Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Watajua kuwa hawajui

Partey kagoma kuongeza mkataba ATM toka mwez October. ,his desire is to join Arsenal

Barca offered Coutinho to Arsenal ,Arsenal completed all personal terms since last week , its remain Arsenal to decide whether to Bring Coutinho to Arsenal or not

Now Tumemgeukia Aouar (first bid £44m+ Guendouz rejected)

I wish 2nd bid will be sent immediately
Mkuu nimemcheki youtube,niseme tu ht mimi namtaka huyu Aouar
 
Acha tujenge timu irudi ile 2003 na 2004 ya bila kupoteza mchezo na hakuna timu yoyote uingereza itakayo tokea kuvunja rekodi ile ya Arsenal!!
Labda Arsenal tuweke nyingine!!
London is red forever!!
Yah tuunde jiwe livunje record yetu wenyewe
 
The Belgian wizard Remember that he has matched Henry's 20 assists this season when Aguero was even injured
 
Vinai:

Hawa wawili [Arteta & Edu] ni wataalam na wapo wazi kuhusu mipango jinsi ya kutengeneza kikosi chetu katika kipindi kifupi,(short term) katika kipindi cha kati(medium term) na kwa muda mrefu(long term).

Tunaanza kufanyia kazi hayo mara moja kwenye dirisha hili la usajiri.

Tumekuwa tukifanya kazi katika dirisha hili hivi karibuni tumemleta Willian na tutaendelea kufanya kazi kwa bidii kwenye dirisha hili la usajiri.

Tutaendelea kufanya kazi kwa bidii kutimiza malengo yetu ya kuimarisha kikosi .

Edu na Mikel wana mipango ya jinsi ya kufanya.
IMG_20200815_152308.jpg
 
Vinai Venkatesham:

"If you're Arsenal Football Club and if you're in the Premier League, there's two trophies that really matter and that's the Premier League trophy and the Champions League trophy. That has to be the objectives of a football club like Arsenal."
 
Haya karibuni leo usiku by 10:00 AM litapigwa kabungu moja la mabingwa wa kihistoria na pia anayewawakilisha mashindano ya ulaya kwa sasa. Msikose kuja kuangalia pressing za hatari
 
Arsenal understood to have agreed new contract with captain Pierre-Emerick Aubameyang and also are closing in on the signing of defender Gabriel Magalhães from Lille

@SkySport #afc #transfer
 
Gabriel Magalhaes' deal is done.

Auba signed a new deal.

We are in talks with a new AM midfielder also.


Ceballos & Partey's are still on the line.
Huyu Ceballos kama hawataki kumtoa kwa mkopo mpaka tumchukue mazima ni bora waachane nae tu..

Wasije wakaja wakina Aouar akakosa nafasi ya kucheza akaanza kutulaumu
 
Arsenal kweli ikileta majembe kama huyo Gabriel, partey, phillipe, na huyo jamaa wa Lyon plus Willian. Haki msimu ujao nitatamba na sitoacha kuangalia mechi hata moja ya Arsenal
Na nitakua na Amani hata kama tunafungwa au lah na mwisho kwa hizo sajili nitaamini lolote linaweza kutokea kwenye kupambania kombe la Ligue kuu.
 
Back
Top Bottom