Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Arsenal v Aston Villa at the Emirates Stadium tomorrow, Kick-off 3pm.
Behind closed doors friendly
#arsenal #afc
Behind closed doors friendly
#arsenal #afc
|| Ceballos’ second loan to Arsenal, should be announced soon [via - @TatiMantovani].Mmarekani anavunja kabati....From|| Ceballos’ second loan to Arsenal, should be announced soon [via - @TatiMantovani].


years old: Starts training in our youth set-up
years old: PFA Young Player of the Year nominee
Niliona uvivu hata kujibu hiviUnataka Gazeti kumbe? Basi nikikujibu kwa ufupi, ujue umeongea pumba



Huyu jamaa kuna muda huwa naacha kumjibu , basi anaona kawinNiliona uvivu hata kujibu hivi![]()


Katikati ya malalamiko yenu ya Lampard mimi nilisema ni kocha mzuri.Mkuu usinilishe maneno wanaolalama ivyo ni wachache ambao naweza sema wana uelewa mdogo sana na mpira. Vuguvugu la kumtusi Lampard limekuja kuongezwa kuni na washabiki wengi kutoka humu wakijua watatuhamisha lakini baadhi ya wachache kutoka kwetu hawajui chochote wanafuata mkumbo tu. Hawajui kilichokua kinatucost pia ni kubadilisha badilusha makocha kila mara so wengi wao walikua wanafanya kazi kwa pressure ya kutaka matokeo ya haraka ndio maana unakuta hatuwezi kukaa zaidi ya misimu zaidi ya miwili tuko on form.
Lampard ni kocha mzuri na huwezi kumjudge kwa mechi ya kirafiki dhidi ya BHA ambaye hata nyie pia aliwafunga baada ya likizo ya corona. Ubora wa Lampard umeonekana na utazidi kuonekana kama wewe huoni pole au labda tutumie ule msemo The Grass Ain't Greener On The Other Side yaan wewe unavutia kwako tu ila Lampard huyu atawezesha kila kitu pale darajani.
Anyways msimu ujao unaanza soon tutayaona haya tunayoyasema.
Halafu Uingereza haikumuita kwenye kikosi huyu mtu.Arsenal defender/midfielder/forward Bukayo Saka has been nominated for the PFA Young Player of the Year award.
Congratulations & best of luck,View attachment 1558311
Ameitwa ya vijana ,Huku senior wamemuita NilesHalafu Uingereza haikumuita kwenye kikosi huyu mtu.
Two weeks ago kazoa tuzo ya Europa.