Mkuu, usipoteze nguvu zako kwa huyoKusema tunajazwa ujinga na sisi tunajaa ni kadharau comedy fulani hivi.
Anyway, kuna timu kama Leicester zimefika na kufikia kuchukua ligi. Lakini baada ya hapo nini kimekua?
Kuna timu ilichukue UEFA huku inashuka daraja.
Kipimo chako cha userious wa kuchukua UCL iwe ni kuchukua ligi hakipo sahihi kama unavyotaka.
Kabisa,still tunahitaji quality players kuleta balance kwenye game za level hii ya Liverpool, kama ulicheki game jana kuna muda watoto walikata sana upepo (hasa mbele)paka pale subs zilipofanyikaTimu imebadilika kwa confidence kuongezeka na fighting spirit imeanza kupanda.
Once nilisema timu yetu siyo mbovu ila ipo lowa kwenye fighting spirit. Hilo likifanyiwa kazi kuna maandazi pale utayaona lulu.
Lukaku, Young, Herrera ni baadhi ya mifano ya players waliong'ara baada ya kurudishiwa confidence.
England hawakumuita Saka timu ya taifa siku moja mbele Saka anatangazwa mchezaji bora wa Europa kosa walilofanya England tusifanye kwa Niles.
Huge U-Turn for Arsenal | Emi Martinez & Ainsley Maitland-Niles will stay at Arsenal next season. Told Holding could leave only on loan and comeback next season. #AFC
Siyo kuchukua ligi ila ni kuleta competition kwenye ligi. Sasa wewe unataka kuchukua UEFA kwenye ligi uko mchele mchele.Kusema tunajazwa ujinga na sisi tunajaa ni kadharau comedy fulani hivi.
Anyway, kuna timu kama Leicester zimefika na kufikia kuchukua ligi. Lakini baada ya hapo nini kimekua?
Kuna timu ilichukue UEFA huku inashuka daraja.
Kipimo chako cha userious wa kuchukua UCL iwe ni kuchukua ligi hakipo sahihi kama unavyotaka.
Wewe najua kwanini unateseka,ni Wazi kwamba Arsenal akichukua UCL basi wewe utabaki mtoto wa kambo pale London, hutakuwa na neno lolote mbele ya Gunners
Na kwa Arteta utachukia sana,ponda chupa unywe, mambo mazuri yanakuja.
#Coyg
Mkuu nasikitika kukwambia mihemko imekukurupusha vibaya. Kuna picha na maelezo katuma ndugu yako ndio mimi nikawa namkosoa na yeye alipojua kakosea akakausha kimya hakuendelea kujibu. Ghafla umeibuka wewe nikijua unakuja na la maana kumbe nae walewale tu."FA unacheza mechi ngapi mpaka uje kuingia final na CS ni mechi moja tu unategemea reaction yake itakuaje?"
Kwa haya mashudu uliyo ya andika ilikuwa haina haja kujua mmetokea wapi,this is arsenal thread fan yoyote atakaye kujibu yupo sawa.
Wanachama wenzako wanadiscuss jinsi ya kutatua matatizo yao kwenye uzi wenu, we unakujA huku kuleta chuki.Mkuu nasikitika kukwambia mihemko imekukurupusha vibaya. Kuna picha na maelezo katuma ndugu yako ndio mimi nikawa namkosoa na yeye alipojua kakosea akakausha kimya hakuendelea kujibu. Ghafla umeibuka wewe nikijua unakuja na la maana kumbe nae walewale tu.
Wakuu naombeni mtulie mambo bado.
Hopefully board itakuwa imejifunza kwa Serge Ginably.So after yesterday ...
Both Emiliano Martinez and AMN close to new Arsenal contracts #arsenal #afc
Mo elnney angepewa mkataba mpya pia maana jana alikiwasha hatariArsenal kumpiga mkataba mwingine Niles , ingawa kabakiwa na miaka mitatu
Arteta nimeamin Ana nguvu , Klabu ilihitaji kumuuza ,Kocha kakataa
One source has told us that Arsenal are now looking into a new deal for the defender Maitland-Niles, who still has three years left on his present contract. [@SkySportsNews]View attachment 1553328
Me nina uhakika Kepa akija arsenal akosi namba. Hata iweje, apo ndo utajua ubora wake..Jitahidi uwe serious wakati mwingine.
Tangu ligi ianze upya rank yamakipa kwa idadi ya saves wa kwanza ni Martinez anakuja Becker kisha Leno.
Kepa hayupo hata kumi bora.
Kama ana ubora unaoudai hapa Andre onana wa kazi gani? Yule kipa wa Coppenhagen wa kazi gani?
Angalia uyu nayeNaona dalili kwamba tukiendelea hivi, 2021-2022 tutakua UCL na wakutusumbua kule hatakuwepo. Labda Bayern kidogo kama ataendelea kuwa on fom 😀😀
Kwaiyo adi mbebe Community shield ndo mukumbuke kutoa misaada acheni unafikiLeo baadhi ya mashabiki wa Arsenal tupo kigamboni
Tumekuja kutoa msaada kwa kituo cha watoto Yatima
Nitapost picha chache baadae
Nimepewa taarifa asubuhi , nimeungana kushiriki baraka
ONCE GUNNER ALWAYS GUNNER
Acha ujinga ,hii Event imeandaliwa karibu wiki 3 zilizopita ,Kwaiyo adi mbebe Community shield ndo mukumbuke kutoa misaada acheni unafiki
Enewei mmefanya vizuri.