Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Lacazette, Pepe and Xhaka look to be confirmed starters for tomorrow's game vs Fulham .
Huyu jamaa atakuwa anaangaliaha hata mechi zenyewe kweli? Au anazingua tuFinal aliwekwa Cech ambaye tayari alikuwa ameshakubaliana na Chelsea
Hatua zote toka mwanzo alidaka Cech had final. ,watu waliomba Final adake Leno,
Unai chakubanga Emery akampanga cech muajiriwa wa Chelsea dhid ya chelsea
Yah saa 7 na nusuLine up ya kikosi cha leo ndio inatoka saa moja kabla kama kawaida au?
Afu tunamvuta mwamba mwingine kutoka Brentford kwa inaki cana, easy tu.Hii pesa ya Aston Villa imejilengesha yenyewe!
Kipa wa kuuza £5m, zimekuja £20m kwanini asiuzwe?
Hii deal ikiwezekana ikamilike haraka sana!
Dah ebwana kweli nimefananisha na ya mwaka huu. Nilishasahau kama tulikua na Agent Cech kwenye kikosi.Final aliwekwa Cech ambaye tayari alikuwa ameshakubaliana na Chelsea
Hatua zote toka mwanzo alidaka Cech had final. ,watu waliomba Final adake Leno,
Unai chakubanga Emery akampanga cech muajiriwa wa Chelsea dhid ya chelsea
Yeah nilishamsahau jamaa. Nimetoa majibu ya Europa hiiMartinez hakuwahi daka Europa before last season,kipindi kile alikuwa Agent petr Cech
Nyuma anahitajika mwenye uzoefu. Usishangae Kolasinac au Holding akawemo.3-4-3
My lineup today
Leno
Tierney
Auba
Willian
AMN
Bellerin
Laca
Ceballos
Pepe
Saliba
Xhaka
Hua siangalii. Nikilala naota mechi zote za siku hiyo.Huyu jamaa atakuwa anaangaliaha hata mechi zenyewe kweli? Au anazingua tu
Kabisa! Nahisi huyo kocha wa makipa, Inaki cana ana potential kubwa sana kwenye ujuzi wake.Afu tunamvuta mwamba mwingine kutoka Brentford kwa inaki cana, easy tu.







Martinez siyo kipa wa kawaida kwa kiwango unachisema.
Tulifika fainali Europa na mechi zote alikua anadaka yeye, fainali akadaka Leno tukafa nne.
Final aliwekwa Cech ambaye tayari alikuwa ameshakubaliana na Chelsea
Hatua zote toka mwanzo alidaka Cech had final. ,watu waliomba Final adake Leno,
Unai chakubanga Emery akampanga cech muajiriwa wa Chelsea dhid ya chelsea
Acha tu aisee ilifika hatua hata kucheza pass 10 accurate timu haiwez ,Sorry bro.
Kweli nakumbuka hii issue iliniudhi sana. Unai 'Pumbav Kabisa' Emery akampanga Cech akijua kabisa ni mwanaChelsea. Kocha alikuwa anachekesha sana. Kuna mechi nyingi tulishinda akiwa kocha kwa sababu tu wachezaji walichukua maamuzi uwanjani wenyewe wakacheza kama Wenger alivyowafundisha ila Emery alivyoongeza influence game letu likazidi kuboa. Daah yule jamaa abarikiwe tu kule alipo ila asitusogelee kabisa![]()