Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Castr

Hatukwepi FFP ila huwez kusajiri unajaza tu wachezaji bila wengine kuwaondoa , mwaka huu hakuna FFP ila hutakiwi kuzid Net Spend £30m

Kiufupi bado tupo sokoni ,katafute Interview ya juz ya Edu, na Vinai

Kasikilize press ya Jana ya Arteta
Mkuu kwamba hakuna kabisa kwa sababu ya covid-19? Sijaelewa vizuri, ufafanuzi please Aaron Arsenal
 
My lineup today

4-3-3 ,
Willian As an Advanced Playmaker

IMG-20200912-WA0000.jpg
 
Mkuu kwamba hakuna kabisa kwa sababu ya covid-19? Sijaelewa vizuri, ufafanuzi please Aaron Arsenal
Yah imekuwa relaxed ,lkn ukisajiri ovyo, itakukost mbeleni ,

Ndio maana unaona bado hata vilabu vikubwa vina struggle

Pamoja na kuwa relaxed , Arsenal hawawez kusajiri tu ,bila kubalance vitabu na hasa ni kwenye Wage bills

Operation Cost zina Cost sana kuliko transfer

Hadi October 5 tutakuwa tumeongeza watu ,

Arteta amesema kikos bado ni Imbalance

Arteta on transfers:

'We are still active in the market. We are looking at different options, with players in and out. At the moment the squad balance is not ideal.'

Edu: “The market right now is challenging. What is important internally is that we have a clear plan on the players we want to keep, the players we want to loan and the players we want to sell. After that we have to be patient.” [@TeleFootball]

Vinai says Arsenal do not necessarily need to sell players in order to bring in any more new faces this summer. Arsenal have so far been unable to cash in any of their squad players who have been put up for sale. [@TeleFootball]

Kuhusu Uefa kulegeza FFP soma hapa

UEFA relaxes financial fair play rules amid COVID-19 pandemic
 
Good line up prediction, ukiitazama inavutia lakini napata mashaka kama Arteta ataanza na 4-3-3 right from Epl first week, lets see!
Sijajua kwenye Mech ya preseason kama aliutumia ,maana zile mech alizuia zisioneshwe

Japo naona ni 50/50 kuanza na 4-3-3

Chance kubwa ataanza na 3-4-3

B.Leno

Saliba holding KT

Belle ceba Xhaka. Niles

Willian. Laca. Auba
 
Unakosea kusema hivo ,

Huwez kusajiri bila strategies , lazima uondoe unwanted players ,ili waache Gape la mshahara
Hii Arsenal ina wachezaji gani unwanted ambao wanakula mishahara mikubwa? Tunawazidi Man U? City?

Hatuna squad, hatuna wala mishahara mikubwa, wachezaji viazi ambao ukisema uwauze hela haiwezi kua kubwa ni hao wakina Willock & co. ambao mishahara yao ni hizo £3000.
 
Yah imekuwa relaxed ,lkn ukisajiri ovyo, itakukost mbeleni ,

Ndio maana unaona bado hata vilabu vikubwa vina struggle

Pamoja na kuwa relaxed , Arsenal hawawez kusajiri tu ,bila kubalance vitabu na hasa ni kwenye Wage bills

Operation Cost zina Cost sana kuliko transfer

Hadi October 5 tutakuwa tumeongeza watu ,

Arteta amesema kikos bado ni Imbalance

Arteta on transfers:

'We are still active in the market. We are looking at different options, with players in and out. At the moment the squad balance is not ideal.'

Edu: “The market right now is challenging. What is important internally is that we have a clear plan on the players we want to keep, the players we want to loan and the players we want to sell. After that we have to be patient.” [@TeleFootball]

Vinai says Arsenal do not necessarily need to sell players in order to bring in any more new faces this summer. Arsenal have so far been unable to cash in any of their squad players who have been put up for sale. [@TeleFootball]

Kuhusu Uefa kulegeza FFP soma hapa

UEFA relaxes financial fair play rules amid COVID-19 pandemic
Thanks Aaron Arsenal nimepitia pia nimeona imekuwa suspended for 12 months since 18 June 2020.

Uko sahihi kwenye issue ya operational costs, usipokuwa makini ukasajili hovyo ukawa na mzigo wa wage bills wakati hatuna hata gate revenue, hatujawa na pre-season tour, hatupo Uefa nk itakula kwetu.

Niliona interview ya Edu kuwa kuondoa scouting network ilikuwa ni sehemu ya restructuring na kuanza kutumia StatDNA, an internal data and analytics company which Arsenal bought in 2014. Lakini naamini pia sababu kubwa ni covid-19 aftermath.
 
Hii Arsenal ina wachezaji gani unwanted ambao wanakula mishahara mikubwa? Tunawazidi Man U? City?

