Kwa kiwango chake cha sasa, hii bei ni fair enough!Nadhani kama ni kweli tutakuwa tunamuachia kwa bei ndogo mno. 30m euro si kama pounds 25 sijui 27?. Kina Wan Bissaka na Maguire si walikuwa ghali zaidi. Naona kuna tatizo la kwenye evaluation ya baadhi ya wachezaji na finance department yetu. Vinai hayuko poa 😀. Ingawa Covid-19 imeleta mambo yake ila Bellerin siyo wa 25m pounds.
Hahahaha uzeni mapema uyo dgo ..halafu Odoi ni majeruhi unadhani angekuja apo arsenal angekosa nambaSaka utafananisha na yule bishoo odoi ana goli 1 la EPL toka aanze kucheza Chelsea
Saka miaka 18 ana potential kubwa kuliko huyo Odoi,
Mnajuta bora mngemuuza Bayern hata kwa £5m
Hahahaha uzeni mapema uyo dgo ..halafu Odoi ni majeruhi unadhani angekuja apo arsenal angekosa namba
Mimi na uhakika mchezaji atakayekosa namba apo arsenal labda ni Ampadu tu ..tena kwa mbali
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Tatizo lenu mnaleta matusi kwenye uzi kwani uwezi tania watu bila matusi. Tuwe wastaarabu.Hahahaha sasa mkiambiwa ukweli arsenal ni timu mchele mchele amtaki?
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Mkataba wake umebaki miaka miwiliNadhani kama ni kweli tutakuwa tunamuachia kwa bei ndogo mno. 30m euro si kama pounds 25 sijui 27?. Kina Wan Bissaka na Maguire si walikuwa ghali zaidi. Naona kuna tatizo la kwenye evaluation ya baadhi ya wachezaji na finance department yetu. Vinai hayuko poa 😀. Ingawa Covid-19 imeleta mambo yake ila Bellerin siyo wa 25m pounds.
Jidanganye , odoi majeruhi wapi ww,Hahahaha uzeni mapema uyo dgo ..halafu Odoi ni majeruhi unadhani angekuja apo arsenal angekosa namba
Mimi na uhakika mchezaji atakayekosa namba apo arsenal labda ni Ampadu tu ..tena kwa mbali
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Cha Arusha ni kinga mkuu ..jaribu kutumia uone, mfano mimi kifua, mafua na takataka zingine huwa siumwagi kabisa."Nishamcheki pusha nimekula cha Arusha..."
-Mchizi Mox
Possibilty ya Partey inakuwa ndogoArsenal are in talks over a potential deal to sign Lyon star Houssem Aouar as Mikel Arteta looks to pull-off a double midfield swoop also involving Dani Ceballos, according to The Athletic.
Mimi nshawapiga ignore kwa sana tuMadogo wanashida sana. Ollachuga waelekeze wadogo zako bana. Hii mambo wanayofanya sio poa. Na Gooners wenzangu, hawa mashabiki maandazi wakupotezea tu.
SAY NO TO MARIJUANA.Me nina uhakika Kepa akija arsenal akosi namba. Hata iweje, apo ndo utajua ubora wake..
#CFC
Kepa ni wa 22 anazidiwa had na makipa wa reserveJitahidi uwe serious wakati mwingine.
Tangu ligi ianze upya rank yamakipa kwa idadi ya saves wa kwanza ni Martinez anakuja Becker kisha Leno.
Kepa hayupo hata kumi bora.
Kama ana ubora unaoudai hapa Andre onana wa kazi gani? Yule kipa wa Coppenhagen wa kazi gani?
Mwache aende yupo Cedric(huyu mpaka makombe ya National team kachukua) na Maitland Niles tena hyo 25 Million Pound ni nyingi sana kwa bellerin tumuuze tuongezee kwa nafasi za midfieldYeah...na kwa nini auzwa wakati tunajenga timu? Nani atacheza beki 2?