MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,186
- 5,450
Una nini mkononi hatuwezi kukuacha kwa ujinga wako wa wivu uwashambulie watu wetu wewe ni fungo tu unayenuka kinyeo hili nijukwaa la ganazi linakuhusu nini wewe.Fala sanaMnajikutaa wenyewee nyau
Emi ndio golikipa namba moja kwa sasa, naona Leno ajipange upya kwa kazi kubwa ya kufanya,Martinez yupo comfortable golini, hatujaona pengo la Leno kabisa.Uzee unamchanganya huyu mzee.. Emi haendi kokote!
Una nini mkononi hatuwezi kukuacha kwa ujinga wako wa wivu uwashambulie watu wetu wewe ni fungo tu unayenuka kinyeo hili nijukwaa la ganazi linakuhusu nini wewe.
Huku tunashairiana wenyewe tu tunaomba ukome kabisa vinginevyo tutakuaibisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona dalili kwamba tukiendelea hivi, 2021-2022 tutakua UCL na wakutusumbua kule hatakuwepo. Labda Bayern kidogo kama ataendelea kuwa on fom 😀😀
Arteta kaomba miaka mitatu ya kuchukua UCL
FA Cup siyo sawa na Community Shield wewe. FA unacheza mechi ngapi mpaka uje kuingia final na CS ni mechi moja tu unategemea reaction yake itakuaje?Compare the two. This is why liverpool are champions. Class club. View attachment 1552456View attachment 1552458
Muendelee vipi???Mmeanza kuota ausiooo....
Naona dalili kwamba tukiendelea hivi, 2021-2022 tutakua UCL na wakutusumbua kule hatakuwepo. Labda Bayern kidogo kama ataendelea kuwa on fom 😀😀
Leo nimeelewa kwanini serikali mbalimbali duniani wanakataza wananchi wao wasivute bhangiNaona dalili kwamba tukiendelea hivi, 2021-2022 tutakua UCL na wakutusumbua kule hatakuwepo. Labda Bayern kidogo kama ataendelea kuwa on fom 😀😀
Endelea kutesekaFA Cup siyo sawa na Community Shield wewe. FA unacheza mechi ngapi mpaka uje kuingia final na CS ni mechi moja tu unategemea reaction yake itakuaje?
Niletee picha PSG wakiwapigia makofi Bayern baada ya mechi. Acheni justification za kiloko loko.
Unabisha nini sasa ?nakuheshimu ndugu acha vibweka.
Njaa mwanamalegeza, shibe mwanamalevya. Mmeanza kushiba mmeanza kulewa sasa.
Kula malimao kijanaUsipanik kijana hivi ndo vikombe vyenu unadhani lingekuwa Kombe la maana Liverpool wangewaachia mumbwaa nyinyii...
Nani analitaka hilo chujio?Kepa?? Kwa mkopo?? Apo Arse8 kuna kipa wa kumkata namba.?
Mkuu hujajibu hoja yangu.
Mkuu hakuna cha ajabu naamini kwenye timu yoyote inawezekana. Ila kila kitu ni process na haya mambo yanaenda hatua kwa hatua. Anzeni na EPL kwanza then onyeshe i umwamba kwenye EL ndio mkachukue hiyo UCL. Haya mambo msidhani ni bahati tu watu wanajipanga. Angalia Pep anavyohangaika uko leo hii Arsenal eti ndani ya misimu 3 akabebe UCL? Acheni masikhara bhanaUnabisha nini sasa ?
Klopp aliwatoa Liverpool kutoka wenye mashaka had kuwa waamini(doubter to believer)
Aliwaomba miaka mitatu abebe mataji makubwa hawakumuamini , lakini mwisho wamemuamini
Mwaka 2001 Arsene Wenger alisema Ipo siku nitamaliza ligi bila kufungwa ,zikatolewa kejeri kibao
Mwaka 2004 wakati anakabidhiwa Taji la dhahabu ,akawakumbusha maneno yake kwa kuwaonesha kwenye Tshirt.
Sasa Arteta kaomba Miaka mitatu Alete UCL , cha ajabu nini?View attachment 1552776
Emi ndio golikipa namba moja kwa sasa, naona Leno ajipange upya kwa kazi kubwa ya kufanya,Martinez yupo comfortable golini, hatujaona pengo la Leno kabisa.
timu kubwa England ni MAN U, ARSENAL na LIVERPOOL tu kihistoria na hata hapo mbele kidogo itarudi kuwa hivi. Hao wengine wote hovyo kabisa. Kuna watu humu wameanza na Chelsea ya Mourinho na Tottenham ya Poch ndo maana wanaziona ni timu za maana.
Ili ucheze community shield,lazima uchukue FA sijui unalijua hilo ndio maana kacheza BINGWA WA FA na BINGWA WA EPL na bingwa wa FA ndiye bingwa wa Community Shield 2020.FA Cup siyo sawa na Community Shield wewe. FA unacheza mechi ngapi mpaka uje kuingia final na CS ni mechi moja tu unategemea reaction yake itakuaje?
Niletee picha PSG wakiwapigia makofi Bayern baada ya mechi. Acheni justification za kiloko loko.