Arsenal hawawez kusema had wamtambulisheMbona hii ishu ya Gabriel bado? Hata Arsenal hawajasema, na sites maarufu za transfer hazijasema
Hii inshu ya Gabriel bado tete, tusubiri tuone mambo yataendaje.Arsenal hawawez kusema had wamtambulishe
Site maarufu zinadokeza ashafanyiwa vipimo vya afya
Habari had usiku zilikuwa zinasema kama man u hatapanda dau , basi Deal doneHii inshu ya Gabriel bado tete, tusubiri tuone mambo yataendaje.
Ukiangalia in recent years Arsenal tumekuwa tukifanya mazungumzo ya awali na kukamilisha deals kwenye deadline days, well kwa nini?Habari had usiku zilikuwa zinasema kama man u hatapanda dau , basi Deal done
Sasa mambo ya Cost effective ya nini ukiangalia kwa nafasi tuliyomaliza?Mwezi october tuna game ngumu ambazo zinaweza kututoa kwenye reli ya Top four tukiwa na kikosi hiki wakati wenzetu wanasajili,Ukiangalia in recent years Arsenal tumekuwa tukifanya mazungumzo ya awali na kukamilisha deals kwenye deadline days, well kwa nini?
Hii ni cost effective technique aambayo imekuwa ikitumiwa na Arsenal. Unaposajili mwanzoni mwa transfer window maana yake expenses (wage bills) zinaongezeka, hivyo wanavizia mwisho wa dirisha ili kucut cost.
Contrary kwa timu inayouza mchezaji nayo inapambana kustrike deal mapema ili nao wacut cost kwenye account books zao.
Mbinu hii ina madhara ikiwemo kupokonywa wachezaji na timu zingine, kuattract interest elsewhere ambayo automatically inaongeza ushindani na hivyo kupandisha gharama ya mchezaji kama unavyoona kwenye issue ya Gabriel.
Kweli kwa pozi hilo.Huyu Gabriel haya maringo anayoleta halafu akifika akiwa chapati nitakua nina kazi ya kumlalamikia personally.
Ukiangalia in recent years Arsenal tumekuwa tukifanya mazungumzo ya awali na kukamilisha deals kwenye deadline days, well kwa nini?
Hii ni cost effective technique aambayo imekuwa ikitumiwa na Arsenal. Unaposajili mwanzoni mwa transfer window maana yake expenses (wage bills) zinaongezeka, hivyo wanavizia mwisho wa dirisha ili kucut cost.
Contrary kwa timu inayouza mchezaji nayo inapambana kustrike deal mapema ili nao wacut cost kwenye account books zao.
Mbinu hii ina madhara ikiwemo kupokonywa wachezaji na timu zingine, kuattract interest elsewhere ambayo automatically inaongeza ushindani na hivyo kupandisha gharama ya mchezaji kama unavyoona kwenye issue ya Gabriel.
Hata me ningependa sana hayo yafanyike mapema sana.Sasa mambo ya Cost effective ya nini ukiangalia kwa nafasi tuliyomaliza?Mwezi october tuna game ngumu ambazo zinaweza kututoa kwenye reli ya Top four tukiwa na kikosi hiki wakati wenzetu wanasajili,
Wachezaji walitakiwa wasajiliwe haraka ili kuadapt na mazingira na ligi kiujumla.
Ni kweli hata me sipingi hilo ila nilikuwa najaribu kueleza ni kwa nini tunachelewa kukamilisha deals.Kuna baadhi ya wachezaji ambao waweza kufanya hivyo lakini si kwa mkoba wetu mpya Gabby na Partey.
Hawa ndio target za Arsenal na hawahitaji kusubirishwa.
Ndio maana Arteta amesema hawa wawili ni priority piga ua.
Ni kweli hata me sipingi hilo ila nilikuwa najaribu kueleza ni kwa nini tunachelewa kukamilisha deals.
Mfano ukisajili mwanzo wa dirisha la usajili mchezaji mwenye mshahara wa £150,000/= kwa wiki na ukimsajili mchezaji huyo huyo deadline day utakuwa umepunguza £1.5m ya gharama.
Sasa kama umesajili wachezaji watano wa mshahara huo utakuwa umeokoa £7.5m ambayo inaweza kuwa ni ada ya kununua kinda mzuri kabisa.
Tatizo hivi vitu (cost) mashabiki havituhusu ndio maana tunapiga mayowe sana ila ukweli ndio huo mkuu, tuwe wavumilivu.
Mzee Arsene Wenger alikuwa akitumia mbinu hiyo na akawakosa Ronaldo, Messi, Yaya Toure na wachezaji wengine muhimu sana ambao wangeisaidia Arsenal ndani ya miaka 10 ilopita.
Alitakiwa azibe uri nafasi walizoacha Gilberto, Thiery Henry, Vieira na Sol Campbell na hao ni baadhi ya wachezaj muhimu waloondoka.
Hivyo mawzo mapya ya Arteta ni kamba ni lazima Arsenal irudi kwenye basics na iwe na wachezaji wazuri na wa kuwekeza kwa muda mrefu.
