Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Makubaliano kati ya Aston Villa na Arsenal yamefikiwa kuhusu uhamisho wa Emiliano Martínez.

* ️⃣Atasaini kwa dau la £21.6m na mchezaji atasaini kwa miaka 4.

* ️⃣Atakuwa Kipa ghali zaidi kutoka Argentina katika historia.

Indipendiente itapokea kiasi cha €432,000 kama klabu iliyomlea Martinez kabla hajaenda Arsenal
 
Nketiah anatakiwa awe na adabu kwa Dan
Huyu Dani mhuni mhuni Nketiah atalambishwa sakafu ajute.

On a serious note..

Mchezaji ambaye yupo kwa mkopo performance yake ndiyo itaamua mkataba wake hivyo kuchezewa rafu ni kukatisha ndoto.
Ila ukiangalia hiyo video naona kama Dani ndio alikaba kwa namna ambayo ingeweza kumuumiza Nketiah, nadhani ndio maana dogo alimind.
 
Tukikutana na Leeds tujipange. Wako vizuri.

Liva imeruhusu magoli 3 tayari. Na ni mapema tu ligi haijafika mbali na kikosi hakijachoka.

Wakikutana na Chelsea itakuaje?

Tukikutana na Leeds itakuaje?
 
Tukikutana na Leeds tujipange. Wako vizuri.

Liva imeruhusu magoli 3 tayari. Na ni mapema tu ligi haijafika mbali na kikosi hakijachoka.

Wakikutana na Chelsea itakuaje?

Tukikutana na Leeds itakuaje?
Tushakutana FA na Bielsa wao na Tukampiga 1-0 Arteta akiwa kocha wa Arsenal au umesahau???????
 
Tushakutana FA na Bielsa wao na Tukampiga 1-0 Arteta akiwa kocha wa Arsenal au umesahau???????
Unajua kama wamesajili msimu huu? Hahaha ulijua kama watatikisa nyavu za Liva mara tatu?

Mpaka Liva wanatumia mbinu za chelsea za kushika watu wanaoenda kukaba ili wapate goli?
 
Mm game ya leads cja hianglia mnatk kuniambia wap vzur kulik fullham?
Matokeo yao last year na second game Fulham alikuwa na red card that's why nasema EPL haitabiriki kupata 3 points its not easy
20200912_210921.jpeg
 
Tukikutana na Leeds tujipange. Wako vizuri.

Liva imeruhusu magoli 3 tayari. Na ni mapema tu ligi haijafika mbali na kikosi hakijachoka.

Wakikutana na Chelsea itakuaje?

Tukikutana na Leeds itakuaje?

Hata angekutana na Fulham wa leo ingekua hivyo hivyo. Usiwachukulie poa pia Fulham mkuu
Wewe subiri utakuja kuona
 
Unajua kama wamesajili msimu huu? Hahaha ulijua kama watatikisa nyavu za Liva mara tatu?

Mpaka Liva wanatumia mbinu za chelsea za kushika watu wanaoenda kukaba ili wapate goli?
Sisi mechi 2 za mwisho na Liverpool je wametufunga????

But you need to agree kuwa tulikutana na hawa Leeds January FA wakatuchezea mpira 1st half ila second half Jasusi Arteta akawasoma na tukawatoa na wachezaji ni hawa wanaocheza leo yaani hawa hawa
 
Yan arsenal waki kamilish usajir wa partey daaa itakuwa vzur zaid ya sana bado nafac hiy2 haija zibwa
 
Back
Top Bottom