Hatuna squad, hatuna wala mishahara mikubwa, wachezaji viazi ambao ukisema uwauze hela haiwezi kua kubwa ni hao wakina Willock & co. ambao mishahara yao ni hizo £3000.
Dah Castr hebu Fanya utafiti

Halafu kaangalie mishahara ya kolasinac,Elneny,mustafi, toreira ,sokratis ,

Hawa ni wachezaji wanaotakiwa kuondoka hata bellerin

Unamtaja willock, huyu ni academy kagraduate juz juz tu, bado mishahara yao midogo,kaangalie hata hao academy. Wa man u, city ,

Guendouz anatakiwa aondoke analipwa 40k , wakati partey kule Atletico analipwa 65k before tax

Unapotaja timu zenye wage bills kubwa Arsenal ni moja wapo,
 
Hii Arsenal ina wachezaji gani unwanted ambao wanakula mishahara mikubwa? Tunawazidi Man U? City?

Hatuna squad, hatuna wala mishahara mikubwa, wachezaji viazi ambao ukisema uwauze hela haiwezi kua kubwa ni hao wakina Willock & co. ambao mishahara yao ni hizo £3000.
Mkuu Castr jaribu kuangalia wage bills za vilabu ambavyo haviko Uefa across europe utaona Arsenal ina wage bills kubwa sana ukilinganisha na wengine nadhani wote.

Ukiangalia hata wachezaji wetu wengi tunashindwa kuwauza sababu ya salary zao kubwa, Kolasinac, Sokartis, Ozil.
Screenshot_20200912-082523.jpeg
Screenshot_20200912-082541.jpeg
 
Hii Arsenal ina wachezaji gani unwanted ambao wanakula mishahara mikubwa? Tunawazidi Man U? City?

Hatuna squad, hatuna wala mishahara mikubwa, wachezaji viazi ambao ukisema uwauze hela haiwezi kua kubwa ni hao wakina Willock & co. ambao mishahara yao ni hizo £3000.
Kuna vitu una miss , Tena kwasasa Raul alijitahid sana mwaka Jana kupunguza wage bills ,alikuwa anatuzid Man u na city ,tu

Sasa hivi nadhan kama sipo sahihi anayetuzi wage bills ni Man u,city na Chelsea

Huwez kurundika wachezaji tu bila kufanya In and Out , kamsikilize vzr Edu na Arteta

Wale ndio waamuzi sasa hivi ,

Ukimuondoa kolasinac na Toreira tu, unamlipa Partey na Aouar na chenji inabaki

Ninaposema Unwanted Players ni wale ambao kocha hawahitaji mfano kolasinac, toreira , Sokratis ,Ozil hao mishahara yao inaanzia 80k-140k

Ozil pekee anapokea 350k

Juz Sky sport wamesema Kinachosumbua kuwaondoa hawa wachezaji ni mishahara yao mikubwa

Kuna timu zinavutana na Toreira wanashindwana mishahara

S04 nao wanavutana mishahara na kolasinac anayepokea karibu 140k

Shukran kwa Raul mwaka Jana alipunguza wage bills karibu £50m kwa mwaka

update: kwasasa Chelsea anaongoza , na sababu had sasa Hajaondoa,View attachment 1567010
 
Mkuu Castr jaribu kuangalia wage bills za vilabu ambavyo haviko Uefa across europe utaona Arsenal ina wage bills kubwa sana ukilinganisha na wengine nadhani wote.

Ukiangalia hata wachezaji wetu wengi tunashindwa kuwauza sababu ya salary zao kubwa, Kolasinac, Sokartis, Ozil.
View attachment 1567004View attachment 1567005
Jamaa anachukulia poa sana, ni man u na city tu ndio walikuwa wanatuzid wage bills ,

Raul akapunguza sana Wage bills ,now nadhan tupo kwenye 5 bora na sio 3 bora

Josh Kroenke alisema Tunaendesha klabu kwa Gharama na mishahara ki Champion league , huku tunacheza Europa

Sasa hivi Manager Arteta na Edu hawawez kununua bila kuondoa watu,

Utakuwa ujinga unanunua unajaza watu, huku wage bills kubwa na hatupo UCL ,
 
Sorry nilishalala nimechelewa kuiona.

Yes, ukitazama finacial revenue reports za City na United wanatuacha mbali sana.

Kwa United sidhani kama nahitaji kueleza sana, hawa wamekuwa wakituzidi kifedha kwa muda mrefu sana.

Kwa City pia recently amekuwa akifanya biashara nzuri sana kutuzidi, ukiangalia endorsement anayopata kwa sponsors kama Quatar airways ni pesa ndefu na amekuwa na fan base kubwa sana kwenye mataifa ya Kiarabu kwa hivi karibuni.

Pia City amekuwa regular team kwenye Uefa kitu kinacho muongezea mapato sana tofauti na sisi ambao kwa sasa tunacheza Europa yenye fedha kiduchu.

Kwenye wage bills, hizo hazihusiani na FFP rules. Wage bills zinaingia kwenye expense account ambapo hata ukipata loss mishahara ni lazima ulipe tu.

