Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

hivi Aaron Arsenal pale Wembley si kama Emirates ndogo tu kwetu? Uwanja wetu wa nyumbani wa pili maana huwa tukiingia tu pale tunachomoka na kikombe au sahani. Hatutoki mikono mitupu pale.
Kwangu me Wembley ni kama 1st home ground kwa Arsenal, tuna record nzuri pale kuliko Emirates. Wembley kwa Arsenal ni home away from home!!
 
Toka 2004 tumefungwa mech 3 ninazozikumbuka

Nyingine zote nikushinda tu

Toka 2015

Kati ya mechi 15 Wembley tumeshinda 14
 
Bukayo Saka’s stats per position:

•Left wing: 18 games, 2 goals, 5 assists.

•Left back: 16 games, 1 goal, 4 assists, 7 clean sheets.

•Right wing: 5 games, 1 goal, 2 assists.

•Central midfield: 1 game, 1 assist.

His adaptability for an 18-year old is incredible
 
Former Celtic star John Hartson hails Kieran Tierney :

"I think the Arsenal fans and a lot of people that are watching the English Premier League need to realise how good this kid is. He's an outstanding player. He's a future Arsenal captain for me, 100 per cent." [@talkSPORT]
IMG_20200831_173324.jpg
 
Bukayo Saka’s stats per position:

•Left wing: 18 games, 2 goals, 5 assists.

•Left back: 16 games, 1 goal, 4 assists, 7 clean sheets.

•Right wing: 5 games, 1 goal, 2 assists.

•Central midfield: 1 game, 1 assist.

His adaptability for an 18-year old is incredible
Saka na Niles wana versatility ya juu sana ukilinganisha na umri wao, but Saka has plenty of confidence in the final third, his assists and goals stats tell it all.

We have prized assets in these boys (Saka & Niles), there should be no compromise against keeping them in the club.
 
Nakubaliana na ww kabisa

Binafsi mm ni mshabiki sana wa Niles kuliko Saka

Niles anakupigia LB,RB,LWB,RWB,LW,CM

Saka nampenda zaid kama LB na LCM
IMG_20200824_203544.jpg
 
Yees, tuna mtazamo sawa. Hata me nampenda sana Niles, mbali na kuwa versatile ana maximum tactical discipline. Kila position anayopangwa unamuona anavyojituma na kutaka kufanya the best he can, kwa umri wake na experience aliyonayo ya kucheza first team angeweza kujitanua kama walivyo wachezaji wengi wa kiingereza.

Gunduz 'bichwa' ndio limemponza kujiona senior player kabla, kitu kinachomzuia kujifunza sabab anajiona anajua tayari.

Kwa Saka ninachompa credit kubwa ni kuwa amekuwa na best ratio ya age vs maturity. Anajitambua kwamba ni junior player (still with a lot to learn) but when given half a chance, he offers a senior perfomance...just brilliant!!
Nakubaliana na ww kabisa

Binafsi mm ni mshabiki sana wa Niles kuliko Saka

Niles anakupigia LB,RB,LWB,RWB,LW,CM

Saka nampenda zaid kama LB na LCM View attachment 1554436
 
Yees, tuna mtazamo sawa. Hata me nampenda sana Niles, mbali na kuwa versatile ana maximum tactical discipline. Kila position anayopangwa unamuona anavyojituma na kutaka kufanya the best he can, kwa umri wake na experience aliyonayo ya kucheza first team angeweza kujitanua kama walivyo wachezaji wengi wa kiingereza.

Gunduz 'bichwa' ndio limemponza kujiona senior player kabla, kitu kinachomzuia kujifunza sabab anajiona anajua tayari.

Kwa Saka ninachompa credit kubwa ni kuwa amekuwa na best ratio ya age vs maturity. Anajitambua kwamba ni junior player (still with a lot to learn) but when given half a chance, he offers a senior perfomance...just brilliant!!
Umeeleza vzr sana blood,

Guendouz tatizo kiburi , ule mshahara wa £40,000 umemfanya awe anajisikia sana,

Na aliaminiwa kwakucheza mech kibao huku senior players wakikaa nje , hii imemfanya ajikweze ,wakati bado anahitaji msaada kufika mbali
 
Ozil awe mzalendo tu, kuondoka kwake kutasaidia klabu kuleta majembe hata matatu,na yakalipwa huo mshahara wake wa £350,000 ,

Kitendo cha Ofa zinakuja ,anazipiga chini ,hadi mkataba wake uishe ,sio Uzalendo kabisa.

Kule Barcelona ,Mtu kama Pique amesema yupo tayari kusepa Kama klabu inaleta mtu ili kuipeleka timu mbele

Telegraph: Al Nasser of Saudi Arabia and a team in Qatar have expressed interest in signing Mesut Ozil this summer. But Mesut Özil has no intention of leaving London this summer.

Clubs in Saudi Arabia and Qatar express interest in Mesut Ozil - but Arsenal playmaker does not want to leave
 
Yah Gunduz hela imemchanganya sana, sijui sana background yake ila inawezekana katoka familia duni, pia kutoka ligue 2 hadi kucheza Epl kwa club kubwa kama Arsenal kajiona kamaliza kila kitu.

Niliona anatukana senior players wa Watford siku ile kuwa anawazidi mshahara watamwambia nini? Na hata alipotakiwa kuomba radhi kwa Arteta na Edu aligoma.

Ni nidhamu mbovu sana, mtu wa vile future yake ni very unclear hana tofauti na watu kama kina Balotelli
 
Ozil ngozi tu ni nyeupe ila jamaa ana tabia za 'kiswazi' sana, anaona ufahari gani kulipwa rundo la hela wakati amekaa bench?!

Mbaya zaidi hata akipewa nafasi ya kucheza hajitumi, mbali na hasara kwa club ni mfano mbaya sana kwa young players.

Jitu zima limetoka Madrid linazidiwa statistically na Saka aliyekuwa analipwa £3,000/= kwa wiki. Unakuwaje star player usiyeona aibu kuzidiwa stats na academy graduate unayemzidi mshahara kwa zaidi ya mara 100?! Na bado aligoma kukatwa mshahara kipindi hiki cha covod-19.
Ozil awe mzalendo tu, kuondoka kwake kutasaidia klabu kuleta majembe hata matatu,na yakalipwa huo mshahara wake wa £350,000 ,

Kitendo cha Ofa zinakuja ,anazipiga chini ,hadi mkataba wake uishe ,sio Uzalendo kabisa.

Kule Barcelona ,Mtu kama Pique amesema yupo tayari kusepa Kama klabu inaleta mtu ili kuipeleka timu mbele

Telegraph: Al Nasser of Saudi Arabia and a team in Qatar have expressed interest in signing Mesut Ozil this summer. But Mesut Özil has no intention of leaving London this summer.

Clubs in Saudi Arabia and Qatar express interest in Mesut Ozil - but Arsenal playmaker does not want to leave
 
Asijue Fabrizio Romano ajue huyo?
Huyu jamaa Mohamed Bouhafsi ni Tier 1 sawa na Fabrizio

Na hii habari Kai post pia Fabrizio

Yaani ukiona huyu Jamaa katoa habari basi jua ina ukweli 100%

Huyu ndiye alikuwa wakwanza kutoa habari ya Pepe, Saliba , Gabriel kuja Arsenal

Anafanyia kazi RMCsport
 
Back
Top Bottom