Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal na mtindo wao 4-3-3 na nyuma anakosekana david Luiz ambae ana maumivu ya shingo.
 
Mwamuzi katikati aitwa Chris Kavanagh.

Huyu mwamuzi alianza kuchezesha mpira akiwa na umri wa miaka13!

Alipandishwa daraja la kuchezesha mechi za ligikuu mwaka 2017.
 
Dakika zilizoenda ni mpaka sasa Fulham 0 Arsenal 1

Lacazetteeeee

Arsenal 1 nil up!!
 
Arsenal wanatawala mchezo kwa kutumia mabeki wake wa pembeni Tierney na Bellerin.

Hawa wanawafanya Fulham wawe wanarudi kwenye eneo lao.

Mkoba wetu mpya dos Santos Magalhaes au "Gabby" kasimama katikati nyuma na Elneny na Xhaka ndo wanatawala katikati mbele ya beki tatu ya Arsenal.
 
Nusu ya mchezo kipindi cha kwanza inakwenda na ni dakika ya 22 imepita.

Fulham 0 Arsenal 1

Ni mechi kama hizi Arsenal wanapaswa kupata magoli mengi ya kusaidia huko mbele.
 
Ni mpira wa adhabu wapigwa kuelekea Fulham.

Willian ndie set piece master na anagonga mwamba!!!

Kipa wa Fulham Rodak aliishapotezwa boya!!
 
Zimebakia dakika 7 hivi, timu ziende kupumzika.

Aubameyang bado hajafunga.

Fulham 0 Arsenal 1
 
Aubameyanga anapewa kadi ya njano kwa kumpiga kiatu bila kukusudia beki wa Fulham
 
e7486aa5-2674-479e-9afb-62a0c163a53a.jpg


Alexandra lacazette akifunga goli la kwanza kwa Arsenal baada ya kipa Rodak kuupangua mpira ulopigwa na Willian.

Mpira ni mapumziko Fulham 0 Arsenal 1
 
Back
Top Bottom