Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Dani Ceballos is about join Arsenal on loan. [@mundodeportivo]
Mzee kwa hiyo hela ya kumnunua ni mpaka Ozil aondoke? Sasa Ozil akiondoka kwenda mkopo?Arsenal wamchukuaje Ziyech ikiwa Ozil bado yupo?
Hata Liverpool ,n.k wanamuhitaji, mchukueni
Overmas aliwapa Arsenal ushauri , Arsenal hawajautendea kaz maana , Hawajafanya Afflod ya Ozil
Ndio shida hii, tukionesha kidole sehemu basi lazima watu waiingizane.| #AFC Transfer News
Reports in Italy are also now claiming that the deal for Everton Soares is close to completion as a move of around €28 million plus performance-based bonuses of €12 million will be offered to Gremio. [@CmdotCom_En] https://t.co/MtWl2jJYKCView attachment 1154477View attachment 1154479
Unapomchukua Ozil mkopo uwe tayari kumlipa 350k per week ,Mzee kwa hiyo hela ya kumnunua ni mpaka Ozil aondoke? Sasa Ozil akiondoka kwenda mkopo?
Halafu dili nyingi Tottenham anaziingilia, ninachoshukuru wachezaji wenyewe binafsi wanapenda kucheza Arsenal kuliko spurz, tatizo bodi ya Arsenal ni mbovuNdio shida hii, tukionesha kidole sehemu basi lazima watu waiingizane.
Teh..Kwa maelezo yako imeonesha una uelewa mdogo , huenda unafatilia ila una uelewa finyu, usingeuliza swali hilo
Naona huelewi ninachozungumzia halafu inaonekana unajawa na hasira sana kila unaposikia Liverpool anahusishwa kwenye sajilia zenu.Usidhan kila mchezaji anayehusishwa na timu bas anahitajika, ndio maana umeleta habari ya June ambayo hakuna aliyethibitisha Liverpool walituma ofa , Liverpool usajir wao ni wa siri sana,
Wachezaji siku hizi hawaangalii kucheza UCL hiyo ni option ya kawaida ,wachezaji wanaangalia bonuses ,mishahara minono ,
Ndio maana Leo hii Dan cebbalos anaikataa Tottenham na Ku prefer kwenda Arsenal anayecheza Europa ,
Hahahahahahahahah hatari sana.Naona huelewi ninachozungumzia halafu inaonekana unajawa na hasira sana kila unaposikia Liverpool anahusishwa kwenye sajilia zenu.
Usipanick mzee ulichagua mwnyewe kushabikia Arsenal.
Na hichi ndio kinachotuangusha.Halafu dili nyingi Tottenham anaziingilia, ninachoshukuru wachezaji wenyewe binafsi wanapenda kucheza Arsenal kuliko spurz, tatizo bodi ya Arsenal ni mbovu
Wewe jamaa unateseka sana, Liverpool kahusishwa kwenye usajir gan wa arsenal ? Nilipokwambia huelewi mpira nilikuwa namaanisha , kuangalia tu haitoshi, unasema najawa hasira , unaweza kutaja wachezaji wangapi wanaohusishwa na Arsenal na Liverpool pia kwa pamoja?Naona huelewi ninachozungumzia halafu inaonekana unajawa na hasira sana kila unaposikia Liverpool anahusishwa kwenye sajilia zenu.
Usipanick mzee ulichagua mwnyewe kushabikia Arsenal.
Na wasiwasi sana utakuwa James deliciousHahahahahahahahah hatari sana.
Mpira wewe kweli hujui lini wachezaji wanaohusishwa na Arsenal na Liverpool kahusishwa? Liverpool msimu huu kwanza haeleweki kwenye usajiri, mpaka sasa amesajir makinda tu, huyo pepe hata ofa haijawahi kutumwa. Arsenal anagombea wachezaji na Tottenham na hao wachezaji hakuna hata mmoja aliyekubali kwenda Tottenham akaacha Arsenal .Tottenham ni sawa na Chelsea iliyoanzishwa 2005 na mrusi.Naona huelewi ninachozungumzia halafu inaonekana unajawa na hasira sana kila unaposikia Liverpool anahusishwa kwenye sajilia zenu.
Usipanick mzee ulichagua mwnyewe kushabikia Arsenal.
Msimu huu mjiandae nafasi ya 10 , forward jirudi , winger pulisiki teh teh tehTeh..
Hata mm nishajiuliza sana, Liverpool mpaka sasa hawajasajiri chochote lkn anakuja kupiga domo huku , anasahau ili kupambana na city inahitaji depth , ana CB mmoja wakuaminika ambaye msimu uliopita hakupata majeraha, hivo ili kupambana na city anahitaji depth, lakin anakaz ya kuja humu kujichekeleshaNa wasiwasi sana utakuwa James delicious