Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Alexandre Lacazette:


“I’m really happy. It’s only press & people who say I’m not happy & want to leave. Me, from the beginning, I’m happy with Arsenal. I want to play & win titles like last month. I’m happy with Arsenal.” [BT Sport] #afc
IMG_20200910_130419.jpg
 
From || In the next 48hrs, Arsenal and Lyon will resume talks for Houssem Aouar. The British club want things done quickly [via - @LGWsport].
 
Katika hii game ya Crystal na Southampton naona Zaha anacheza kama vile akitaka kutuonyesha Arsenal kua tumekosea kumuacha. Hata baada ya kukiri kua anatamani kuja Arsenal kupitia ile video yake.
 
Nketiah na Dan kabla ya Mechi walizinguana...
Sio kitu kizuri Kama Team ...Hoping kocha atawaweka sawa.
 
Usisahau kua, kila mwanzo wa msimu huwa munaongozaga ligi.
Mwisho wa ligi munajikuta nafasi ya 7.

Ila nikiacha unafki, mume cheza vizuri.
Yule Gabriel sio mtu mzuri,namtabiria kufanya vizuri EPL.
Kuhusu William, Ollachuga huko aliko naamini roho inamuuma, sema ndio hana neno, uongozi umeshaamua.

Kiufupi Arsenal mwaka huu nawapa nafasi ya kumaliza ndani ya top four.


GGMU
Wewe ni mtu wa mpira... Ahsante kwa kuwa mkweli! Tumepokea pongezi zako
 
Katika hii game ya Crystal na Southampton naona Zaha anacheza kama vile akitaka kutuonyesha Arsenal kua tumekosea kumuacha. Hata baada ya kukiri kua anatamani kuja Arsenal kupitia ile video yake.
Aje apambanie namba na Auba

Maana kwa Pepe yupo willian
 
Samahani nakuuliza swali personal. We 14Henry mbona status yako haipandi kila siku wewe ni member tu? Na unakoment mara kwa mara

Boss, hata sijui status maana yake nini 😀. JF napita kusoma ila nimejiunga rasmi juzi juzi kwa sababu ya the Gunners tu na huku huwa ndiyo natia neno. Kwingine kote mimi huwa ni ndugu msomaji tu.
 
Hivi anavyoscore Auba ndivyo inabidi Pepe awe na uwezo huu akiwa anatokea huko kulia.

Kweli. Pepe anapenda kujiset kama cut-back alafu aubend mpira top corner. Auba anaupiga 'in transition' wakati anasonga mbele. Kabla beki hajajiweka sawa amkabe jamaa kashashoot kitambo. Nafikiri hii ndiyo maana ni ngumu kumkaba. Pepe anampoteza beki kwanza ndo anashoot au mpira uje kama cross. Cheki goli against Brighton na lile lililokataliwa vs Chelsea FA Cup. Akiongeza ujanja wa Auba atakuwa channzo cha chuki na mfadhaiko kwa mabeki wa timu pinzani.
 
BREAKING: Arsenal have accepted an offer from Aston Villa for goalkeeper Emiliano Martinez.

Sky sport news
 
Back
Top Bottom