Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu,
Unasema?
Usajiri upo chini ya Arteta na Edu
Subiri vyuma kushuka tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu,
Unasema?
Volume iwe juu please....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usajiri upo chini ya Arteta na Edu
Subiri vyuma kushuka tu
Uzuri kocha ni mzuri, Muhindi yeye akaishia kuharibu hadi viwango vya wachezaji km Lacca,pepe [emoji1787][emoji1787]Arsenal kweli ikileta majembe kama huyo Gabriel, partey, phillipe, na huyo jamaa wa Lyon plus Willian. Haki msimu ujao nitatamba na sitoacha kuangalia mechi hata moja ya Arsenal
Na nitakua na Amani hata kama tunafungwa au lah na mwisho kwa hizo sajili nitaamini lolote linaweza kutokea kwenye kupambania kombe la Ligue kuu.
Mimi kwangu Gabriel akija, deni langu linabaki kwa Partey tu basi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Gabriel Magalhaes' deal is done.
Auba signed a new deal.
We are in talks with a new AM midfielder also.
Ceballos & Partey's are still on the line.
Partey almost done ,Mimi kwangu Gabriel akija, deni langu linabaki kwa Partey tu basi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tumeziona pressing ........ila sio mbaya saa 10:00AM utaangalia marudio mnaweza mkarudisha.Haya karibuni leo usiku by 10:00 AM litapigwa kabungu moja la mabingwa wa kihistoria na pia anayewawakilisha mashindano ya ulaya kwa sasa. Msikose kuja kuangalia pressing za hatari
Mikel Arteta is one of just three Premier League managers to finish the season with a trophy to his name.Haya karibuni leo usiku by 10:00 AM litapigwa kabungu moja la mabingwa wa kihistoria na pia anayewawakilisha mashindano ya ulaya kwa sasa. Msikose kuja kuangalia pressing za hatari
pole sanaHaya karibuni leo usiku by 10:00 AM litapigwa kabungu moja la mabingwa wa kihistoria na pia anayewawakilisha mashindano ya ulaya kwa sasa. Msikose kuja kuangalia pressing za hatari