jamii ya Arsenal na wanamichezo.Let's hope positive ila ana miaka 3 hajawah kukaa full season hapo Arsenal
Upo sahihi kabisa 100%computerarsenal Usipotoshe umma kwa kitu chenye uthibitisho, unaposema Mo Elneny hauziki au mwaka wa tatu hana full season Arsenal ni kuongopea umati na jamii ya Arsenal na wanamichezo.
Mohammed Elneny amesajiliwa 2016 akitokea FC Basel, amecheza Arsenal vizuri tu ilifika hatua after Mertesäcker kustaafu Arsené akamtransform kuwa beki ocassionaly huku akimpatia jezi namba 4.
26 Mar 2018 Arsené alimsainisha mkataba around 4 to 6 year's kuendelea kucheza Arsenal huku Ramsey na Wilshire wakibaki uncertain.
20 April 2018 Arsené akaachana na Arsenal kwa heshima Emirates. Baada ya muda mfupi Arsenal ikamuingiza Unai after 2 au 3 weeks Emery alifanya jambo zuri sana around 15 July 2018 kwa kumsainisha Xhaka 5 years contract.
Elneny 2019 baada ya uwepo wa Torreira na deal la Beşiktaş 3£ Loan deal kwa mwaka Unai akamuachia. Miaka mitatu ya kutouzika ipo wapi?
Rai yangu computerarsenal omba radhi mashabiki wa Arsenal, Fútbol na michezo kwa kupotosha umma.
Huyu msiwe mnamjibuKwahiyo tukuletee picha za Salah, De Bruyne na wengine? Sometime unakua mjinga kiukweli