Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nadhani hakufanya utafiti vizuri, costs za mishahara Arsenal ni kubwa sana. Tumeweza kumaintain tu kwa sababu tumekuwa na vipindi virefu vya faida.

Hata Scouting network imeondolewa ili kupunguza wage bills kwa non-player staffs, sasa kama tutajaza wachezaji tusio na kazi nao then tuwalipe mishahara ya bure ni ujinga huo.

Watu wanaleta hoja ya squad depth, kimsingi squad depth sio kuwa tu na wachezaji watatu kila namba bali unakuwa na versatile players wanaoweza kucheza nafasi zaidi ya moja/mbili/tatu.

Ndio maana Niles huwezi kumuuza kizembe tu anatusaidia maeneo mengi. Ukiwa na Niles tu unakuwa na back up kwenye 4 different positons.

Martinez pamoja na kiwango alichoonesha ndio maana anauzwa kirahisi sababu ni kipa tu huwezi mtumia kwingine na pia ofa iliyowekwa mezani ni ndefu sana kwa 2nd choice goalkeeper.
Ndio maana kuna kundi kubwa litaondoka lkn Tunahitaji Quality mbili tu Partey na Aouar ambao wanacheza sehemu kibao

Ndio maana Arteta kazuia usajiri wa kuuzwa Niles ,

Pia anasema Willian anacheza position karibu 4 ,

Unaweza kumuweka kwa Ozil, kwa Pepe,kwa Auba.

Pia anaweza kucheza kama LCM kwenye 4-3-3

Squad depth ni kuwa na Quality Angalau kila nafasi ,

Sio kujaza Average players,

Mfano Kolasinac nafas yake ,Saka ,Niles ,Kieran wanazicheza

Na huyu kolasinac anapokea mshahara karibu 100k+ per week
 
EMI ANAONDOKA KWELI , THE ATHLETIC NAO WAMETHIBITISHA ,ATAACHWA KWENYE KIKOS CHA LEO ILI KUSHUGHULIKIA UHAMISHO WAKE

The Athletic understands the decision for Emi Martinez not to be in the squad for today's game has been taken jointly by #Arsenal & Martinez as he is at the centre of an intensifying transfer saga & is now very close to leaving the club, with a move to Aston Villa most likely.

Over the past week Aston Villa had a second bid of £15m, plus £4m in add-ons rejected. A third bid will be higher & should be enough to seal the deal & Martinez’s reps have spent the past 3 days in London thrashing out terms with #Arsenal & Villa.

Emiliano Martinez not in Arsenal squad with transfer imminent
the_gunnerz_tz-20200906-0005.jpg
 
Hili naomba nisilijibu kwa kuwa ni yanayozungumzwa siwezi kuyatolea evidence.
Timu ambayo ilipindisha taarifa ya gharama za usajili ni wazi pia itapindisha taarifa ya kiasi cha faida, hata namna yake ya kukwepa ban ilikua ni kwa rushwa (kama vyanzo vingi vinavyosema)

Ni sahihi, unawezaje kulifanya hili bila kuondokana kwanza na wale wanao lipwa mishahara mirefu? Ndio maana club inapambana kuwatoa kwanza ili uondoe mzigo wa mishahara.
Madrid anasajili kwa pesa kubwa ila mishahara yake ni midogo na hii ni namna yake ya kukwepa ffp. Arsenal haiwezi kwemda same route?

Club ilikuwa inapush kurudi kwenye Uefa hivyo walipambana kubakisha key players kwa wakati ule ambapo tulikuwa bado tupo kwenye good financial position
At one point Arsenal ilitaka kumbakisha sanchez na Ozil na ikataka kuwapa kila mmoja mshahara wa 350K. Arsenal wanted to spend that much money leo nini kinazuia...?

According to FFP rules, fedha unayotumia ni ile iliyopatikana kwenye respective financial year ndio maana nikasema kwa Chelsea wana mzigo bado kutokana na kwamba hawakununua wachezaji na pia wage bills zao hazikuongezeka kwa mwaka huu wa fedha. Huwezi tumia faida ya 2010 kujenga kikosi leo, ingekuwa hivyo FFP ingekuwa haihusu baadhi ya vilabu.
Unasema Chelsea wana mzigo bado as hawakuspend, yeah upo sahihi, lakini unajua Arsenal tulikua tunatengeneza faida kwa miaka mingi lakini tulikua hatusajili? Pesa imeenda/ ilienda wapi? Does that mean bado tuna pesa ya faida somewhere? Ambayo hatutaki kuitumia?

