Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tukikutana na Leeds tujipange. Wako vizuri.

Liva imeruhusu magoli 3 tayari. Na ni mapema tu ligi haijafika mbali na kikosi hakijachoka.

Wakikutana na Chelsea itakuaje?

Tukikutana na Leeds itakuaje?
Arteta alikutana nao nadhan mech ya kwanza au ya pili FA CUP walitusumbua ,walipiga mpira mwingi sana
 
Sisi mechi 2 za mwisho na Liverpool je wametufunga????

But you need to agree kuwa tulikutana na hawa Leeds January FA wakatuchezea mpira 1st half ila second half Jasusi Arteta akawasoma na tukawatoa na wachezaji ni hawa wanaocheza leo yaani hawa hawa
Amesahau au hakuangalia ,ni hawa hawa kina Philips , Bamford ,

First half walituzid , 2nd half Arteta akachenji mbinu tukawamaliza
 
Wako vizuri. Au pengine Liva wapo vibaya.
Mm nawez kusem liver ndo wap vbay 7babu.
Wale fullham leo yenyw kipnd cha kwanz wame2sumbua chakwnz wapmbnaj ww angali hku upand wa kulia kipnd cha kwnz walivy kuwa wanazipg pass kwa halk half kwa speed mcfany masihal nyny Arsenal weme ifany mech hiwe rahic upand wao
 
Aubamagoal mzee wa 'curve'

#COYGView attachment 1568057
FB_IMG_1599937549873.jpg
 
Nimeangalia vizuri mpira wa Liverpool v Leeds..

Kiukweli siwezi kumsifia Leeds kisa kapata goli 3 kwa Liva.

Kwa upande wangu naona sasa Liva imeanza kuwa mdebwedo. VVD amekuwa wakala wa assist siku hizi, TAA leo hakuwa vizuri yani anapinduliwa kama chapati.

Leeds nimewaona wanamapungufu mengi sana ingawa wamepata hizo goli 3.. Kupata goli hizo haitoi kauli ya moja kwa moja kama watasumbua.

Kwa upande wangu nawaona Fulham wakionyesha upinzani zaidi siku za mbeleni kwa kuzingatia mpira wao wa leo..

Anyways, nisiongee sana.. Nausubiri kwa hamu mtanange wao kati ya Leed v Fulham wiki ijayo!

Ila ni mapema kusema Leeds watakuja kuwasumbua wakubwa kisa matokeo ya leo. Bado sana!
 
Tusiwahofie Leeds, nyuma wazembe sana labda wajirekebishe mapema unless wanapigwa 3-0 km Fulham
#Coyg
 
Reports from Italy are saying that Napoli have contacted Arsenal over the possibility of signing German defender Shkodran Mustafi. The Italian side could also sign #AFC defender Sokratis Papastathopoulos on a free transfer if the Gunners accept to release his current contract.
 
Nasikia City wameanza chokochoko kwa Houssem aouar, wakimpata huyu tumekwisha na ubingwa mapema tu wanachukua
 
The sign of a well coached team is one that scores goals almost identical to each other.

Zoom out a bit and you'll find Niles and Tierney in the same positions

Love how Arteta has Ainsley running up through the middle like Ramsey on speed and Tierney storming down the left hand side from his centreback(!),

this gives Auba so much freedom. Play the ball to Tierney whos made the run or attack the defenders whos already focused on Ainsley.
IMG_20200913_050734.jpg
IMG_20200913_050731.jpg
 
Back
Top Bottom