Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Hata kocha wake wa Academy ,anasema ndivyo alivyoYah Gunduz hela imemchanganya sana, sijui sana background yake ila inawezekana katoka familia duni, pia kutoka ligue 2 hadi kucheza Epl kwa club kubwa kama Arsenal kajiona kamaliza kila kitu.
Niliona anatukana senior players wa Watford siku ile kuwa anawazidi mshahara watamwambia nini? Na hata alipotakiwa kuomba radhi kwa Arteta na Edu aligoma.
Ni nidhamu mbovu sana, mtu wa vile future yake ni very unclear hana tofauti na watu kama kina Balotelli
Pale Arsenal ,Luiz ndio mlezi wa hawa kina Saka, Guendouz, N.k
Hata Saka kuongeza mkataba alimshukuru Sana Luiz
Sasa ,Unaambiwa Arteta alimtuma Luiz akaongee nae , Lakini Dogo bado jeuri
Kumbe hakuanzia hapo Arsenal ,toka alipotoka kocha wake alisema
He said:
"Guendouzi's problem is not physical and is not technical. It's his attitude.
"It's not good for the team or the coach. My relationship with him wasn't very good."
Frenchman Casoni, now in charge of Algerians MC Alger, gave a clear example of how Guendouzi's behaviour undermined the whole team during a Lorient match.
The 58-year-old said: "I picked him for a cup game against Nice but he got booked early on.
"The ref told me at half time to warn Guendouzi, 'one more foul and you're off'.
But in the second half nothing changed.
"I was left with no choice but to sub him off. When I did, he refused to shake my hand."
But Casoni added:
"He took his job seriously, his training was no problem, and his character is to always want to win.