No worries mi mwenyewe soon baada ya kukuquote nikapotea.
 
Terms zake anataka abaki ila awe no.1

Arteta anaamini Bernt Leno ni bora kuliko Martinez ,

Arsenal imeshindwa kumuhakikishia no.1

So acha tuchukue hiyo £20m

Miez mitano nyuma ,Arsenal haikuwahi kuwaza kupata hata £5m ikimuweka sokoni

Behind the Scene. ,Emi alikuwa kipa wa kawaida tu ila mwenye kipaji, alishadaka sana carabao, FA cup, hata Europa

Unakumbuka ile mech 5-5 na Liverpool carabao? Alidaka yeye ,

Kuja kwa Arteta na kumleta kocha wa makipa Inak Cana , ndio kumemsaidia sana emi kuwa bora , kifupi alikuwa kipa wa kawaida sana,

Inak cana anasifika kwa mazoezi Mazuri ya makipa. Toka akiwa Brentford. ,

Nenda YouTube utamapata uone mazoez yake na makipa akiwa Brentford , kuanzia aje Arsenal , ndipo na Emi akapanda kiwango ,

So ana miaka 27 ni zao la academy, £20m ni bei nzuri sana kwa backup GK.

Kocha wa makipa Inak Cana amemshauri Arteta wakamchukue David Gaya kipa wa Brentford kama mbadala wa Emi.

Hapa chini ni Inak cana akiwa na Emi na LenoView attachment 1567027
Martinez siyo kipa wa kawaida kwa kiwango unachisema.

Tulifika fainali Europa na mechi zote alikua anadaka yeye, fainali akadaka Leno tukafa nne.
 
Hili naomba nisilijibu kwa kuwa ni yanayozungumzwa siwezi kuyatolea evidence.

Ni sahihi, unawezaje kulifanya hili bila kuondokana kwanza na wale wanao lipwa mishahara mirefu? Ndio maana club inapambana kuwatoa kwanza ili uondoe mzigo wa mishahara.

Club ilikuwa inapush kurudi kwenye Uefa hivyo walipambana kubakisha key players kwa wakati ule ambapo tulikuwa bado tupo kwenye good financial position

According to FFP rules, fedha unayotumia ni ile iliyopatikana kwenye respective financial year ndio maana nikasema kwa Chelsea wana mzigo bado kutokana na kwamba hawakununua wachezaji na pia wage bills zao hazikuongezeka kwa mwaka huu wa fedha. Huwezi tumia faida ya 2010 kujenga kikosi leo, ingekuwa hivyo FFP ingekuwa haihusu baadhi ya vilabu.
Kaka.

This is family.
 
Martinez siyo kipa wa kawaida kwa kiwango unachisema.

Tulifika fainali Europa na mechi zote alikua anadaka yeye, fainali akadaka Leno tukafa nne.
Martinez hakuwahi daka Europa before last season,kipindi kile alikuwa Agent petr Cech
 
Hii pesa ya Aston Villa imejilengesha yenyewe!

Kipa wa kuuza £5m, zimekuja £20m kwanini asiuzwe?

Hii deal ikiwezekana ikamilike haraka sana!
Yaan fasta kabisa kabla hawajastuka

Back up kipa ,academy graduate kwa £20m wakati miez mitano nyuma hata £5m hakuna ambaye angetoa
 
Line up ya kikosi cha leo ndio inatoka saa moja kabla kama kawaida au?
 
Martinez siyo kipa wa kawaida kwa kiwango unachisema.

Tulifika fainali Europa na mechi zote alikua anadaka yeye, fainali akadaka Leno tukafa nne.
Final aliwekwa Cech ambaye tayari alikuwa ameshakubaliana na Chelsea

Hatua zote toka mwanzo alidaka Cech had final. ,watu waliomba Final adake Leno,

Unai chakubanga Emery akampanga cech muajiriwa wa Chelsea dhid ya chelsea
 
Back
Top Bottom