Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,257
- 76,834
Kwa one two wanazopiga naamini kuna kigogo kitakaa hapa.Kwa sasa point 3 ndo kila kitu na clean sheet EPL haina adabu kabisa Fulham hawa hawa kuna mkubwa mwenzetu lazima atachezea kipigo tena hapo hapo kwao Trust me