gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,942
- 6,133
Nitumie password mkuu
Kwa maelezo nilivyo soma baada ya kuinstall, utatakiwa kulipia buku 3 kama subscription fee ili wakupe password.Password jembe tuteleze
Nitumie password mkuu
Kwa maelezo nilivyo soma baada ya kuinstall, utatakiwa kulipia buku 3 kama subscription fee ili wakupe password.Password jembe tuteleze
Kwa maelezo nilivyo soma baada ya kuinstall, utatakiwa kulipia buku 3 kama subscription fee ili wakupe password.


nahisi piaInawezekana Elneny amechukua nafasi ya usajili wa Thomas Partey, ngoja tuone
Umejibu kwa Chelsea. City? United?Nadhani concept ya FFP rules ni kwamba unatakiwa kufanya matumizi ya fedha iliyotokana na faida iliyopata club na si vinginevyo.
Utakumbuka Arsenal walitangaza loss (sina exact figures) msimu huu baada ya covid-19 pandemic kinyume na hawa wenzetu.
Chelsea yeye ndio ana 'mzigo' wa kutosha kutokana na kutofanya usajili dirisha lililopita baada ya kufungiwa.
Mkuu, mimi pia naamini tunaweza kushindana sasa.Hatimae msimu mpya umewadia , huu ni msimu ambao timu yetu nina imani nayo sana kuwa iko vizuri kuliko wakati wowote katika kipindi cha miaka kama 15 iliopita, kuanzia fitness, nidhamu, dressing room, bond baina ya wachezaji na fans, tactics, energy, kwa kweli tunatarajia sana kurudi katika Ubora wetu, najua wale washkaji zangu wataanza sema na watabeza ila amini kwamba tutawashangaza wengi tu tukijaaliwa .....Giant kaamka, ukiona mpaka sisi wakongwe tumerudi humu ujue kuna jambo kubwa sana msimu huu. Ni wakati wetu wa kutembea kifua mbele COYG!!!
Kuhusu possible line-upAny predictions for Fulham vs Arsenal match? Possible lineups?
akitokea kushoto (LWF) huku Pepé akitokea kulia (RWF) mwa uwanja.
Ndugu Luiz ni injuryKuhusu possible line-up
Formation: (4-2-1-3)
(GK)
Nategemea kumuona Bernd Leno langoni japo nitapenda zaidi akianza Emi Martinez
(DEFENDERS)
David Luiz & Saliba wakianza kama CBs, Tierney (LB) na Bellerin (RB) japo nitapenda zaidi hii nafasi ya Bellerin acheze AMN.
(MIDFIELD)
Xhaka na Ceballos watacheza kama couples mbele ya mabeki wakisaidia kuunganisha timu kutokea nyuma kwenda mbele, kukaba na kuanzisha mashambulizi.
Juu kidogo natarajia kumuona Willian akicheza role yake mpya kama no. 10, hapa nataraji kuona ubunifu zaidi kutoka kwake na assists nyingi.
(FORWARD)
Aubaakitokea kushoto (LWF) huku Pepé akitokea kulia (RWF) mwa uwanja.
Lacazette atasimama kama CF.
CastrIla Arsenal tunahitaji squad depth kinyume chake tunafanya mauzauza.
Unamuuza Bellerin, unabakiwa na Niles na Cedric, mmoja akiumia mwingine fatique ikimshika? Au mwingine kaumia halafu mwingine akala red?
Tujiulize maswali hayo hayo kwa nafasi zingine ambazo Arsenal tumeambiwa watu watauzwa. Huyo Niles, Kolasinac, Lacazette, Torreira n.k.
Halafu naona kuna watu wanasema hatusajili mpaka tuuze ili kuikwepa financial fair play... Hebu fikiria upya..
Arsenal na City nani anatakiwa kuhofia financial fair play?
Arsenal na United nani anatakiwa kuhofia financial fair play?
City anataka wachezaji 5. Kashasajili low profile 4. Chelsea kashaspend zaidi ya 143M katika usajili... United kamnunua De Beek na mchezaji jina limenitoka.
Kiukweli kabisa Arsenal hatuna cha kutuzuia kusajili as kikosi ni chembamba na bado hatupo kwenye ukingo wa kuvunja financial fair play unless iwe ni kwamba klabu haina pesa..
Kinyume na hapo ni tunahitaji watu pale kati na pembeni na ikiwezekana bila kuuza mtu.
Unakosea kusema hivo ,arsenal yetu ishakuwa kama ugiligili tuu. Yani inashindwa kutoa hela 60 kwa Aour na 50 kwa Partey inasubiria huruma?
sijui nani aliniambia niipende hii timu.
Umejibu kwa Chelsea. City? United?
Plus ninachosemea ni ile mishahara ya juu na mpunga wa usajili wa juu.
Hivi unataka kusema City ana fan base kubwa kiasi jezi na viingilio vinampa pesa ya usajili?