Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Tukae humu
Tukae humu
Acha utoto, jifunze kuandika kwanza?Huyu nae hayo nayo nimakombe ya kujisifu mbele za watu,hata simba nawenyewe wanamakombe mawili ya dizaini hiyo.
No wonder....
Tuishi humu
Ni mwendo wa loans tuu, utadhani bank mmehifadhi malimao
Siyo wa kimama sasa nyie mnategemea nini msimu huu[emoji23][emoji23][emoji23]Huo ni mchezo wako. Ni mchezo wa kimama kila tukikuambia uache hutaki.
Wangeweza kuwapiga hata nyie ..kwani munatofauti gani na QPR mnashangilia hadi kubeba mashilingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mh kwa hiyo unasema jinsi mlivyo wabovu hata QPR wangewatoboa. Mbona mmeoza kiasi hiki?
Ninyi mna miongo mingap hamjabeba ligi ..jinsi mlivyo timu ndogo mnashangilia kubeba mashilingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi makombe ya ligi mnayo mangapi vile?
Nyie timu ndogo ndo maan mkibeba mashilingi mnashangilia adi mishipa ya kichwa inasimama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acheni uzwazwa 73+80 ya Kipepe unapata ngapi apo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi tunaongoza kubeba European cups London...Wewe unaongoza kubeba nini ?
Maana kama UCL anaongoza Liverpool
Carabao Liverpool
EPL Man U
FA CUP Arsenal
Chelwowo anaongoza kubeba nn?
Hii ni lifestyle ya mtu binafsi ..mbona Sarri anavuta sigara na alikugonga BAKU[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kijana tulikuonya ,tukiwawashia moto mnalalamika View attachment 1559304
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hayana pesa mkuuNi mwendo wa loans tuu, utadhani bank mmehifadhi malimao
Kumbe yalipigwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku Auba msaliti akiumia au kuondoka ndo mutakuwa hamna tena mfungaji.Two goals for Aubameyang but #AFC lost 3-2 to Villa today.