OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Hii ndo unforgettableKubali na nyie mlitandikwa 7 bado ipo kwenye history



Hii ndo unforgettableKubali na nyie mlitandikwa 7 bado ipo kwenye history



Acha kelele umekula 7 wiki
Nenda msimu ujao ukiwa na Kepa au Caballero kama hujala 14






aggregate...
Hata wiki haijaisha siumekula 7 wewe?
||
Kwani wewe si hata wiki haijapita ,toka ufumuliwe 7 (wiki) na hawa jamaa au umeshajisahaulisha?



Nasikia Phil Jones BEKI YENU KISIKI mmemuongezea mkataba..........Hii timu bhana yani kumpata willian wanashangiliaaa mchezaji wa bure
Acha mambo ya ajabu Arsenal haijawahi kufungwa 10, mpira ni dakika tisini au za ziada katika siku moja ambayo Arsenal ilifungwa 5 siku moja na baada ya juma moja.Umesahau ulipigwa 10 tena ukiwa kwenye Ubora wenu kabisa.
Mimi na ubovu wangu nimepigwa 7 ningekuwa vizuri wale hata dro wasingepata, umesahau uefa final? Allianz Arena
Partey anakuja ,Aaron Arsenal mwambie Edu awasajili Partey na Gabriel haraka, wanatosha kustopisha utawala wa Bayern





Yeah wewe Europa saizi yako ..wanaume tuachie tupambane na wanaume..
#CFC![]()


Hahaha unapigwa wiki, 7, week, seven, sabahy, saba, VII, ndio unasema unapambana? Huna tofauti na yule anayeegesha tu





, au anayelala kama gogo
Nani alikwambia kipindi kile tulikuwa katika ubora wetu kabisa?Umesahau ulipigwa 10 tena ukiwa kwenye Ubora wenu kabisa.
Mimi na ubovu wangu nimepigwa 7 ningekuwa vizuri wale hata dro wasingepata, umesahau uefa final? Allianz Arena







Nimecheka sanaAaron Arsenal mwambie Edu awasajili Partey na Gabriel haraka, wanatosha kustopisha utawala wa Bayern





Wewe una kidonda kibichiiiiiiii cha wiki,Hii Barca ya sasa ni arsenal iliyochangamka..




Kwani ni lini Chelsea ilifungwa 7 katika dakika 90?Kwani wewe si hata wiki haijapita ,toka ufumuliwe 7 (wiki) na hawa jamaa au umeshajisahaulisha?
Breaking news hatimae Agent (wakala) aliemleta KEPA CHELSEA fc amekamatwa Leo mjini BilbaoView attachment 1537727
Acha mambo ya ajabu Arsenal haijawahi kufungwa 10, mpira ni dakika tisini au za ziada katika siku moja ambayo Arsenal ilifungwa 5 siku moja na baada ya juma moja.