Lets be serious wajameni....Bendtner hafai kuchezea Arsena kwa sasa......Huyu jamaa ni wa KUUZA .........
Hapa dawa ya hawa madogo ni kumiliki sana mpira baasi
Kumiliki huku tunafunga manake mara nyingi tunamiliki mwisho wake tunapigwa counter attack tunajikuta matokeo tofauti.
Kumiliki huku tunafunga manake mara nyingi tunamiliki mwisho wake tunapigwa counter attack tunajikuta matokeo tofauti.
Sijui kama mtakubaliana na mimi naona mood ya arshavin hivi karibuni iko down sana
Arshavini vipi tena?
Sijui kama mtakubaliana na mimi naona mood ya arshavin hivi karibuni iko down sana
Duuuh yani mpira unapita vile ndani ya box noma sana.Bendtner anasinzia wakati anamuona Sagna vizuri kabisa anavyoingia nao.