Huyu dogo anajua sana mkuu Aaron, ila timu yangu shida tupo slow, huyu sio wakujiuliza maswali mara mbili mbili
Taja usajili wako wewe nyumbu!Timu hii ufukara utaiua mwaka huu inasajil kwa mafungu
Wee uliskia waapi!!Uyo ndo mastermind wa arteta ..ngoja uone atakavyovuruga.
Guardian:Si unajua transfer madness (silly season) inavyokuwa England? utakuwa linked na wachezaji zaidi ya 10 usisajili hata mmoja
Bayern Munich hana beki ya kuwazuia front three wa PSGNishawekeana na mtu elfu mbili kwamba PSG hatoboi. Na wewe kama unataka weka.
Hahaha nazingua. Unajua PSG ana advantage ya kua na Neymar, Mbape, Di Maria na Icardi hawa wote wako vizuri hivyo kusema Bayern atashinda inataka moyo mgumu kidogo.
Lakini hoja yangu mimi naiegemeza kwa kuangalia game ya PSG na Atalanta na PSG na RB.
Atalanta alipiga pasi zaidi ya 350. RB alipiga pasi zaidi ya 415. Na wote walimshambulia sana PSG Navas alithibitisha ubora wake kwenye game na Atalanta.
Game na RB ilikua wazi kwamba RB wanachokosa ni striker. Poulsen hana kiwango cha kutisha uwepo wa Werner ungeisaidia RB siku wamekutana na PSG.
Bayern ameifunga Barcelona goli nane lakini alipiga pasi chini ya 414. Alivyocheza na Lyon alipiga pasi zaidi ya 450. Hii inamaanisha kwa Bayern ukijichanganya kumiliki mpira na kumshambulia kwa kujiamini yeye pasi zake zitakua ni za kutafuta mabao tu, wakati ukipaki basi atapiga pasi nyingi ili kupata chansi.
Now tujiulize, PSG atapaki basi? Naamini jibu ni Hapana. Huko kufunguka ndiyo kutaipa chansi Bayern kupiga pasi za kutafuta kuscore tu.
Ila nipo serious. Nimewekeana na mtu elfu mbili.
Gabriel Magalhães:
- 2nd highest tackle success rate in Europe (85%)
- 1st in final third passes in Ligue 1
- 1st at Lille in duel success rate, tackle success rate, passes, and aerial success rate
- L’equipe Ligue 1 Team of the Season
Praise and hype is fully deserved View attachment 1545986
KAMA NILIVYOSEMA ARTETA AMEENDA BRENTFORD KUCHUKUA MTU HAPA WA KUMJUMUISHA KWENYE BENCH LAKE ,Arteta to reshuffle his backroom staff kuanzia wiki ya kesho.
Kuna mtu kutoka Brentford anakuja pale na wengine pia.
Kuanzia saa nne usiku Leo tutapata news news news
Huyu Dani Ceballos ana maajabu gani, mbona mimi huwa siyaoniKwa mujibu wa Fabrizio Romano
Arteta amebakiza sajiri 3 tu,
Midfielder
Forward
Kumbakisha Dan ceballos
Basi huangalii mpira huyo mtu.ni hatari na nusuHuyu Dani Ceballos ana maajabu gani, mbona mimi huwa siyaoni