Kwa upande mwingine, kununua wachezaji ni investment kwenye club na hasa ndipo concern ya FFP ilipo kwamba usitumie fedha nje ya faida uliyotengeneza kwenye soka kuinvest kwenye kikosi.
Timu ambayo ilipindisha taarifa ya gharama za usajili ni wazi pia itapindisha taarifa ya kiasi cha faida, hata namna yake ya kukwepa ban ilikua ni kwa rushwa (kama vyanzo vingi vinavyosema)

Madrid anasajili kwa pesa kubwa ila mishahara yake ni midogo na hii ni namna yake ya kukwepa ffp. Arsenal haiwezi kwemda same route?

At one point Arsenal ilitaka kumbakisha sanchez na Ozil na ikataka kuwapa kila mmoja mshahara wa 350K. Arsenal wanted to spend that much money leo nini kinazuia...? Unasema Chelsea wana mzigo bado as hawakuspend, yeah upo sahihi, lakini unajua Arsenal tulikua tunatengeneza faida kwa miaka mingi lakini tulikua hatusajili? Pesa imeenda/ ilienda wapi? Does that mean bado tuna pesa ya faida somewhere? Ambayo hatutaki kuitumia?

No worries mi mwenyewe soon baada ya kukuquote nikapotea.
 
JUZI C.EO Vinai alisema hatutauza wachezaji bila mnunuzi kufika bei

Brighton na Astonvilla wanaumana , Arsenal wanasubiri ofa nzuri waipokee

Full story on Emi Martinez, who is out of tomorrow's squad to play Fulham.

Brighton now in the running, another Villa bid expected imminently. No offers accepted so far.

Martinez out of Arsenal squad for Fulham clash as Brighton rival Aston Villa with new bid | Goal.com
Huyu Martinez kwakua yeye mwenyewe kuondoka hataki ni tungebembeleza abaki tu
 
Jamaa anachukulia poa sana, ni man u na city tu ndio walikuwa wanatuzid wage bills ,

Raul akapunguza sana Wage bills ,now nadhan tupo kwenye 5 bora na sio 3 bora

Josh Kroenke alisema Tunaendesha klabu kwa Gharama na mishahara ki Champion league , huku tunacheza Europa

Sasa hivi Manager Arteta na Edu hawawez kununua bila kuondoa watu,

Utakuwa ujinga unanunua unajaza watu, huku wage bills kubwa na hatupo UCL ,

Nadhani hakufanya utafiti vizuri, costs za mishahara Arsenal ni kubwa sana. Tumeweza kumaintain tu kwa sababu tumekuwa na vipindi virefu vya faida.

Hata Scouting network imeondolewa ili kupunguza wage bills kwa non-player staffs, sasa kama tutajaza wachezaji tusio na kazi nao then tuwalipe mishahara ya bure ni ujinga huo.

Watu wanaleta hoja ya squad depth, kimsingi squad depth sio kuwa tu na wachezaji watatu kila namba bali unakuwa na versatile players wanaoweza kucheza nafasi zaidi ya moja/mbili/tatu.

Ndio maana Niles huwezi kumuuza kizembe tu anatusaidia maeneo mengi. Ukiwa na Niles tu unakuwa na back up kwenye 4 different positons.

Martinez pamoja na kiwango alichoonesha ndio maana anauzwa kirahisi sababu ni kipa tu huwezi mtumia kwingine na pia ofa iliyowekwa mezani ni ndefu sana kwa 2nd choice goalkeeper.
 
If y'all think the way Arsenal approaches this transfer market is fine then let's see what's gon go down
 
Huyu Martinez kwakua yeye mwenyewe kuondoka hataki ni tungebembeleza abaki tu
Terms zake anataka abaki ila awe no.1

Arteta anaamini Bernt Leno ni bora kuliko Martinez ,

Arsenal imeshindwa kumuhakikishia no.1

So acha tuchukue hiyo £20m

Miez mitano nyuma ,Arsenal haikuwahi kuwaza kupata hata £5m ikimuweka sokoni

Behind the Scene. ,Emi alikuwa kipa wa kawaida tu ila mwenye kipaji, alishadaka sana carabao, FA cup, hata Europa

Unakumbuka ile mech 5-5 na Liverpool carabao? Alidaka yeye ,

Kuja kwa Arteta na kumleta kocha wa makipa Inak Cana , ndio kumemsaidia sana emi kuwa bora , kifupi alikuwa kipa wa kawaida sana,

Inak cana anasifika kwa mazoezi Mazuri ya makipa. Toka akiwa Brentford. ,

Nenda YouTube utamapata uone mazoez yake na makipa akiwa Brentford , kuanzia aje Arsenal , ndipo na Emi akapanda kiwango ,

So ana miaka 27 ni zao la academy, £20m ni bei nzuri sana kwa backup GK.

Kocha wa makipa Inak Cana amemshauri Arteta wakamchukue David Gaya kipa wa Brentford kama mbadala wa Emi.

Hapa chini ni Inak cana akiwa na Emi na Leno
IMG_20200911_072605.jpg
 
Back
Top Bottom