baracuda
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 1,266
- 1,357
NdioHv mnapomzungumzia EDU mnakuwa mnamzungumzia EDU wa Wenger - Mbrazil mwenza na GILBERTO SILVA enzi za Invincibles au?
NdioHv mnapomzungumzia EDU mnakuwa mnamzungumzia EDU wa Wenger - Mbrazil mwenza na GILBERTO SILVA enzi za Invincibles au?
Tukiachilia kwamba majukumu wamepewa arteta na edu, Arsenal wanahitaji mtu mwenye experience & connection tosha kuhusu usajili. Na kingine kufukuzwa kazi kwa mascout Francis cagigao & Sven mislintat itawapa kazi ngumu ArsenalRaul anakesi hata na Barca juu ya Dili la neymar....kuna zaidi ya hela inayotajwa....wamepiga ....
ni mtu wa mjini sana ndio maan hata mashabiki wa arsenal tunamkubali sababu anakuletea wachezaji ila tambua lazima awe na percent yake.....
Ni muhuni wa biashara ,hivo ni haki yake kutumia uwezo alionao kupiga wajinga .....wakina kroenke family
Kroenke family Wameajiri Mwanasheria nguli kakuta kuna upigaji
Leo safari yake imeiva
Majukumu yote ,Ya usajiri kaachiwa ARTETA NA EDU
KAMA ILIVYOKUWA KWA AESENE NA DAVID DEIN
Afadhali hii kazi wamepewa wenye timu, nadhani mambo yataenda sawa kabisa.Decisions on transfers now fully in the hands of Edu & Arteta. Interesting few weeks ahead. View attachment 1538042
Kitengo cha scouting bado kipo kakaTukiachilia kwamba majukumu wamepewa arteta na edu, Arsenal wanahitaji mtu mwenye experience & connection tosha kuhusu usajili. Na kingine kufukuzwa kazi kwa mascout Francis cagigao & Sven mislintat itawapa kazi ngumu Arsenal
Muda woteItakuwa ni kwa muda wote au dirisha hili basi?
Ipo hivi , Mfano tunahitaji AM, CM au LCBMbona tunahusishwa na wachezaji wengi sana, Diawara,J.Fernandes,Aour,coutinho,partey,Gabriel,Ni km hatuna priorities mkuu.
Sio mm , Aaron ni jina la Pili ambalo nafahamika humu na nyumban tuAtakuwa ndio huyu![]()




kweli una EDU how comes mchezaji wa Brazil akushinde si itakuwa ujingaGabriel Magalhaes kashafanya maamuzi
Muda si mrefu itajulikana ameichagua timu gani ya kwenda
The decision has been made by Gabriel Magalhães.
“A new beautiful phase in life will start soon.”View attachment 1538138
Yap Huyo huyoHv mnapomzungumzia EDU mnakuwa mnamzungumzia EDU wa Wenger - Mbrazil mwenza na GILBERTO SILVA enzi za Invincibles au?
Kitengo cha scouting bado kipo kaka
Ndio alipiga helaRaul anaweza kuwa kauhusishwa na deal lililopigwa kwenye usajili wa Pepe ndio maana kafutwa kazi
Mbona tunahusishwa na wachezaji wengi sana, Diawara,J.Fernandes,Aour,coutinho,partey,Gabriel,Ni km hatuna priorities mkuu.
Tim Lewis, mjumbe wa bodi aliyeteuliwa na Kronke mnamo Julai 1, aliuliza idara zote za klabu kumpa ripoti za kina juu ya utumiaji wao na bajeti kamili kwa msimu wa 19/20.
Harakati za kutimua wafanyakazi na watawala kama Raul hazijamalizika bado ..
Lewis bado anafanya uhakiki wa makini wa kila mgawanyiko katika klabu.View attachment 1538336
According to some unusual fantasy football leaks Arsenal will be playing Manchester United at Old Trafford on the opening day of the season.
According to some unusual fantasy football leaks Arsenal will be playing Manchester United at Old Trafford on the opening day of the season.




itakuwa ni kibokoWanakufa hao mapema sn, sasa hivi hatutaki utani na watoto, Arteta sio Unai ambaye kila timu ilikuwa km inatuzidi uwezoNafikiri mechi ya kwanza ya ligi ni dhidi ya Leeds United.
Patamu hapo.