Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mesut Özil is absent from the squad for the opening Premier League fixture against Fulham today. [BBC]
 
Nimekinasa sehemu ,

Ngoja tuone baada ya dk 5

Arsenal XI vs. Fulham: Leno, Bellerin, Saliba, Holding, Tierney, Maitland-Niles; Ceballos, Xhaka; Saka, Aubameyang, Nketiah.
Apo kwa Saliba mimi kuanza inanipa shida kidogo, bado anahitaji muda, ni bora kuanza hata na Gabriel sababu ana experience zaidi.
 
Arsenal arriving here at Craven Cottage. Plenty of fans here to cheer them off the coach. Didn’t spot Özil. Willian and Gabriel here.


No Martinez obviously.


 
Team news for our first @PremierLeague game of the season!

@biel_m04 makes his debut
@RobHolding95 and @KieranTierney1 both in defence
There's also a debut for Willian

#FULARS
IMG-20200912-WA0008.jpg
 
Arsenal XI vs. Fulham: Leno; Holding, Gabriel, Tierney; Bellerín, Elneny, Xhaka, Maitland-Niles; Willian, Lacazette, Aubameyang.

Subs: Macey, Kolasinac, Ceballos, Willock, Saka, Pepe, Nketiah.
 
El neny anatakiwa ani prove wrong,maana me simkubaligiiii kivile Kama akiwepo 'majestic dani' ceballos

All in all hawa watoto leo ni wetu,Muhimu tuwapige nyingiiiiii

Sina Shaka juu ya uwezo wa Grabiel kule nyuma
 
Torreira na Martinez nafikiri next week ya wiki ijayo tutawaaga halafu tutaingiza kiungo pale.

Yaani Leo angeweka partey pale badala ya elney aah asilimia 80 nilikuwa nafuraha
 
Hizi mechi za derby na staili yao watakuja na kudefend deep, Elneny ni mzuri katika mechi za aina hii kwa maana ana interchange na kuswitch na kukimbia dakika 90, jamaa kwa pumzi ana mapafu ya ajabu, kwa hio ameekwa ili awachoshe midfield zao, ila kwa nini Pepe hatumuanzishi leo sielewi, angewasumbua sana.
 
Hizi mechi za derby na staili yao watakuja na kudefend deep, Elneny ni mzuri katika mechi za aina hii kwa maana ana interchange na kuswitch na kukimbia dakika 90, jamaa kwa pumzi ana mapafu ya ajabu, kwa hio ameekwa ili awachoshe midfield zao, ila kwa nini Pepe hatumuanzishi leo sielewi, angewasumbua sana.
Pepe ataingia kipind cha pili ,

Kaanza Willian , na yeye ni mtu wa mbio sana


Next week Safari ya Martinez ,Toreira naona itakuwa imeiva , hapa kwa Elneny , Partey panamsubiri
IMG-20200912-WA0010.jpg
 
kwa nini Auba anachezeshwa winga wakati anafit zaidi kama mshambuliaji wa kati
Kwa uelewa wangu mdogo nahisi arteta anapenda kumtumia Kama winga kwa sababu jamaa ana speed afu ni mzuri wa kupiga 'curve shoot' akitokea pembeniii,

Refer game ya city,final ya FA, Community shield na friend game vs Aston villa
 
Back
Top Bottom