Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,077
- 7,420
Nyumbu wachague popote wanapopataka tupo tayari kwa mchezoitakuwa ni kiboko



Nyumbu wachague popote wanapopataka tupo tayari kwa mchezoitakuwa ni kiboko








watasingizia uchovu wa Europa
Nyumbu wachague popote wanapopataka tupo tayari kwa mchezo![]()
Acha kuongopea umma mchezaji huru huyoWewe Kenge hakuna mchezaji wa Bure duniani
Deal la WILLIAN
Signing fee £10m
Agent fee £1m
Salary + bonus £220k
Mwanitesa utd hata wakitaka tukachezee kwenye maji watafariki kama ifuatavyo.Nyumbu wachague popote wanapopataka tupo tayari kwa mchezo![]()
Kabisa mkuu, walitakiwa waungane ili waje wacheze nasi fainali ya FA ila mmoja wao akajifanya kiherehereMwanitesa utd hata wakitaka tukachezee kwenye maji watafariki kama ifuatavyo.
Katika ile big 4, hawa na Chelsea tunawafunga wote ndio tunahesabu tumefunga team moja iliyotimia.



Yah... Ndio huyohuyoHv mnapomzungumzia EDU mnakuwa mnamzungumzia EDU wa Wenger - Mbrazil mwenza na GILBERTO SILVA enzi za Invincibles au?
Na uzuri tumempatia alichotaka. Ukimpiga risasi tembo akafa, kama kulikuwa na swala pembeni anadedi kwa kishindo tu.Kabisa mkuu, walitakiwa waungane ili waje wacheze nasi fainali ya FA ila mmoja wao akajifanya kiherehere![]()
League titlesStatement ya Willian. Nasi tunamtakia kheri katika utelkelezaji wa majukumu yake.
I think this club deserves to shine again and I want to be a part of this project.
But ilikuwa just rumours na dakika chache zilizopita imethibitishwa na Liverpool. Tayar kaanza kaz kuleBreaking News: Chris Morgan has left arsenal to join Liverpool.
Arsenal Looking to bring Mazziot
Huna unalolijuaAcha kuongopea umma mchezaji huru huyo
Keep that to your selfLeague titles
Arsenal: 13
Chelsea: 6
Spurs: 2
Trophies
Arsenal: 45
Chelsea: 28
Spurs: 24
Just a reminder that London is Red.
League titles
Arsenal: 13
Chelsea: 6
Spurs: 2
Trophies
Arsenal: 45
Chelsea: 28
Spurs: 24
Just a reminder that London is Red.


Anajua lkn wanachofanya ni overvaluationwazee huyo Aour ni noma sana
Acha mambo ya ajabu Arsenal haijawahi kufungwa 10, mpira ni dakika tisini au za ziada katika siku moja ambayo Arsenal ilifungwa 5 siku moja na baada ya juma moja.






Timu imejaa wapigaji tu mtamkumbuka Wenger..Dili la Pepe limemfukuzisha kazi Raul
KSE miezi miwili walimuajiri TIM LEWIS (pichani) ni mwanasheria mkubwa
Amekuja kufanya uchunguzi inaonesha dili la pepe Ni zaidi ya £72m ,kuna overprice ,au tuseme kuna harufu ya Upigaji
Kuna hela ndefu ilitumika ,kama mnavyojua Raul ni mtu wa Rafu,
Inaonesha mawakala walipiga hela ndefu
Zaidi soma hapa
Arsenal confirm head of football Raul Sanllehi is leaving the club. Follows the investigation revealed by @ESPNFC yesterday:
Arsenal investigate £72m Pepe transfer; Barcelona start hunt for new bossView attachment 1537961


