Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Atletico page ya mashabiki
IMG_20200903_153355_242.JPG
 
Afu mkuu unakosea unavyosema Lyon, leipzig na Atalanta ni timu zisizo quality, angalia wachezaji wao wanavyowindwa kwenye market utaelewa,Lyon hawataki deal ya kumhusisha Guendouz kwa aour wanajua mashine zipo kibao jikoni

Yaani toka tumeuziwa Pepe hizi timu ndogo naziheshimu sn kwa jicho la kurecruit players
Katika timu kama hizo quality haiwezi kua kikosi kizima.

Hua inakua labda watu 2 au 4.

Leipzig baada ya Werner kuondoka umeona inavyopata tabu kufunga? Ila kinachowaongoza ni mentality so Werner hakuepo ila Atletico akalambishwa mchanga.

Kisha game na PSG ndiyo unanotice hawana quality finisher.

Ikumbuke Leicester ya ubingwa wa epl. Ikimaliza kumkanda mtu magoli Ranieri anaenda na kikosi kizima nyumbani kwake mke wa Ranieri anaandaa msosi watu wanakula wanakaa kwenye pool kisha wanaondoka.

Kwao Leicester ilikua ni timu ya baba, they had a fighting spirit and a winning mentality needed.

Naamini nilichoandika ni sahihi.
 
Mfumo wa 3-4-3 kauasisi hapo Arsenal ni Wenger , akimpiga Conte , na City nusu final ,aliutumia sana

Emery , huyu katumia mfumo ya kila aina hapo Arsenal , na hakuwa na structure yoyote ya kuwasaidia wachezaji


Hivi unakumbuka hata kufanya buildup Timu ilikuwa haiwezi, had Leno ikabidi awe anapiga mpira mbele
Kila mechi mfumo mpya,
kwenye press zake anakwambia "we need time to play in our way, so far we are doing fine, hapo ana mwaka na zaidi
 
Arteta, willing to sacrifice three pieces to sign Thomas

In England they say that the Spanish coach wants to transfer Guendouzi, Elneny and Torreira to make room for the Atlético player.

Thomas Partey is one of the players who were summoned today to pass the PCR test prior to the return to work of the rojiblanco team, who will train this Friday at the Majadahonda Sports City after three weeks of vacation.

But the future of the Ghanaian is still up in the air. Because the midfielder still has not reached an agreement with Atlético de Madrid to improve and extend his contract. Or what is the same, his termination clause is still 50 million euros and Arsenal is still interested in his signing.

The 'gunner' club already made it clear a few weeks ago that it was not in a position to pay that amount, the amount to which they are remitted in the Metropolitan for the departure of Thomas. The English came to offer more Guendouzi money , but Atlético said 'no'. And it seems that they do not think to throw in the towel.

Because according to The Telegraph , Mikel Arteta , a 'gunner' technician, is willing to sacrifice three pieces to make room for Thomas. It is about Guendouzi himself , Elneny and Torreira . Arsenal believe that by transferring these three players, they will have the cash to pay the termination clause and take the Ghanaian to the Emirates.

Thomas is still waiting , like Atlético, that right now they will not extend the offer made. Another thing will be next season, when the club hopes to have recovered somewhat from the economic situation it is going through today. But Arsenal remains a threat.

IMG_20200903_153355_242.JPG
 
Elneny ataprove kua destroyer mzuri pale kati kuliko Partey. Piga chini Partey invest kwa Aouar au Szoboszlai
 
Mtoto wa Kroenke alienda mazoezini akasema era ya kubana matumizi imepita tujiandae kuspend heavily. Akawaambia wachezaji yeye ndiye yupo front siyo baba yake.

Hayo maneno yakawa encouraged na ile kuambiwa Arteta turned down a deal on Arsenal kabla hajafuatwa Unai kwakua alisema akija anataka pesa nyingi kwa ajili ya usajili.

Leo hii 50M imekua big deal. Na tuliambiwa kuna 250M kwa ajili ya usajili this summer?

Timu iuzwe kwa waarabu no way out.
Timu haina uwezo wa kutoa 50M cash kweli zama hiz?
 
Arsenal na Fiorentina Wamekubaliana kuhusu Uhamisho wa Toreira kwa uhamisho wa mkopo wenye thaman ya €8m na kipengere cha kumnunua jumla kwa thamani ya €16m

Vyanzo kutoka Italy vinadokeza hivo

Exclusive:

There is total agreement between Fiorentina and Arsenal for the transfer of Torreira. A loan fee of €8m with obligation to buy at €16m. Player already agreed terms with the Italian team. ACCORDO FIORENTINA-ARSENAL, ECCO IL CONTRATTO VIOLA DI TORREIRA. STOP AFFARE PER CEBALLOS. I MOTIVI
 
Thomas Partey - Arsenal remain interested in the Atletico Madrid midfielder but Mikel Arteta would need to sanction at least one sale in order to activate the midfielder's £45m release clause. (Sky Sports, September 3);
 
CEBALLOS KUKOSA MCHEZO WA UFUNGUZI DHIDI YA FULHAM

KUKAA QUARANTINE SIKU 14

SOMA ZAIDI HAPA

Ceballos has already started his two-week quarantine period & will be available to face West Ham on September 17. It is more likely, however, that his first involvement of the season will come away at Liverpool the following week. [@charles_watts]
 
PSG are in contact with Bellerin and his representatives. Arsenal have informed PSG that if they offer €30m including bonuses, they will allow him to leave. Bellerin will sign a 5 year contract if a deal can be agreed with Arsenal. PSG have not sent any offers to AFC yet.
 
#Sokratis getting closer to #Napoli: total agreement on salary and duration of the contract
#transfers #Arsenal
 
Folarin Balogun Update

Set for a move away from #AFC. Move abroad to Germany looks most likely. Stuttgart, Werder Bremen and Eintracht Frankfurt all interested. Strong interest from multiple EPL clubs. Includes Brighton & Southampton #TBGPOD @Podcast_TBG
IMG_20200903_172752.jpg
 
While Schalke are very interested in signing Sead Kolasinac, it’s Bayer Leverkusen who are better positioned to sign the player. They would be ready to pay the €15m demanded by Arsenal.

Leverkusen wana Mzigo kutoka Monaco na Chelsea ,Waje tufanye biashara
 
KESHO FABRIZIO ATAKUWA KWENYE ARSENAL FANS TV KUFANYIWA INTERVIEW

An Insider Interview With: Fabrizio Romano

Friday 4th September 2020
8pm GMT
@FabrizioRomano & @ItsDonRobbie
AFTV YouTube
IMG_20200903_174454.jpg
 
Back
Top Bottom