Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Naona Arteta anapita path ya mzee Wenger, academy yetu itaanza tena kuzalisha vipaji vya hatari soon.
Umesema kweli mkuu, lakini nionavyo mimi cost effective ndio inaleta madhara makubwa zaidi,Just imagine timu haipo UCL kwa misimu minne mfululizo tunazidi poteza zaidi ya wanachokipata.Tulipofikia inabidi kuvunja kibubu labda tu pesa kama hakuna.
Kasema nan?Partey ndo basi tena, nafasi yake ishapata ntu
Salah-Eddine: "First I want to become an important player in the U23s & then eventually get involved with the first team in some capacity"Partey ndo basi tena, nafasi yake ishapata ntu
Mna 100£ iliyosimama?Naenda kuinunua jezi hii very soon ila na sisi tuchangamke mapema kwenye usajili ratiba kesho inatoka ya EPL
Gnabry Gnabry Gnabry![]()



Mkuu hii taarifa mbona haijawekwa kwenye official arsenal tweeter au ?BREAKING Gabriel will wear the number 6 for arsenal next season. 5 Year deal signed sealed and delivered. Let’s go.
#Arsenal #Transfer #News
Bandugu naskia kuna chezaji lina miaka 35 mnataka kulisajili sijui kulinunua? 😂😂😂Maana hata sielewi hakya mungu😂😂😂Nyie takataka tutawalamba hapo hapo kwenu.
Mark this.
#CFC
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kichapo cha Wembley kimeshapoa?Nyie takataka tutawalamba hapo hapo kwenu.
Mark this.
#CFC
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Arsenal tweeter itawekwa deal likikamilika 100%Mkuu hii taarifa mbona haijawekwa kwenye official arsenal tweeter au ?
OkayArsenal tweeter itawekwa deal likikamilika 100%
Hizi tabia zenu za kuficha picha za misimu ya nyuma na sisi tukitoa za kwetuKichapo cha Wembley kimeshapoa?View attachment 1544925



Uyo katoa ofa mwenyewe. Sisi ndo tuna amua tumchukueBandugu naskia kuna chezaji lina miaka 35 mnataka kulisajili sijui kulinunua?Maana hata sielewi hakya mungu
![]()
| #AFC
https://t.co/TSgD5XjORb