

@DullyFA Cup tumechuku mar 14. Hapo imeandikwa 13. Anayeweza atag mods warekebishe.
Mimi wataniona nawasumbua
Unakuta vinyumbu vilijipeleka kwa tamaa baada ya kusikia bwana wao Arsenal kafika dau..Man u kapigwa chini wamemgeukia mlinz wa Monaco
Ofa ya arsenal na Napoli zimekubaliwa kiasi cha €30m
Kazi kwa Gabriel Magalhaes kuchagua kati ya Napoli au ArsenalView attachment 1538678
Karibu Arsenal, Gabriel.. Mpaka sasa tushajua kachagua wapi. Wasiojua wasubiri hiyo siku.Arsenal na Napoli wametuma ofa ya €30m kwa Gabriel Magalhaes na zote zimekubaliwa
Mchezaji anatakiwa afanye maamuzi
Kufikia jumatatu itafahamika anaenda wapi
Angerudi barcelona tu EPL imeshamshinda
Ndo nini sasa?
Hii statement tamu sana..na inakuwa tamu zaidi utakaporealize huyo mchezaji haji arsenalUnakuta vinyumbu vilijipeleka kwa tamaa baada ya kusikia bwana wao Arsenal kafika dau..
Kumbe kijana alikuwa tayari kashawashtukia, kaamua awapige chini!





Endelea kujitekenya huku unacheka,Tulishasema ht tumalize wa 50 wachezaji wazuri watakuja tu kwny Chama kubwa GunnersHii statement tamu sana..na inakuwa tamu zaidi utakaporealize huyo mchezaji haji arsenal![]()
Watajua kuwa hawajuiEndelea kujitekenya huku unacheka,Tulishasema ht tumalize wa 50 wachezaji wazuri watakuja tu kwny Chama kubwa Gunners
Halafu wachezaji sasa hivi wanataka kufanya kaz na Arteta ,sababu Pale city hakuwa tu msaidizi oya oyaEndelea kujitekenya huku unacheka,Tulishasema ht tumalize wa 50 wachezaji wazuri watakuja tu kwny Chama kubwa Gunners