Hata hivo kwa sasa pia suala la COVID -19 linaweza kuathiri baadhi ya timu lakini pia si kwamba wachezaji muhimu wataweza kupungua tahamani yao kwa kuwasubirisha hdai deadline Day ya usajili.
Mkuu you are talking big things.Ukiachana na hao tuliowakosa kina Ronaldo, Messi, Yaya na wengine hata wale waliokuwa ni academy graduates kama kina Fabregas tuliwapoteza.
Kwa kipindi kirefu Arsenal imekuwa kwenye transition under Wenger. Kujenga uwanja wa kiwango cha Emirates na kuboresha training facilities kwa jiji la London sio mchezo.
Ndio maana over years tumekuwa tukikimbiwa na nyota wetu wakifata mataji na au maslahi manono kwingine. Tena ukiangalia wanaondoka kwa ada ndogo tu kutokana na mikataba mifupi na nafuu waliyosaini pale Arsenal.
Kwa mtazamo wangu, na niliwahi kusema humu na nikapingwa kabla Arsenal haijamchukua Arteta kuwa, kocha ambaye tunaweza kuafford na akawa ni bora ni Arteta tu kutokana na hali yetu kifedha.
Niliendelea kusema kuwa, Arteta atafaa kwa kuwa anaonesha uwezo wa kutransform wachezaji mfano Sterling na Bernado Silva, Guardiola alikiri wamekuwa improved na Arteta. Na kwa Arteta kupata deal kuinoa club kubwa kama Arsenal ilikuwa ni bonge ya deal, kwa hiyo ilikuwa ina mutual benefits kwa club na kwake pia.
Hivyo angetufaa kwa bajeti zetu ndogo, makocha wengine wengi wanahitaji bajeti kubwa kununua wachezani. Luis Enrique alitaka ahakikishiwe £200m kuoverhaul kikosi ndio aje pale.
Kwa hiyo kwenye sera za usajili sitarajii mabadiliko makubwa sana chini ya Arteta, bado tuna deni la uwanja na hatupo Uefa hivyo huwezi kuwa na high profile players wataongeza mzigo wa gharama.
Ukichanganya na issue ya covid-19, kama tutafanikiwa hizi sajili za Gabriel, Partey na Ceballos akabaki binafsi nadhani tutakuwa tumejitabidi sana kutoyumba.
Ukiachana na hao tuliowakosa kina Ronaldo, Messi, Yaya na wengine hata wale waliokuwa ni academy graduates kama kina Fabregas tuliwapoteza.

Thanks for the complement, pamoja sana mkuuMkuu you are talking big things.
You are talking about reality. Salute to you

Sahihi kabisa, kwa sisi mashabiki wa Arsenal kumlaumu Wenger ni kutokuwa na uelewa mpana, kukosa shukrani na kumkosea heshima pia.Uko sawa kabisa.
Hata mimi mtazamo wangu juu ya Arsenal ni kaka wako na pia huko nyuma nilikuwa nikimtetea sana Wenger na apporach yake kwenye usajili.
Kuna watu tumebishana sana hapa akina Sizinga na wengine mpaka watu kama Balantanda wakaondoka kwa harisa juu ya Wenger.
Lakini Arteta ameleta umoja na mshikamano ndani ya klabu na nina imani Arsenal msimu ujao itaonyesha mabadiliko makubwa sana.
aise arsenal mbona wanatumia nguvu kubwa kumshawishi huyu dogo....yani arsenal inajishusha sana kwa mtindoo huu.Arsenal have increased their bid to Gabriel Magalhães tonight. They’re pushing to convince him because of Napoli still waiting for Koulibaly situation and Man Utd not in contact with Lille yet. Arsenal board is feeling now “confident” to sign the Brazilian CB.️
#Gabriel #AFC
Fabrizio Romano
Umesema kweli mkuu, lakini nionavyo mimi cost effective ndio inaleta madhara makubwa zaidi,Just imagine timu haipo UCL kwa misimu minne mfululizo tunazidi poteza zaidi ya wanachokipata.Tulipofikia inabidi kuvunja kibubu labda tu pesa kama hakuna.Hata me ningependa sana hayo yafanyike mapema sana.
Uendeshaji wa taasisi ya kibiashara kama Arsenal unahitaji ufanye cost-benefit analysis ya kina kwa sababu issue sio tu mataji bali na faida pia ni muhimu kwa 'wenye' timu.
Malengo ya shabiki ni vikombe ila kwa mmiliki ni vikombe na faida na ikibidi kipatikane kimoja ni obvious atachagua faida over vikombe.
Kwa timu tuliyonayo sasa na ukilinganisha na wenzetu, issue ya ubingwa wa ligi kwa msimu huu ni ngumu sana kwetu ila top 4 inawezekana kama hao kina Gabriel, Partey na may be Coutinho wakija.
Sasa kama malengo yetu ni top 4, lazima wamiliki wapambane tuipate under minimum cost, ni hesabu za kawaida isipokuwa kwetu washabiki ni jambo lisilovutia.