Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kama.kubahatisha kupo , mbona lampenalty hajabahatisha hata mojaHaahaaaa Unaumwa wewe unafikiri atabahatisha tena
Kama.kubahatisha kupo , mbona lampenalty hajabahatisha hata mojaHaahaaaa Unaumwa wewe unafikiri atabahatisha tena
kuna watu YouTube wanachambua tactics za timu namna hii. Huwa sipendi wakipost za Arsenal kabisa. Naona kama kina Lampard na Ole wanapita huko kutusoma 😀 😀Lacazette as a false nine:
- Create 3v2 overload in midfield
- Make new passing angles in middle and defensive third
- Switch play from overloaded to underloaded side View attachment 1560844View attachment 1560845View attachment 1560846
Yaan hata mm sipend kabisakuna watu YouTube wanachambua tactics za timu namna hii. Huwa sipendi wakipost za Arsenal kabisa. Naona kama kina Lampard na Ole wanapita huko kutusoma 😀 😀
against the Swiss. Xhaka (C) also in the Swiss starting 11.






Arsenal are in pole position to sign Thomas Partey who has rejected Atletico’s latest contract renewal offer. Atletico must make some type of wage relief to sign Roca so Thomas Partey is pivotal to their pursuit for the Spaniard.
inafaida gani?Hii kitu ni kwel au miznguoView attachment 1561204
Ina ukweliHii kitu ni kwel au miznguoView attachment 1561204
Kwanin tusimnunue tu huyo marc roca tuachane na parte??Atletico Madrid wanapenda sana Arsenal alipe kifungu cha €50m kwa Thomas Partey.
Wanataka pesa hizo zinunue mbadala wake kwa bei nafuu [@InakoDiazGuerra]
Hii ndio sababu hawataki Ku negotiate bei yoyote nje ya Release clause ya €50m
Sasa Tutaoneshana makali tu
Atletico wanatamani sana Arsenal alipe kifungu cha cha €50m kwa Partey lakini Arsenal wanajua Atletico wamekata tamaa kusubiri. Kwa upande mwingine, Atletico pia wanajua Arsenal wana hamu ya kumsajili Partey na Arsenal wanajua Atletico ina hamu kubwa ya kumnunua Marc Roca ambaye ni mbadala wa Partey lakini wanahitaji kumuuza Partey.
![]()
Marc Roca ni type ya Xhaka hawana tofauti. ,wote pia ni left footer ,kipind xhaka anataka kuondoka tulihusishwa nae kama replacement.Kwanin tusimnunue tu huyo marc roca tuachane na parte??